Dah ama kweli waliosema maskini akipata matako hulia mbwata hawakukosea yaani kuna vitu kumbe simba tulikuwa tunachukulia for granted sana , pongezi mbalimbali, ranks za levels za juu afrika, kwa miaka 4 kuna majuha yameteseka yakageuka kamati za mapokezi na kutengeneza majungu kwa teams za kuja...
Inaelezwa kuwa Bernard Morrison anaomba release letter kwa Simba, lakini Simba hawana presha wanataka mpaka mkataba wake utamatike kisha wamkabidhi barua.
Inasemekana kuna muda aliwaambia kuna klabu ya nje inamtaka, Simba wakamwambia watume offer yao watapokea ofa na watampa release letter...
Salaam Wakuu,
Ligi kuu ya NBC ya msimu huu 2021/2022 inaelekea ukingoni huku timu ya Yanga ikiwa na zaidi ya 99% ya kunyakua taji hili. Kama tujuavyo mwisho wa msimu mmoja ndiyo maandalizi ya msimu mwingine.
Baadhi ya timu tayari zimeanza kufanya maandalizi kwa ajili ya msimu ujao. Timu nyingi...
-Klabu ya Simba SC ya Tanzania sasa rasmi imekuwa miongoni mwa vilabu 10 ambavyo vitaanzia raundi ya kwanza kwenye mashindano ya CAF Champion League msimu 2022/23 kama msimu uliopita baada ya CAF kupitisha utaratibu wa vilabu 10 bora kuanzia raundi ya kwanza ya michuano ya CAF Champion League...
Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) limetangaza nchi 12 ambazo zitatoa timu nne kuwakilisha katika mashindano ya Klabu Bingwa na Shirikisho.
• Algeria 🇩🇿
• Angola 🇦🇴
• Congo DR 🇨🇩
• Egypt 🇪🇬
• Guinea 🇬🇳
• Libya 🇱🇾
• Morocco 🇲🇦
• Nigeria 🇳🇬
• South Africa 🇿🇦
• Sudan 🇸🇩
• Tanzania 🇹🇿
• Tunisia 🇹🇳
Kufatia tetesi za kuondoka kwa Tadeo Lwanga na kutua kwa Mnigeria Akpan klabuni Simba, ni muendelezo wa ujio na kuondoka kwa viungo wakabaji Simba lakini wote hao wamekuwa wakimkuta na kumuacha Jonas Gerald Mkude.
Jonas Mkude sio wa kawaida ana kitu cha ziada inaonekana ambacho Viungo wengine...
Binafsi nadhani kila mtu keshajuwa kwanini uko Yanga Sasa. Hakuna sababu ya kuendelea kuitaja Simba katika kila fursa ya kwenda hewani. Ubongo wa Binadamu una tabia ya kuchoshwa (fed up) na kitu kinachojirudiarudia kila wakati, hata harufu ya chooni inapotea puani kama utakaa chooni kwa muda...
Clatous Chota Chama kiungo fundi wa Kimataifa wa Simba kutoka Zambia ameomba kuondoka kikosini Simba msimu huu unaoisha.
Pande zote mbili zipo zikijadiliana kuhusu sakata hilo. Tetesi zinadai Chama anataka kwenda South Africa kama ilivyo kwa Rally Bwalya.
My take:
Kama ni kweli naona kabisa...
Pesa za Yanga SC Mambwiga ( Washamba ) wa Kudumu FC....
Tsh Milioni 500 za Azam
Tsh Milioni 100 za NBC
Jumla Tsh Milioni 600 ( na hapa bado Mama Samia hajakomba Kodi yake na akiikomba watabakiwa na Tsh Milioni 74 tu na sijui watagawanaje ) vinginevyo watapigana mno Bakora kama Kawaida yao...
Tena fanyeni upesi mtafuteni na zungumzeni nayo Simba SC ya sasa inamuhitaji mno Okwi aje Kuungana na akina Phiri na wengineo na nina uhakiika Kikosi chetu kitakuwa Kizuri kuliko mfikiriavyo.
Kama hamumuwezi tafadhali niambieni ili nikamalizane nae kwani Yeye na aliyekuwa Beki wetu Tegemeo na...
Naomba ewe Mwana Simba SC ingia upesi YouTube na utafute huo Wimbo wa "Acquitte' kisha tushee pamoja Maumivu ya Kuukosa Ubingwa wa NBC Mwaka huu na Tusi zito la Nguoni lililoanza na Neno Kolo (tulilopewa na Haji Manara) kisha kwa umakini wako kabisa lisikilize hilo Neno la Pili baada ya Neno...
Ndugu zangu nampenda Ssana twiga. Napata shida sana anapowindwa na simba. Simba angejua angewinda wote akamuacha twiga.
Sababu kubwa ni upole wake na upekee twiga is a beautiful animal Simba please don't hunt twiga.
Fikiria fisi akimsumbua twiga hell no hawa akina 🦊 wawawinde wanaostahili...
Sasa nimeamini kwanini Boss wangu wa zamani na Kiongozi ninayemkubali Simba SC Mzee Ismail Aden Rage alisema kuwa Sisi wana Simba SC ni Mambumbu sana na hakika alikuwa sahihi Kutudhihaki kiasi kile.
Mnaacha kutuambia Kocha Mkuu anakuja lini, Usajili utakuwaje na kwanini Msimu huu tumetoka...
Mafisadi kwa JPM Walitulizwa wakatulia wahuni na wajanja wajanja walinyoosha mikono waliteseka na walinyanyasika na sababu kubwa ni wizi wao
Magufuli aliogopeka kwa majizi na maharamia ya nchi hii kuanzia kwa wenye vyeti feki mpaka Mafisadi wakubwa
Wazalendo msihofu majizi na mafisadi...
ASALAAM, NIMEMSIKILIZA ADEN RAGE leo asubuhi kwenye kipindi cha Sport cha Wasafi Media. Anasema kama Simba wana 20B kwenye account watumie hizi pesa kuchukua mkopo ili kuanza ujenzi wa HOSTEL ZA KISASA, GYM YA KISASA KIWANJA CHA KISASA ili hizi hela zinazochangishwa zitumike kuandaa mfano...
Hata mwaka jana Simba SC ilipotaka Kumsajili Moses Phiri tayari Uwezo wake ulikuwa umeshashuka na nilishangaa Kusikia kuwa bado Simba SC walikuwa wameshamhakikishia kuwa Watamsajili Kwa Msimu ujao. Na nikisema kuwa fulani hafai jua 99.9% hafai Kweli na nikikuambia fulani mzuri pia niamini kwa...
Leo Klabu ya Simba imekabidhiwa Tuzo ya Klabu Bora kwenye Mitandao ya Kijamii Tanzania ambayo imetolewa na kampuni ya Serengeti Bytes. Tumeshinda tuzo hii baada ya kuvishinda kura vilabu vya Azam FC, Mbeya City, Ruvu Shooting na Yanga SC.
Chanzo: Simba SC Tanzania
Mnatumia nguvu Kubwa kufanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.