Napenda kutoa pongezi za dhati kwa Simba Sc na uongozi wake kiujumla kwa hatua hii kubwa.
Kwa mujibu wa Orodha ya shirika linalohusika na Takwimu za kimichezo duniani IFFHS, Iliyotoka mapema jana, aimeonyesha vilabu viwili pekee kutoka Tanzania vikiwakilisha vyema.
Place
Last
Clubs
Country /...
𝙏𝙊𝙆𝙀𝙉𝙄 𝙃𝘼𝘿𝙃𝘼𝙍𝘼𝙉𝙄 𝙈𝘼𝙆𝙊𝙇𝙊
Neno samahani ni dogo sana haswa kwa yule alieyefanya makosa,,Makolo msione aibu tokeni hadharani waombeni msahama tu Ngome kwasababu kudarisha logo haitoi uhalisia Kama mmekosea kutoa taarifa yenu kwa madunduka wenu.
Ombeni msamaha [emoji1666].
Cc: castor Yanga
NB: how...
Uzi huu una lengo la kutaja wachezaji waliopata kucheza vilabu vyote viwili vya Simba & Yanga.
Naanza na Edibily Jonas Lunyamila, huyu alicheza Yanga na baadae alicheza Simba japo alivuma zaidi akiwa Yanga.
Pia yupo Kelvin Yondan alicheza Simba na baadae Yanga na alijipatia umaarufu zaidi...
Jana Tanzania imefuzu kwenda AFCON baada ya kutoka suluhu na Algeria.
Imekuwa ni desturi iliyojengeka mitandaoni na vyombo mbalimbali vya redio kuisema vibaya Simba hata pale inapopata matokeo yaliyo katika malengo ya timu. Hili halijaanza msimu huu tu, tukirudi hata msimu uliopita hizi...
Ni nyara za Serikali zilizokamatwa kwenye makasha makubwa kwenye uwanja wa ndege nchini Australia, inasemekana zimepakiwa kutoka KIA nchini Tanzania, nani anahusika na uhujumu huu? Serikali itoe tamko. Tazama video.
UPDATE
TAWA kuchunguza Nyara za Serikali kukamatwa Australia
Safari ya kwenda Rwanda kushangilia timu yao yanga wameshajaza mabus 6 , huku upande wa pili wamejaza mabus mawili , nataka nishuhudie huu mpambano mpk mwisho
Mpira wa miguu una mambo yake wakati mwingine usilotegemea likatokea na unalotegemea lisitoke na ndiyo maana kwenye Betting kuna fedha nyingi sana.
Timu yangu ya Young Africans inapewa nafasi kubwa sana ya kushinda kwenye mechi zake za Klabu Bingwa dhidi ya Elh - Melekh na kutinga makundi...
Timu ya mpira wa miguu ya Simba leo tarehe 05/09/2023 imeendelea na kucheza mechi za kirafiki za ndani kwa ajili ya mazoezi ambapo imecheza na timu ya Cosmopolitan.
Simba imepata goli 5 dhidi ya goli moja la Cosmopolitan Fc na magoli ya Simba yamefungwa na Phiri, Baleke,Onana, Kramo na...
Huko Simba mambo bado, juu ya ile ishu ya mabadiliko ya klabu hiyo ili iendeshwe kwa mfumo wa hisa ambao mchakato wake ulianza tangu mwaka 2017 umekwama ikielezwa tatizo likiwa ni katiba ya klabu hiyo, kiasi cha Ofisi ya Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) kurudisha mpira Baraza la Michezo la...
Ni vile tu kukaza roho na kuondoa aibu but kiuhalisia simba alikuwa anatamaniwa na kila timu iliyokuwepo kwenye hii michuano, na kwa bahati mbaya kaangukia mdomoni mwa wababe wa misri!
Kiufupi ni kwamba mwendo mmeumaliza mechi ya kwanza tu out! Itakuwa ni asante kwa kushiriki, labda walale...
Hellow Wana JF.
Dirisha la Usajili la shirikisho la Soka Tanzania TFF na Lile la CAF limefungwa RASMI Jana 31AUGUST 2023.
Yale yote niliyoyaomba na Kupendekeza yafanyike ndani ya wekundu WA Msimbazi hayajafanyiwa kazi kwa asilimia 90% Hii imeniuma mno kama shabiki mwanachama na Mfanyakazi wa...
Salaam wakuu.
Kama picha inavyoonekana hapa juu, nimeseti hili game la Dream league soccer Simba SC mod vizuri lakini mwishoni kwenye hatua za kuanza kuplay linagoma na kuleta maneno Kama picha inavyoonekana hapa chini.
Je, tatizo Nini wakuu?
Mwenye uzoefu anipe msaada🙏🏿🙏🏿
Unguja. Wakati wanyamapori hususani simba na chui wakivushwa kwa mara ya kwanza kwenda kisiwani Zanzibar katika maonyesho ya tamasha la Kizimkazi, Ofisa Utalii kutoka Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (Tawa), Lusajo Nsweve, akisemani mpango katika kutanga utalii.
Wanyama hao ambao...
Kwa sasa Tanzania ushabiki wa mpira wa Simba na Yanga unazidi kustawi. Makundi yanayokuja kwa Kasi ni wanawake na watoto wadogo tofauti na miaka ya nyuma.
Imekuwa Imani kamili tunarithishana kizazi hadi kizazi na mtu akishaamini kamwe hatohama mpaka kifo kimtenganishe.
Mtu atachelewa au...
Geoff Leah mchambuzi wa EFM na ETV anamsagia Tshabalala muda huu kwenye namba ten.
Anasema kwamba Zimbwe ni beki dhaifu katika ukuta wa mabeki wa Simba SC. Kuna ukweli wowote?
Amerejea mechi ya Simba na Yanga ambayo Zimbwe alipigwa tobo na Ki Azizi.
Ni timu ambazo zina probability kubwa za kushinda, katika mechi 30 kuna mechi 20+ wanaweza kushinda
Tena hapo ukiondoa mechi 2 za derby na 2, probability inazidi
Je, pana uwezekano wa kupiga pesa?
Mapato utayopata wakishinda mechi 20 kati ya 26 (ukiondoa 4 za debi na azam) yatazidi pesa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.