Mwacheni aende tu huko kwa Marafiki zake Wakubwa akina Injinia Hersi Said (Rais wa Yanga SC ) na wana Yanga na wala msipoteze muda Wenu kumhitaji kwani ana Sifa kuu nisiyoipenda ya Unafiki na Kutumika.
Kikosi cha sasa cha Simba SC Kinatosha na Kikiaminiwa tu kina Uwezo wa kufanya Makubwa ndani...
GENTAMYCINE nimetaarifiwa na Mdau Mwenzao ( Mshirikina ) Mwenzao bila Yeye kujua aliyekuwa nae ni Mtu HATARI kwa kutafuta Taarifa Ngumu na Zilizojificha na mpaka aliko huyo Mganga Wao na Wachezaji Wenzake wote wa Simba SC, Yanga SC na hata wa Azam FC anaokwenda nao.
Na huyo Mganga Wao wa...
Azam pamoja na kutikuwa Bora lkn likija swala la Simba au Yanga wanakuwa wamoto mno. Je wanakamia?? Niko!!!!
Timu Hizi kubwa kwanza hutaka ushindi kwa namna yoyote na kila timu ndogo viongozi wengi Ni washabiki wa Hizi timu kubwa na hivyo kutumika kuhujumu timu kwenye mechi ngumu.
Kama kila...
Natumaini u buheri wa afya.
Kumekuwa na mijadala mingi kwenye mitandao ya kijamii kuhusu uchezaji wa Simba. Ukweli ni kwamba baada ya Simba kujitathimini kwa muda mrefu imeamua kubadili falsafa yake ya kupiga pasi nyingi za nyuma na madoido yasiyokuwa na tija.
Tathimini ilionesha ili timu...
Patashika ya Ligi Kuu Tanzania kuendelea leo August 17 2023 kwa Bingwa wa ngao ya jamii Simba SC, Mnyama Mkali Mwituni, Lunyasi wakiwa na furaha ya kutoka kumshindilia mtani wake yanga kwa penati 4-1.
Sasa wanageukia ligi kuu kuwakaribisha Mtibwa Sugar, WakataMiwa kunako uwanja wa manungu...
Kitayosa timu ngeni kwenye ligi yenye wachezaji 8 TU bila benchi la ufundi Wala mchezaji wa akina ililazimishwa kucheza na Azam kamili kwenye mchezo wa ligi kuu. Lakini Simba iliyokuwa na wachezaji 3 TU muhimu wenye mafua TFF na bodi ya ligi waliwakubalia kuahirisha mechi Yao kule Kagera na...
Desemba 28, mwaka 2021, Bodi ya Ligi Kuu Tanzania(TPLB) iliamua kuahirishwa kwa mchezo namba 69 wa Ligi Kuu ya NBC kati ya Kagera Sugar FC na Simba SC uliokuwa uchezwe siku hiyo Saa 10:00 Alasiri katika uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba, kutokana na taarifa za kitabibu kuwa wachezaji 16 kati ya 22...
Tarehe 13/08/2023 timu za mpira wa miguu za Tanzania Bara za Simba na Yanga zilipambana kwenye fainali ya kugombea Ngao ya Hisani.
Mechi hiyo ambayo timu ya Yanga ilifungwa goli tatu na kujifanya Simba kutawazwa kuwa Mabingwa wa Ngao hiyo ambayo hufungua msimu wa Ligi Kuu ya msimu 2023/2024...
Ni kweli hajui Kifaransa, lugha ambayo baadhi ya wachezaji wa Simba wanaongea, lakini weledi wake kwenye kusaidia mambo ya kiufundi ni mkubwa sana.
Simba isipoteze muda, imrudishe Mgunda kwenye Benchi la Ufundi kabla timu haijaharibikiwa kabisa.
Yanga haina uwezo wa kucheza vizuri zaidi kuliko ilivyocheza jana. Hapo ndipo ilipoishia!. Lakini Simba bado itaongeza makali, bado haijafika kwenye top form yake. Kwa maana hiyo itakapofikia top form yake haitakamatika kabisa!
Viongozi wa Simba mnatuonaje?
Mnadhani mashabiki wote ni maamuma?
Mnatengeneza Zogo la makusudi ili mumtupie lawama Kocha? Awamu hii tumewashika pabaya ama zenu ama Zetu.
Robertinho ni Kocha mzuri ila atafeli kwakuwa anafanya kazi na Viongozi wapumbavu, kama kuna mtu aliona namna Simba...
Wasalaam wana jf
Kwanza nianze kwa kuwapongeza wanafainali wote wa ngao ya jamii 2023 kwa kufanikiwa kucheza fainali.
Pili niwapongezea tena simba sc kwa kufanikiwa kushinda ngao ya jamii mwaka 2023 tena mbele ya mtani.
Tatu nijielekeze kwenye nada;
Nimeangalia mechi tatu za simba kwa makini...
Kitakachomfanya asifike ni yafuatayo;
1. Kulazimisha Chama na Saidoo kucheza pamoja
2. Kumpanga Saidoo kwa dakika 90 huku akiwa hana uwezo huo kwa umri wake
3. Kumpanga mara kwa mara Kibu ambaye hana utulivu kabisa
4. Kucheza soka butua butua ambalo sio utamaduni wa Simba Sports
Hili ndio swali ninalojiuliza kuwa kamatakamata hii kwenye siku hii ,ya leo yenye attention kubwa ya mpira wa Yanga na Simba imetokea kama coincidence au ni mpango mkakati?
Labda niulize kwanini weekend ndio wahakikishe wote wamekamatwa ili hali kosa uhaini halina dhamana?
Je, lengo ni...
Ni ngumu sana kutofautisha soka la bongo na uchawi.
Kwenye Vilinge vya uchawi kwenye mpira wa bongo huwaga kuna msemo "Hii mechi imechezwa na mtu fulani" au " imechezwa na tawi fulani".
Maana yake ni kwamba mtu huyo ndio ametoa "wataalamu" wa "kucheza/kuroga" mechi husika au yeye mwenyewe...
Wakati Clubs ndogo ndogo zikiwa zimefikia deadline ya kufanya usajili CAF, Club namba 1 nchini Simba Sc bado inaendelea kusajili.
Dakika chache zijazo Simba inatarajiwa kushusha nyanda la boli la kimataifa kwa ajili ya maandalizi ya michuano mikubwa Super Cup.
Kutokana na Quality ya NBC Simba...
Sijui wachezaji wanajua machungu tunayopitia huku mitaani kama tutapoteza huu mchezo?
Tuna kila sababu ya kushinda jumapili, makosa tuliyoyafanya mechi mbili zilizopita naimani time hii hayatajirudia.
Kila lakheri chama langu hapo jumapili dhidi ya mtani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.