Mfumo wa Robartinho hautaki uchezaji wa aina Clatous Chama na Moses Phili. Chama anafunga kwa kutumia juhudi zake binafsi sio mfumo wa Robertihno. Kocha anataka mpira wa kasi tofauti na Chama na Phili wanavyocheza. Kocha Simba ana kaa la moto kifuani kwako ambalo hajui afanye nini, na anashindwa...
Tayari umeshajulikana na Uongozi umeita Wazee Kusoma Kitabu kwa Wachezaji wote Wazawa Washirikina ( wale wale ) wa kutoka Zanzibar waliosoma Kitabu Kipindi kile cha Simba Taliban ( waliokuwa Maadui ) wa Mafanikio ya Klabu ( Simba SC ) na hatimaye akina Ngumi Jiwe Wakafa kwa Ajali Mbaya njiani...
Lile garasha limesajiliwa billion 3. ($1.3 milion).
Mishahara ya wachezaji Yanga Ni bilion 2.7 kwa mwaka (ndio kikosi Bora kwa Sasa Tanzania)
Izo ela za kumleta huyu jamaa katoa mo na kamtuma try again kuleta. Walitaka walete yule mbraziri ikabuma.
Niko opposite kabisa na wanaosema kuwa Lakred ni mbovu. Kosa alilofanya katika goli la pili halifuti saves alizofanya kwa ubora kabisa. Pia nipo opposite wanaolalamika kuwa Baleke alikosa nafasi za wazi, huku hawaangalii jitihada alizofanya golikipa wa Dynamos.
Kosakosa alizofanya Baleke...
TAMKO TAKATIFU NA TUKUKA
Waambieni hakuna Mchezaji mkubwa kuliko Simba SC yetu, Wameikuta na Wataiacha / Watatuachia. Huu Mtindo wa Kucheza Mpira kwa Kudekadeka, Kuringa na kama Wanalazimishwa uwe mwanzo na mwisho. Kama kuna Mchezaji anaona Simba SC siyo mahala pake aombe avunjiwe Mkataba wake...
Hili ndio swali ninalojiuliza iwapo Yanga atatinga hatua ya makundi kombe la Club Bingwa Afrika na kukutana na baadhi ya vigogo na kuwafanga hapa nyumbani au ugenini kwani kwa Yanga hili linawezekana kabisa.
Hii ni kwasbabu, baada ya Yanga kutinga makundi kombe la Shirikisho na kufikia...
Singida Fountain Gate FC was amazing Leo. Despite the fact that wapo economically below the top 3. I I'm very happy for them. Congratulations to them. Good luck in Egypt.
Hawa jamaa kutuwa kujisifia kutinga hatua ya makundi kombe la Club Bingwa Afrika (CAFCL) unadhani walianza kushirika hatua hiyo miaka mingi sana huko nyuma wanasahau wakati Yanga anatinga hatua hiyo mwaka 1998, wao walikuwa na miaka mingi tu hawajafikia tena hatua hiyo.
Sasa watuambie , miaka...
Katika Taifa kuna sera au ksulimbiu au harakati zinazowaunganisha wananchi na kuwa Tsifa moja.
Michezo nchini imekuwa mbadala wa siasa kwa sasa hivi.
Katika miaka ya karibuni, mpira(football) ni mchezo ambao umewaunganisha wananchi wa Tanzania kwa kiasi kikubwa.
Mpira umefanya kitu ambacho...
Leo Simba na Yanga zimecheza hatua ya pili ya mtoano (klabu bingwa Afrika) zikiwa ugenini, Simba ikitoa sare kwa taabu sana dhidi ya Power Dynamos ya Zambia na Yanga ikipata ushindi wa kawaida wa goli mbili bila dhidi ya El Merreikh ya Sudan.
Bila kumumunya maneno, ni wazi Yanga na Simba...
Wawakilishi Wa Tanzania katika Michuano Mikubwa Kabisa kuliko Yote inayoandaliwa na CAF ya Ligi ya Mabingwa Afrika Yanga na SIMBA zimeweza Kufanya vyema na Kuheshimisha Taifa.
Simba Wakiwa kwenye Kiwanja Cha Levy Mwanawasa Mjini Ndola imeweza Kuituliza Timu ya Power Dynamo ya Zambia Katika...
Mpaka hapa, naona uwezekana wa timu hizi mbili kuingia katika hatua ya makundi huku Yanga akiwa na chance ya asilimia 90 na Simba asilimia 80.
Kwa msingi huo, katika droo ya kupanga makundi, upo uwezekana wa Simba na Yanga kupangwa kundi moja.
Sijui sana utaratibu wa kuchezesha hizi droo...
Mpira unachezwa hauongelewi..hicho ndio unachoweza sema.
Ila kingine ni kua nyie Simba endeleeni kuishi kwa Matumaini tu.
Si maswala ya kuombea eti watakuja Nyumbani tushatoka huko.
Popote kambi.
Kwa muda mrefu sasa kumekuwa na nyuzi nyingi za kuwaaminisha watu kuwa Yanga ni timu dhaifu na kuwa ilishiriki kombe la Luza na hawataambulia chochote msimu huu.
Mashabiki wa Makolo wanajaribu kutembea na historia kuliko uhalisia. Wanashindwa kuamini kabisa kuwa timu yao Kwa sasa haiwezi...
Wachambuzi wetu ni wadau muhimu kwenye mpira wetu, lakini Kuna wakati hawautendei haki mpira wenyewe kwasababu zisizojulikana au ushabiki wa timu.
Simba Day umati wa mashabiki ulifurika uwanja wa Mkapa kuiona timu yao. Hii ilisababisha kocha wa Simba acheze mechi ya ushindani zaidi (must win)...
Leo hii kila shabiki wa timu hizo mbili anafanya maombi ya kupata matokeo mazuri.
Nilichokipenda kwenye mechi za leo ni muda mmoja timu zote zinaingia uwanjani. Baada ya dakika 90 mbivu na mbichi zitajulikana.
Jana Al Ahyl kafa peupe na aliyemfunga ndo yule aliyepelekewa moto akiwa kwao na pira Nabi, kama haitoshi akafa moja bila.
Rekodi za Simba zipo salama as long as Yanga hajacheza gemu zake mbili dhidi ya El Merreikh.
Endeleeni kuomba tusiingie makundi.
Simba na Yanga zote ziko nje ya nchi katika majukumu ya michuano ya vilabu Afrika.
Simba watashuka dimbani pale Levy Mwanawasa Stadium kuwakabili Power Dynamos huku watani zao wakishuka dimbani pale Pele Stadium kuwavaa El Merreikh ya Sudan.
Weka utabiri wako timu ipi itapata matokeo yapi?
Igweee!
Naomba niende directly kwenye Point:
Mpira wetu hasa kwa ngazi za Vilabu umekuwa sana, na hii kwa kiasi kikubwa pia inachangiwa na hamasa kutoka kwa wadau mbalimbali wakiwemo wasemaji wa vilabu vyetu. Lazima tukubali hili, uwekezaji unaweza ukawa mkubwa lakini kama hakuna hamasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.