Nawapongeza mno Mashabiki wa Simba SC kwa Walichokifanya na Wanachokifanya

Cognizant

JF-Expert Member
Aug 13, 2022
491
1,056
Hakuna kununua Tiketi wala kwenda Uwanjani kesho na huko kwa Mkapa watajaza Familia za akina Try Again, Mangungu, Mo Dewji na Wachezaji Wanafiki Watatu wanaoneza migomo ya kichinichini na Timu kufanya vibaya akina Chama, Ntibanzokinza na Inonga.

Mashabiki wa Simba SC heko mno.
 
Kwakweli kwa shabiki wa simba asiye mjinga asiende uwanjani

Viongozi wenu wanawaona nyani.
Ungekuwa na wewe ni MWANASIMBA ushauri wako, ungekuwa una mantiki. Lakini kwa vile, wewe na mleta thread hii, si WANASIMBA,basi ninyi ni kama WACHAWI tu, kwa kumshauri mwenzio amuue MZAZI wake, kisa NINYI mmegundua kuwa huyo MZAZI NI MCHAWI!
 
Back
Top Bottom