Tetesi: Pitso Masomane kocha mteule SIMBA FC kuanzia leo saa moja kamili

ebaeban

JF-Expert Member
Jan 15, 2012
2,205
2,690
Kama makolo mmefanikiwa kumsajili kocha huyo hapo juu basi mtakuwa mmetisha, ngoja tusubiri hiyo saa moja tusikie hiyo habali kuu. Pitso Masomane ni kocha wa hadhi ya juu kabisa hapa Africa na atapaisha sana hadhi ya Simba SC
 
Kocha wa simba huyo hapo.
IMG-20231123-WA0023.jpg
 
Kwa uongo wa Viongozi wa Simba hawawezi kamwe kutumia hela kuleta kocha/mchezaji wa daraja la juu hapa barani Africa.

Hata ukisikia kuna mchezaji amenunuliwa kuanzia Tshs 400+M situka jua unalishwa chakula cha kuzimu.

Haya yote tunayoyaona ni matokeo ya janja janja ya Nyani ambayo viongozi wamekuwa wakituhadaa kwa uongo uongo.

Binafsi nilifurahishwa na kichapo tulichopokea toka kwa mtani kisicho na konakona maana kimeathiri mashabiki na hao walaghai upande wa biashara zao za jezi, jezi mpya za CAF, viingilio, watu kususia kulipia app za Simba et al kitu kinachoumiza zaidi mioyo yao makanjanja.
 
Daah Mosimane hao Kaizer hawana kocha lakini anawaona wana mambo ya kienyeji sana ndio iwe Simba daah...
 
Kama makolo mmefanikiwa kumsajili kocha huyo hapo juu basi mtakuwa mmetisha, ngoja tusubiri hiyo saa moja tusikie hiyo habali kuu. Pitso Masomane ni kocha wa hadhi ya juu kabisa hapa Africa na atapaisha sana hadhi ya Simba SC
Hakuna hiyo kitu...kocha wa mikia ni ZUBER KATWILA
 
Hawana fedha hiyo.. hakuna kocha mkubwa kwenye A-list anaweza kuja Simba.

Kuku kishingo tu hataki kurudi .. mambo ya uswahili Swahili,mara kuchanjwa chale za matako na kwenda makaburini usiku- hakuna wa kuvumilia!!
 
Back
Top Bottom