simba

  1. JamiiForums Tanzania Simba na Yanga chezeni mechi ya kuchangia Hanang

    Waathirika wa maporomoko ya Mlima Hanang wengi wao kama sio wote ni washabiki wa Simba na Yanga. TFF ratibu pambano la Simba na Yanga ili mapato yote yaende Hanang kama kurudisha kwa jamii. Natoa hoja!
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wanasoka mbona Kuna kimya kuhusu Onana wa Simba!

    Wilson Onana alisajiliwa kwa mbwembw sana, tambo zilikuwa nyingi mno, zikihusishwa kuwa eti Simba ilishauriwa na Samwel Etoo kuwa Onana ni mtu nanusu. Baadaya ya msimu kuanza mambo yalikuwa tofauti Onana akawa Si lolote si chochote Uwanjani! Bila shaka lilikuwa ni suala la muda tu kuvunjiwa...
  3. JamiiForums Tanzania Kufuzu Quarter Final Caf Cl: tofauti 10 kundi la Simba na Yanga

    1. Anayeongoza kundi la Simba ana point 7 iliSimba amfikie anahitaji mechi mbali wakati anayeongoza kundi la Yanga ana point 5 the Kumfikia ni mechi Moja tu 2.Simba ana mechi na Wydad wakati Yanga ana mechi na Medeama Kwa Mkapa. Wydad. Mgumu kuliko Medeama. 3.Simba ana mechi Ghana ambako Wydad...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Simba aruhusiwe kucheza mechi vs Wydad ianze saa tisa kwa Mkapa kwenye jua. Kama Mamelodi anavyoanza mechi zake na Waarabu saa tisa kwenye jua

    Habari wadau. wiki ijayo simba anarudiana na Wydad kwa mkapa. Ni vizuri mechi hiyo ianze saa tisa jua bado kaii ili iishe saa 11 kasoro jua bado halijazama pia Hii mbinu anaitumia Mamelodi Sundown anapocheza na waarabu , waarabu hawajazoea kucheza kwenye jua Kama CAF wanairuhusu Mamelodi...
  5. JamiiForums Tanzania Kila timu inaruhusu goli ila janga kubwa SIMBA ni ufungaji..

    Kila timu duniani inaruhusu goli ila janga KUBWA Simba ni kushindwa kufunga magoli pamoja na nafasi nyingi zinazotengenezwa. Mechi na Wydad kama tungekuwa na washambuliaji wanaojielewa ilikuwa mapema sana ushindi... Nafasi nyingi zilipatikana ila uwezo mdogo nakukosa umakini kunasababishwa na...
  6. JamiiForums Tanzania Kiwango cha Simba kingekuwa kipimo cha Klabu Bingwa Afrika, michuano hii ingedharaulika sana

    Kwa kiwango na uchezaji wa Simba hii, hakika michuano hii ingedharaulika na kutofuatiliwa. Simba imechoka na haina hata uwezo wa kupiga pasi tano. Simba wamekuwa wakijipambanua kuwa wao ndiyo wacheza-klabu Bingwa Afrika. Wamekuwa wakiwabeza na kuwatweza Yanga kuwa michuano hiyo hawaiwezi na si...
  7. JamiiForums Tanzania Whydad amecheza mechi ya kiufundi licha ya ubovu wake na Simba kacheza mechi ya kukamia bila mipango ya kupata goli

    Simba hii kwa sasa naona wamebaki kukamia mechi dhidi ya waarabu na sio kuzicheza mechi hizi kiufundi, kilichoonekana Jana kinathibitisha ilo! Kadri muda ulivyokuwa unaenda nilikuwa sioni Simba itapataje goli na kwa njia ipi, wakati wenzao waliokuwa wanayo presha kubwa ya kupata matokeo...
  8. JamiiForums Tanzania CHAMA hana msaada tena kwa timu ya Simba

    Habari za Jumapili wanajukwaa. Nianze kwa kusema tu kwamba kiuhalisia Jana Simba wamecheza vizuri sana kabla ya Sub Moja haijafanywa, na swala la simba kufungwa 1 tu na Wydad linadhihirisha kua Soka La Bongo Limekua. Tusilete porojo eti Wydad wabovu au Al Ahly kutoa Sare na Yanga basi Ahly...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Ni muda sasa Simba iachane na kucheza gemu za jihadi na kucheza professional game

    Nimejaribu kuangalia gemu nyingi Sana Simba alizocheza ugenini hususani na timu za kaskazini. Kama wangewekeza kwenye professional game huenda wangevuka hatua zaidi hata kufika nusu au fainal kabisa
  10. S

    JamiiForums Tanzania Hivi Simba waliokuwa wanawacheka Yanga kuwa mkiani, wao sasa hivi wako wapi?

    Nasikia Simba waliokuwa wanawacheka Yanga kushika nafasi ya mwisho kwenye kund,i, leo wanaongoza kundi baada ya mechi yao na Wydad. Nawapa hongera sana kwa kuongaza kundi.
  11. JamiiForums Tanzania FT | Ngao ya Jamii | Simba Queens 5-4 Yanga Princess | Azam Complex

    Kikosi cha Simba Queens Kikosi cha Yanga Princess Simba Queens yaingia fainali kwa kuipiga Yanga Princess Kikosi cha timu ya soka ya Wanawake ya Simba Queens kimefanikiwa kuingia Fainali ya Ngao ya Jamii Wanawake 2023 kwa kuifunga Yanga Princess kwa penati 5-4 katika Nusu Fainali iliyopigwa...
  12. J

    JamiiForums Tanzania FT: J.Galaxy vs Asec: 0-2, kwa matokeo haya kundi la Simba limezidi kuwa gumu

    Asec Mimosas wamewacharaza Jwaneng Galaxy nyumbani kwao kwa goli 2-0. Na sasa wana jumla ya pointi 7, Asec wana mechi mbili za nyumbani dhidi ya Galaxy na Simba, na moja ya ugenini dhidi ya Wydad
  13. JamiiForums Tanzania Tujipange na droo nyingine kutoka Simba!

    Hakuna kukatatamaaaa hata Al Ahly kadroo jana. Naomba msiumie moyo na megi ya leo ft draw. Tena usishangae hata goli moja hakuna kama jana. All the best Simba SC.
  14. S

    JamiiForums Tanzania Simba leo wakifungwa watakuja na lipi?

    Hebu tuanze kubashiri kauli za Simba baada ya kupokea kichapo leo. 1. Kocha ana muda mfupi 2. Hata nyie Yanga mna point 2. 3 .Kipa ni tatizo. Ongeza nyingine.
  15. S

    JamiiForums Tanzania Simba wanajaribu kulazimisha tuamini kisaikojia kuwa Yanga hana nafas, ila wanasahau wao walifungwa mechi mbili na bado wakafika robo fainali

    Hawa jamaa ni akili mgando kabisa. Kama sikoseI, wao kwenye kundi lao walipoteza mechi mbili za ugenini na bado wakafika robo, halafu wanaibeza Yanga ambayo mpaka sasa imepoteza mechi moja tu ya ugenini. Ukweli huu wanaujua vizuri, wanachokifanya ni kujaribu kucheza na saikolojia yetu wakati huo...
  16. JamiiForums Tanzania FT: Wydad AC 1 - 0 Simba SC | CAFCL | Stade de Marrakech | 09.12.2023

    Leo tarehe 09/12/2023 saa 4:00 usiku timu ya Simba kutokea Tanzania itakuwa na kibarua ugenini kucheza dhidi ya Wydad AC ya Morocco Jijini Marrakech. Hii itakuwa mechi ya tatu hatua ya makundi CAFCL. Katika kundi B Wydad AC ndiyo timu pekee ambayo haina pointi hadi sasa baada ya kufungwa mechi...
  17. JamiiForums Tanzania Simba chukueni Mudathir, Sure Boy, Kibwana, Moloko na Farid Musa, Kocha wa Yanga hawataki

    Kwa vile hawa bado ni Wachezaji wazuri tu wanaweza kusaidia Simba kwenye michuano ya kimataifa. Taarifa zinaonyesha kwamba kocha wa Yanga hawataki
  18. JamiiForums Tanzania Uzushi na uongo wa Haji Manara kumhusu Fabrice Ngoma

    Ni zaidi ya mara mbili nimemsikia Haji Manara akisema kuwa Fabrice Ngoma ni mchezaji mwenye umri mkubwa sana kuliko unaotangazwa katika taarifa zake rasmi. Toka nimemsikia nilikuwa nina mashaka na hizo taarifa ila sikuzifuatilia. Manara mara zote hizo amekuwa anasema alimshuhudia kwa macho yake...
  19. JamiiForums Tanzania Tuzo za CAF: Kocha wa Simba apenya, Yanga yatupwa

    Mshika remote wa vichwa vya fans wa Yanga tunaomba uwaset Uto wajadili bila jazba na matusi
  20. JamiiForums Tanzania Tetesi: Simba kupata Captain mpya hivi karibuni

    Simba imeondoka leo kuelekea Morocco katika mtanange wa kufa na kupona dhidi ya Wydad AC. Katika safari hiyo, Captain wa Simba John Bocco ameachwa nyumbani. Hii ni safari ya pili mfululizo ambapo Bocco ameachwa katika safari wakati katika uwanja wa mazoezi anaonekana. Safari ya kwanza ilikuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…