simba

  1. M

    Ligi Kuu Bara. FT: Fountaain Gate 0 - 3 Simba uwanja wa Amri Abeid Aprili 15, 2026

    Mechi kati ya Simba inaendelea muda huu Simba wakiwa mbele kwa bao 2 dhidi ya Fountain gate. Simba yupo ugeninim, Goli kwanza limefungwa na Chama, la pili limefungwa na Gueye. Na sasa ni kipindi cha pili ----- Wekundu wa Msimbazi, Simba SC, wameendeleza wimbi la ushindi katika Ligi Kuu ya NBC...
  2. M

    Asha Baraka aomba Simba ipewe uwanja kama ilivyopewa Yanga. Hivi haya ndio mahitaji ya Watanzania wabunge wanayojadili?

    Mbunge wa Viti Maalum, Asha Baraka amemwomba Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba kutoa uwanja kwa ajili ya klabu ya Simba kama ilivyopewa klabu ya Yanga Kweli pamoja na kero chungu nzima mbunge anaenda kuomba Simba apewe uwanja kama alivyopewa Yanga, hivi ndio vipaumbele vya wabunge wa CCM...
  3. fimboyaukwaju

    Emmanuel Mwayombo kawaumbua Simba

    Emmanuel Mwayombo,a.k.a mpekeo mtandala,mwandishi wa majini,kawaumbua simba.Anasema ameongea na timu inayommiliki eno loemba ya cameroun inadai fedha za kuuzwa kwa loemba,na deadline imepita simba hawajalipa hata senti na wakati wowote,watawapeleka fifa.H ha ha ha
  4. JanguKamaJangu

    "Makomandoo" watwangana makonde na Walinzi Uwanja wa Sheikh Amri Abeid kabla ya TRA Vs Simba, Aprili 9, 2026

    Wakati msafara wa timu ya Simba SC ukiingia uwanjani majira ya Saa 8:30 Mchana wa leo Aprili 9, 2026 kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Bara kuna hali ya sintofahamu kati ya wanaodhaniwa kuwa ni “Makomandoo” na walinzi wa uwanja, hali ambayo...
  5. Waufukweni

    FT | TRA SC 0-0 Simba SC | NBC Premier League | Sheikh Amri Abeid - Arusha

    Mechi ya kiporo ya TRA SC dhidi ya Simba SC inatarajiwa kupigwa jioni saa 10:00 katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Stadium, ikiwa ni sehemu ya mashindano ya NBC Premier League, ambapo timu zote zinatarajia kuonesha ushindani mkali kusaka alama 3 muhimu. Kikosi cha TRA United SC Kikosi cha...
  6. R

    Simba tuache kuwajaza ujinga wachezaji wetu

    Hii tabia imekuwepo muda mrefu sana, kuna kipindi Mkude alikuwa akisifiwa sana wakati yeye alikuwa chanzo cha makosa mengi, walimsifia mpaka viongozi wakawa wanaogopa kumwacha kwa kuwaogopa mashabiki. Baadae akaja Shabalala pamoja na magoli mengi yalikuwa yanatokea kwake bado mashabiki...
  7. Kichuguu

    Azam Wasipoifunga Simba Nitafadhaika Sana

    .... kwa sababu nimebeti hela nyingi sana Azam ishinde mchezo huo.
  8. M

    Mo anatengeneza mgogoro mwingine Simba

    Tayari Mo Dewji amepeleka mapendekezo kwenye bodi ya udhamini kutaka kujenga uwanja kwe uwanja wa Bunju. Simba imepata katiba mpya ambayo inataka mchakato wa uwekezaji uanze upya baada ya logo ya Simba ithaminiwe upya kupata thamani halisi ya Simba. Pia imeondoa neno mwekezaji na kuwa...
  9. M

    Kwanini Azam waliondoa youtube mechi yao ya shirikisho mwaka 2020 na Simba

    Mnaojua kiswahili mtasahihisha kichwa cha habari. Mwaka 2020 katika mashindano ya shirikisho Simba iliyokuwa ya moto ikitembeza pira biriani iliwapa vipigo Azam Fc 4-0 na Yanga 4-1. Cha ajabu mechi ya yanga wameiacha ila mechi yao waliyobamizwa wameiondoa hii inamaanisha nini ina maana wanataka...
  10. Waufukweni

    Mashabiki wa Simba, baada ya Mangungu, mchagueni Joseph Rwegasira (Jayrutty) kuwa Mwenyekiti wa klabu yenu

    Bila shaka Wanalunyasi mtakuwa mnatamani kupata kiongozi kijana ambaye ana maoni makubwa juu ya klabu yenu kama ambavyo Yanga wamewatesa misimu hii minne mfululizo baada ya Engineer Hersi Said kuchukua kijiti cha Rais wa Klabu baada ya Mshindo Msolla. Mnahitaji uongozi wenye maono, uwezo wa...
  11. kavulata

    Timu ya TRA inanuka Simba, haifai kuhamasisha ulipaji kodi

    Kodi lazima ilipwe na watu wote wa dini zote, makabila yote na hata mashabiki wa timu zote. Inafahamika kuwa taifa la Tanzania limegawanyika kati ya wanaume na wanawake, wakristo na waislam na pia mashabiki wa Simba na Yanga. Hii inamaanisha kuwa kwenye jambo la kitaifa usiingize jinsia...
  12. M

    Full Time: Simba 3 -0 Tabora United. Machi 22, 2026

    Mechi ya Simba dhidi ya Tabora United inachezwa uwanja wa General Isamuhyo ===== Timu ya Simba imeichapa TRAUnited magoli 3-0 katika mchezo wa Ligi Kuu Bara kwenye Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo na hivyo kujiweka kwenye mazingira mazuri ya kukimbizana na Yanga (inaongoza ligi, pointi 38...
  13. kavulata

    Simba wana TFF Yanga wana Mungu, wote sare

    Hakuna mtu mwenye akili timamu ambae hajui kwamba TFF na Bodi ya ligi wana upogo kwenye kupanga ratiba za mechi, waamuzi na adhabu mbalimbali. Upogo wao huu haupangui matokeo ya ligi badala yake unazidi kuidhoofisha timu yao.
  14. Waufukweni

    FT: Pamba SC 1-1 Simba SC | NBC Premier League | CCM Kirumba

    Mechi kali ya Ligi jioni ya leo inapigwa Mwanza katika dimba la CCM Kirumba Kikosi cha Simba Sports Club kitawakosa washambuliaji wake wawili dhidi ya Pamba JIJI FC, Baraka Mwangosi na Seleman Mwalimu. Mwangosi aliumia kwenye mechi dhidi ya Singida BS na hajasafiri kwenda Mwanza wakati...
  15. M

    Jesca Magufuli: Hayati Magufuli hakuwahi kuhudhuria harusi za watoto wake, aliacha harusi ya kaka akaenda kuangalia mechi ya Simba Vs Yanga

    Mtoto wa Hayati Magufuli, Jesca amesema kuwa Mzee wake alikuwa si mtu wa kupenda sherehe kabisa jambo lililopelekea asihudhurie harusi hata ya mwanaye mmoja. Anasema hawakumshangaa kwani hata harusi yangu haikuwa na sherehe kabisa, walitoka kanisani wakaenda kunywa soda, wakarudi nyumbani Mama...
  16. M

    Mechi kati ya TRA United na Simba SC yaahirishwa hadi wakati mwingine kutokana na mvua

    Kutokana na Mvua kubwa kunyesha, Mechi ya Simba na Tabora iliyokuwa ichezwe leo, 14 Machi 2026 imeahirishwa hadi itakapopangiwa ratiba na bodi ya ligi Hayo yamesababishwa na uwanja kujaa maji na mpira kushindwa kudunda Uamuzi huo umetolewa na Mechi Kamishna baada ya vikao vya pande zote 2
  17. Waufukweni

    Mwigulu: Simba sasa hivi hawana striker, kwa sarakasi hizi anaweza akacheza huyu

    Utani wa Mwigulu Nchemba kwa Klabu ya Simba, "Sasa hivi hawana Mshambuliaji"
  18. kavulata

    Simba na Yanga ni ng'ombe wa maziwa wa mpira wa Tanzania, wapewe heshima yao.

    Hakuna timu ambayo inataka mechi yake ya nyumbani ya Simba na Yanga ichezwe saa 8 mchana. Hakuna mdhamini wa timu ambae anapenda mechi ya timu inayoidhamini icheze mechi zake na simba na yanga saa 8 mchana. Mwenye haki ya matangazo asilani hawezi kukubali mechi za simba na yanga zichezwe mchana...
  19. Tajiri Tanzanite

    Simba msikubali hizi faini mnazopigwa na bodi ya ligi, wanaibeba timu masikini halafu pesa wanachukua kwenu

    Hapo vip! Ukitazama kwa jicho latatu unaona kabisa hizi faini wanazopigwa Simba sio haki,ila nikwasababu wanajua club ya Simba inapesa hivyo wanatengeza faini za kijanja ili hiyo bodi inayongozwa na viongozi maskini wapate mkate wa chai. Ni wazi bodi inaibeba Yanga katika vitu vingi ila Simba...
Back
Top Bottom