Waziri wa Mambo ya Ndani, Kipchumba Murkomen, ametangaza Jumatatu, Machi 31, 2025, kuwa Sikukuu ya Umma kwaajili ya kusherehekea Eid-ul-Fitr
Eid-ul-Fitr, inayomaanisha “Sikukuu ya Kuvunja Funga,” ni miongoni mwa sikukuu muhimu zaidi katika kalenda ya Kiislamu, ikiashiria mwisho wa Mwezi Mtukufu...