siku

Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.

View More On Wikipedia.org
  1. Je ni lini kyela tutapata umeme angalau masaa mawili tuu kwa siku mchana ?

    Je lini Kyela tutapata umeme angalau masaa mawili tuu kwa siku? Naomba kuwasilisha
  2. P

    Bado siku 17, nipo kwenye mateso wazee

    Hope wote ni wazima wa afya. Wakuu Leo siku ya kumi na Moja Toka nianze kutumia pep TLD hii nikutokana nilikula pis moja iv bermaid ambayo machale yalinicheza kuwa ina weza kuwa ina moto. Baada ya kuwahi kituoa Cha afya within 72 hrs nikapewa pep TLD, ila wakuu nipo kwenye mateso leo siku ya...
  3. M

    Chakula kwa siku Tsh 30,000

    Maisha yanazidi kuwa magumu ukiwa na familia ya watoto wawili ukitaka kula nyama uwe na sio chini ya elfu 30. Nyama kilo 10000 Michele kilo 2, 6000 Mkaa 5000 Nyanya, vitunguu, carrot, mafuta 5000 Chai asubuhi 5000. Hapo hujaweka tunda lolote. Vijana mjipange kabla ya kuamua kuanzisha familia
  4. Je, ni kweli Israel ilipiga na kuteka mataifa ya Kiarabu kwa siku sita? Sasa inashindwa nini kuwamaliza kikundi kidogo cha Hamas?

    Vita vya Siku Sita, pia vinajulikana kama Vita vya Juni, 1967 kati ya nchi za Kiarabu na Israeli, au Vita ya Tatu vya Waarabu na Israeli, vilipiganwa kati ya 5 na 10 Juni 1967 kati ya Israeli na Jordan, Syria, na Misri. Uhusiano kati ya Israeli na majirani zake haukuwekwa sawa baada ya Vita vya...
  5. Mdada siku moja moja toka nje ujipitishe pitishe angalau uonekane

    Mdada unaetafuta mume usijifungie ndani toka angalau nje ujipitishe pitishe uonekane huwenda ukampata mwenzio, alafu ukiwa unatembea tembea usiwe unatembea haraka haraka na ukiitwa itikia siyo unakuwa kama bubu. Alafu ukitafutwa usiuluze namba yangu umeitoa wapi mume hapatikani hivyo changamka...
  6. Je Una Changamoto Ya Kusoma Biblia Kila Siku Au Ukisoma Huelewi? Suluhisho Limepatikana.

    Moja ya kitu ambacho hupaswi kukiruhusu ni siku yako kupita bila kusoma biblia yako na kutafakari. Tumekuandalia kundi zuri la wasap la kusoma biblia kila siku na kutafakari, sio hivyo tu, unapata ufafanuzi au uchambuzi wa sura moja ya biblia kila siku. Hii inakusaidia kuelewa kwa usahihi kile...
  7. Umekula nini leo siku ya kwanza ya mwaka mpya 2024?

    Wazee wa maakuli, leo tunauanza mwaka mwaka mpya, naamini uko mzima wa afya. Tumeuanza mwaka na msosi gani leo? Mimi nimepiga ndizi bukoba na dagaahapa safii, utamu unafika hadi kisogoni.
  8. Polisi wameshindwa kumkamata huyu tapeli anayewapiga Walimu kila siku?

    Heri ya mwaka mpya watu wangu wa nguvu. Naingia kwenye mada moja kwa moja na kwa ufupi. Naomba niseme kuwa huu ndio uzi wangu wa kwanza kwa mwaka huu wa 2024. Sikuwa nimepanga kuweka uzi hapa JF mapema hivi ila imenibidi nifanye hivyo baada ya kupokea ujumbe huu wa onyo kwa njia ya WhatsApp...
  9. DOKEZO Katavi siyo salama. Kuna kikundi kinaitwa "Damu Chafu" ambacho kinafanya mauaji, ni hatari sana!

    Baada ya Salam. Ndugu zetu Watanzania wenzetu kwanza tunaomba Dua zenu. Huku Katavi Kuna mauaji sana mpaka inatisha. Karibia Kila wiki kuna mtu anauwawa kwa kuchomwa na visu. Kunakikundi kinaitwa "DAMU CHAFU" hiki ni kikundi cha mauaji hatari sana. Leo kupitia Azam TV nimeona taarifa ya...
  10. M

    Ninalia kwa sauti leo ni siku ya mwisho 2023

    Mzuka wanajamvi, Niacheni tu nilie. Siamini leo ndio siku ya mwisho 2023. Yani eti hatutauona tena. It can't be true 2023 has just gone like that. This really sucks just imagine January ilikuwa juzi eti leo ni 31st Dec. Hivi ni kweli huu mwaka unaisha? Ama ni mauzauza naona. But why why why...
  11. W

    Shule za siku hizi bado watoto wetu wanafundishwa mambo ya utamaduni?

    Kwa siku hizi naona kuna uzungu mwingi sana kwa vijana wengi, nikajiuliza hivi watoto wa sasa wa shule za msingi hufungwa mambo ya kitamaduni? Hapo ni watoto wa shule ya Msingi Oysterbay wakichenza ngoma za asili kwenye mahafali ya mwaka 1987. Je, wa sasa wanaweza cheza ngoma?
  12. Maziwa Fresh yanayouzwa siku hizi Yanachakachuliwa sana

    Mfanyabiashara anaona Kununua Lita moja ya maziwa fresh ni heri ananunue Kopo la maziwa ya unga na akapata lita zaidi ya 20 za maziwa na wanayaongeza na Butter 'magarine' ili yawe na vimafuta na yakipoa yanaonekana kama maziwa halisi ya ngombe Yani Biashara ya maziwa siku hizi ni uhuni mtupu...
  13. J

    Wanaomkosoa sana Samia sasa hivi ndio watakaomkumbuka siku Mwigulu au Makonda ndio Rais wa Tanzania

    Tanzania ina matatizo mengi, na Samia anastahili lawama kwa baadhi ya matatizo yanayoikabiki Tanzania kwa sasa kama hili la mgao wa umeme n.k Lakini kama wewe unaamini kama mimi kuwa maendeleo ya watu yanapaswa kuendana na uhuru, umoja na mshikamano wa taifa yafaa tukumbuke tulikotoka na ku...
  14. kuna mambo mawili hapa......

    kuna mambo mawili hapa aidha aliishakula vya kwake vyote na hana alichobakiza au ametafuta saana na akakosa mwisho wa siku kakata tamaa, tujitahidi sana kuwakwepa hawa watu hasa sisi vijana wenye muelekeo wa kujipata.
  15. S

    Bado siku mbili tu mambo haya yaanze kuwatesa Watanzania

    1. Mpango wa bima kwa wote. Huu ni msumari wa utosini kwa watanzania. Kelele zitasikika kuanzia January 2024 mpango utakapoanza kutekelezwa. Kulipa TShs 360,000/= kwa kila watu 3 kwa mwaka siyo mchezo. Na familia nyingi za kitanzania unakuta watu wako zaidi ya 10 kwenye familia, maana yake kila...
  16. Hivi, mwanamke akiwa anakusumbua hivi na haumjibu chochote kila siku utafanyaje?

    Hivi mwanamke akiwa anakusumbua hivi na haumjibu chochote kila siku utafanyaje? Huyu mwanamke nilikuwa Naye kwenye relationship ila tatizo lake ni kausha damu, kitu kinachofanya nisimwamini sana, ndio maana sitaki mazoea naye. Sasa amekuwa ananicheck karibia kila siku ila mimi nimeuchuna na...
  17. Hotel/Lodge Bagamoyo msimu huu wa Sikukuu chini ya 100,000 kwa siku

    Nahitaji iwe na options ya vitanda double, iwe ufukweni au isiwe mbali na ufukwe. Iwe sehemu tulivu ya kuvutia. Gharama yake isizidi tsh 100,000. Maana sisi wengine si matajiri, ninataka kukaa hapo siku 7 tu nipumzike na mke na watoto wa 4. Naombeni msaada wenu.
  18. Manchester United Yaendeleza Rekodi yakutokufungwa Siku ya Boxing Day Yaipasua Aston Villa 3-2

    Club Ya Manchester United Alimaarufa Mashetani Wekundu imepata Ushindi katika Mchezo wake dhidi ya Aston Villa ambapo Mchezo huo umepigwa katika uwanja wa Old Trafford. Aston villa walikua wa kwanza kutangulia kupata goli 2 kupitia kwa Captain McGinn na Dendoncker Lakin Man Unuted ikafanya...
  19. S

    Siku nikiwa Rais, mnaozaa hovyo mtanikoma

    (a) Yaani wewe mdada ambaye huna mume halafu una watoto 2 au zaidi wa baba tofauti utaozea jela. (b) Wewe mwanaume ambaye hueleweki unafanya kazi gani halafu una watato 2 au zaidi utaozea gerezani. (c) Madereva bodaboda/bajaji na machinga marufuku kuwa na watoto. Nitaanzisha utaratibu wa kila...
  20. Mfungo wangu wa siku 40 bila ya kula chochote umekamilika

    Habari ndugu zangu, Leo ninao furaha kubwa kwa sababu bwana ameniwezesha kufunga mungo wa siku arubaini bila kula chochote . Tangu mwezi wa 11 tarehe 15 nilipoingia kwenye kifungo hicho hadi leo
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…