Hivi, mwanamke akiwa anakusumbua hivi na haumjibu chochote kila siku utafanyaje?

RoadLofa

JF-Expert Member
Mar 22, 2017
1,347
2,957
Hivi mwanamke akiwa anakusumbua hivi na haumjibu chochote kila siku utafanyaje?

Screenshot_20231227-153902.png
Screenshot_20231227-153902.png
Screenshot_20231227-153902.png

Huyu mwanamke nilikuwa Naye kwenye relationship ila tatizo lake ni kausha damu, kitu kinachofanya nisimwamini sana, ndio maana sitaki mazoea naye.

Sasa amekuwa ananicheck karibia kila siku ila mimi nimeuchuna na hachoki kunicheck. Sasa nashindwa kumuelewa, nikijirudisha tu anaanza ukausha damu wake, nikipotea anakuwa hivyo, naombeni ushauri wenu.
 
Mchane ukwl mlipofikia sasa basi Kila mtu ashike njia yake,
Mwanaume ndie mtoa dira(Njia) mwoneshe Khadija kuwa kazingua na shikilia msimamo wako
 
Hivi mwanamke akiwa anakusumbua hivi na haumjibu chochote kila siku utafanyaje?

View attachment 2854663View attachment 2854663View attachment 2854663
Huyu mwanamke nilikuwa Naye kwenye relationship ila tatizo lake ni kausha damu, kitu kinachofanya nisimwamini sana, ndio maana sitaki mazoea naye.

Sasa amekuwa ananicheck karibia kila siku ila mimi nimeuchuna na hachoki kunicheck. Sasa nashindwa kumuelewa, nikijirudisha tu anaanza ukausha damu wake, nikipotea anakuwa hivyo, naombeni ushauri wenu.
Hii ndio dawa ya kausha damu huo ni mtego ukijibu TU kibunda kinatembea shikilia hapohapo
 
Kama ni kweli haumhitaji tena basi mzuie kukutafuta na kama ataendelea block namba yake.

Unless uwe unafurahia hiyo attention anayokupa, kuna njia nyingi sana za kulimaliza hilo. Hicho sio kitu cha kuomba ushauri.
Mkuu ni mwiko Kwa mwanaume kumlima MTU block au kumuweka blacklist hizi ni tabia za kike

Acha mwamba aendelee kufurahia attention anayopata kutoka Kwa kausha damu ila najua kuna siku mwamba ataingia matopeni akiwa na upwiru tena sio mbali very soon 😂
 
Mn
Kama ni kweli haumhitaji tena basi mzuie kukutafuta na kama ataendelea block namba yake.

Unless uwe unafurahia hiyo attention anayokupa, kuna njia nyingi sana za kulimaliza hilo. Hicho sio kitu cha kuomba ushauri.
Mngejuaje kuwa ana Khadija anayemzimia?
 
Hivi mwanamke akiwa anakusumbua hivi na haumjibu chochote kila siku utafanyaje?

View attachment 2854663View attachment 2854663View attachment 2854663
Huyu mwanamke nilikuwa Naye kwenye relationship ila tatizo lake ni kausha damu, kitu kinachofanya nisimwamini sana, ndio maana sitaki mazoea naye.

Sasa amekuwa ananicheck karibia kila siku ila mimi nimeuchuna na hachoki kunicheck. Sasa nashindwa kumuelewa, nikijirudisha tu anaanza ukausha damu wake, nikipotea anakuwa hivyo, naombeni ushauri wenu.

Kuna sehemu ya ku bloc, ila inaonekana unapenda messages zake.
 
Inayo ila siwezi mblock maana namkubali mbaya ila tatizo lake ni ilo tu nililolisema hapo
Hivi kumbe wanaume pia hawajui wanataka nini

Sasa wewe hujibu texts zake sababu anakuomba sana pesa....kuna option ya block ambayo huwezi kumblock sababu unamkubali....sasa unatakaje?

Basi akikuomba usimpe
 
Back
Top Bottom