Manchester United Yaendeleza Rekodi yakutokufungwa Siku ya Boxing Day Yaipasua Aston Villa 3-2

THE FIRST BORN

JF-Expert Member
Apr 24, 2019
1,727
3,286
Club Ya Manchester United Alimaarufa Mashetani Wekundu imepata Ushindi katika Mchezo wake dhidi ya Aston Villa ambapo Mchezo huo umepigwa katika uwanja wa Old Trafford.

Aston villa walikua wa kwanza kutangulia kupata goli 2 kupitia kwa Captain McGinn na Dendoncker
Lakin Man Unuted ikafanya Comeback na kupata ushindi kupitia kwa Garnacho aliefunga goli 2 na Højlund alipigilia msumari wa mwisho na wa ushindi.

Na hii inaendelea kua Rekodi ya Man United kutokufungwa katika Michezo 20 iliyocheza Siku ya Boxing Day katika uwanja wake.

Ambapo kabla ya mchezo wa Jana Team hii ilikua imecheza michezo 19 ikishinda 16 na kwenda sare michezo 3 tu hii ni rekodi toka mwaka 1978
IMG_20231227_010949_377.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom