siku

Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.

View More On Wikipedia.org
  1. Hamduni

    LGE2024 Siku saba za moto, mwenezi CPA Makalla aunguruma Kigamboni uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    📍 Kigamboni Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es salam CPA. Amos Makalla ameendelea na mikutano mikubwa ya kampeni ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika Mkoa wa Dar es salam leo ikiwa ni zamu ya Wilaya ya Kigamboni, CPA Makalla amewanadi na...
  2. ELI COHEN

    LGE2024 Vipi harakati za siku ya kwanza ya kampeni maeneo ulipo?

    Aisee yani ni watu wanajibizana na boda boda duuh Yani vruuuuuuuu.... Tangia asubuhi!!!!!!
  3. Stephano Mgendanyi

    Ufunguzi wa Siku 7 za Kubeba Kila Kitu

    UFUNGUZI WA SIKU 7 ZA KUBEBA KILA KITU 📍20 Novemba, 2024 Mlezi wa Chama Cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Ndg. Mohammed Ali Kawaida (MCC) leo amekuwa mgeni rasmi katika Mkutano wa hadhara wa ufunguzi wa Kampenzi za Uchaguzi wa Serikali za...
  4. S

    PreGE2025 LGE2024 Baada ya CHADEMA kukomaa kuwa itashiriki uchaguzi na haitajitoa, plan B haiwezi kuja kuwa ni kuifuta kabisa kwenye daftri la Msajili siku za mbelen?

    Kwakuwa Watanzania tumeshindwa kupambana dhidi ya kila uovu unaofanywa kwa viongozi na wanachama wa CHADEMA na sasa kwenye kuhujumu wagombea wa CHADEMA kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa wa mwaka huu(Nov. 17, 2024); je, haiwezekani ipo siku wahusika wataenda mbali na hata kufikia hatua ya...
  5. Miss Zomboko

    Siku ya Watoto Duniani (Novemba 20): Unajivunia kitu gani kuhusu Mtoto wako?

    Siku hii ilianzishwa na Umoja wa Mataifa mwaka 1954 ili kukuza ustawi wa watoto duniani kote na kuongeza uelewa kuhusu haki zao. Pia ni kumbukumbu ya kupitishwa kwa Mkataba wa Haki za Mtoto (Convention on the Rights of the Child) mnamo 1989. Ni fursa nzuri ya: Kujifunza kuhusu haki za watoto...
  6. Half american

    Siku zinayoyoma kwa kasi sana kwenye huu mwaka wa kufosi au hii hali ni kwangu tu?

    Habari wakuu, nianze kwa kuwapa pole kwa janga la kariakoo ni janga zito sana Mungu awatie nguvu wahanga wote katika kipindi hiki kigumu. Nirudi kwenye mada, wakuu siku zinakwenda spidi sana nadhani nanyi mnalipitia hilo, kuna jambo nilipanga kufanya november nna utaratibu wa kuweka reminder...
  7. Mad Max

    Leo ni Sikukuu ya Wanaume Duniani ila hakuna meseji wala status za kuwapongeza. Subiria ifike siku yao!

    Nov 19 ni siku yetu tena, Duniani. Ila hauoni majigambo mitandaoni wala meseji za heri ya siku ya wanaume Duniani wala kupongezwa kwa mchango wetu katika Taifa. Ila ikifika March 8, utashangazwa.
  8. Mchochezi

    Kwanini magolikipa siku hizii hawavai track wakiwa mchezoni kama zamani?

    Naombeni majibu
  9. Miss Zomboko

    Siku ya Kimataifa ya Wanaume Duniani

    Siku ya Kimataifa ya Wanaume huadhimishwa kila mwaka tarehe 19 Novemba, ikiwa na lengo la kuangazia changamoto wanazokabiliana nazo wanaume, kusherehekea mafanikio yao, na kuhimiza usawa wa kijinsia. Madhumuni makuu ya siku hii ni pamoja na: 1. Afya ya Wanaume: Kuhamasisha ufahamu juu ya...
  10. K

    Ripoti za kila siku zinaonekana kama ni fake! wananchi hawapati taarifa

    Ripoti mbali mbali za kila siku ambazo zinaagizwa na wanasiasa lakini hatuambiwi chochote zinaonekana kwa wengi ni fake tu. Ripoti mpaka za Raisi hazijulikani kama zilitoa au yalikuwa maneno ya kisiasa tu. Uongo ongo kwenye hii serikali umekuwa mwingi sana. Master wa uongo bahati mbaya ndie...
  11. Magical power

    Utakapo sifiwa kung'oa mademu kwa wingi, Siku ukiyavagaa Huwa hawatoi sifa tena ni utani mbaya na unafki wa "Pole sana Mwanetu"

    Utakapo sifiwa kung'oa mademu kwa wingi, Siku ukiyavagaa Huwa hawatoi sifa tena ni utani mbaya na unafki wa "Pole sana Mwanetu" Kataa uzinzi mwanangu, Usije Ukasifiwa kwa Kumaliza Kikombe Kimoja cha Uji.
  12. G

    Ukanda wa Gaza jeshi la Israel linalipua na kuangusha MAGHOROFA 5-10 kwa siku, lkn wananchi wanaokoana fasta, tena kwa mikono tu

    Tanzania kuna shida gani? Kaghorofa kamoja kanaihangaisha nchi tangu jana? Hii serikali inaweza jambo gani?
  13. W

    Siku ya Mtoto Njiti Duniani

    Kila Novemba 17, Siku ya Mtoto Njiti huadhimishwa Duniani ili kuongeza uelewa na kupaza sauti kuhusu changamoto zinazohusiana na suala hilo Mtoto njiti huzaliwa kabla ya wiki 37 za Ujauzito kukamilika Mtoto mmoja kati ya kila Watoto 10 huzaliwa Njiti na kila mtoto anayezaliwa chini ya uzito wa...
  14. ELI COHEN

    Wewe mwenyewe unapenda makalio makubwa, alafu bint akitanguliza pesa kama priority unaanza kulalamika "ooh mademu wa siku hizi wanapenda hela sana"

    Hii inaitwa ngoma draw, Mi nafikiri kila mtu ashinde mechi zake huku tukila kwa urefu wa kamba zetu maana hata solomon alijaribu kila kitu na akaishia kusema hii dunia na maisha kiujumla ni batili tu. Kama mwanaume priority yako ni kupenda makalio makubwa. Na mwanamke priority yake ni kupenda...
  15. Organic Uncle

    Barafu imeshamiri Mlima Kilimanjaro kwa siku ya pili leo

    KILI YANG'ARA
  16. Matulanya Mputa

    Wagombea wa Upinzani wamewekwa Ofisi ya Wilaya siku 3 kwa mahojiano, Masasi

    Viongozi mliopo humu, mjue na mtambue ambacho kinaendelea halmashauri ya wilaya ya Masasi. Wagombea wa upinzani wamekalishwa siku ya tatu mfululizo pasipo maelekezo ya aina yeyote. Hii inaonesha kwa namna gani DAS na watu wake wanaendelea kuhujumu wagombea. Watu wanahojiwa karibu masaa matatu...
  17. mdukuzi

    Bila Freeman Mbowe na Jordan Rugimbana, Tundu Lissu angepoteza uhai siku ile aliyopigwa risasi Dodoma

    Wale walenga shabaha(snipers )baada ya kushindwa kumuua Tundu Lissu ,alipelekwa hospitali ya General kwa matibabu. Mnaidhani wale sio sniper refer Donald Trump alipunyuliwa nywele badala ya kupigwa kichwa na sniper....tuendelee Lengo lilikuwa apelekwe Muhimbili. Mbowe mtoto wa mjini akahisi...
  18. sanalii

    Kwanini kituo cha Oyster Bay ndio kitajwe kila siku?

    Sativa alisema alipelekwa Oyster Bay kwanza kabla ya mengine, kwenye mahojiano na Millard Ayo, mhudumu wa Hotel aliotaka kutekwa Tarimo anasema jamaa walipofika walisema kua wao ni askari wametoka Oyster Bay, Why Oyster bay? Si bure
  19. Gwappo Mwakatobe

    Elon Musk Anakuja na Usafiri wa Kuzunguka Duniani Kote Ndani ya Saa Moja! Unaweza kufanya Kazi Marekani Ukitokea na Kurudi Da es Salaam Kila Siku!

    Soma hapa: "Elon Musk wants to change the way we fly. The billionaire tech mogul is pushing forward with SpaceX’s plans to launch “Earth to Earth” space travel, offering intercontinental flights that take off like a rocket and land just minutes later across the globe. Musk says his dream of...
Back
Top Bottom