siku

Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.

View More On Wikipedia.org
  1. Ojuolegbha

    Heri ya Siku ya Uhuru wa Tanganyika

    Tunapoadhimisha miaka 63 ya Uhuru wa Tanganyika na baadae Tanzania, tujikumbushe maneno ya aliyekuwa Rais wa kwanza wa Tanzania na Baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere kuhusu Muungano wa Tanzania. Pakua Samia App kupitia Play Store au App Store
  2. ommytk

    Leo ni siku ya uhuru wa Tanzania ni Moja ya sikukuu kubwa sana wananchi kwa nchi zingine tofauti na Tanzania inabaki kuwa sikukuu ya serikali

    Leo ni 9 December ni sikukuu ya uhuru wa nchi yetu Tanzania ni sikukuu ambayo tunakutana watu wote kwa dini zote na sio sikukuu ya kidini hii ni ya wananchi wote.tofauti kabisa na ilivyo unakuta kila mtu anaendelea na shughuli zake na inabaki kama mapumziko tu ni sio siku ya kufalia. Kwa wale...
  3. F

    Leo ni siku ya Uhuru wa Tanzania (iliyokuwa Tanganyika zamani)

    Nimeona mjadala mahali watu wakibishana kuwa leo ni Uhuru wa Tanzania au Tanganyika, nami nimeona kwa manufaa ya wengi nishiriki mjadala huu kwa kutoa mchango wangu wa mawazo. Siku ya Uhuru Ina maana iliyo sawa na siku ya kuzaliwa kwa mtu. Kama mtu alizaliwa akawa anaitwa Juma...
  4. FRANCIS DA DON

    Masaa 24 kwa siku hayatoshi. Je, tukiamua siku iwe na masaa 28 nini kitatokea?

    Kwa mantiki hiyo, saa zote na mifumo yote ya utunzaji muda ibadilishwe, sioni ulazima wa masaa kuendana na mzunguko wa jua. Jua lizunguke kivyake ila sisi tutahesabu masaa yetu kivyake, masaa 24 hayatoshi kabisa! ========================== 14/04/2025...
  5. muftee MD

    Je Yanga tumeacha utamaduni wetu wa kutoa misaada siku za mechi?

    Ni kama mechi kadhaa sasa sijaona ule utamaduni wetu wa kutoa misaada kwenye vituo mbalimbali vya wahitaji. Je inaweza kuwa sababu ya matokeo mabaya tunayopata?
  6. Waufukweni

    Ghana: Wapiga Kura wa Ablekuma Magharibi wasusia Chakula cha Mbunge wao Ursula Owusu-Ekuful, siku ya uchaguzi

    Wapiga kura katika Jimbo la Ablekuma West lililopo Mkoa wa Greater Accra, Ghana, walikataa chakula kilichodaiwa kutolewa na Mbunge wao Ursula Owusu-Ekuful siku ya uchaguzi. Tukio hili limetokea leo Disemba 7 katika kituo cha kupigia kura, ambapo wapiga kura walimzomea dereva wa gari la...
  7. chiembe

    Hivi Law School siku hizi wanafundisha na somo la kutoka mbio (kukimbia)?

    Kwa wenye uelewa, sisi wengine tulifanya Bar exam Mahakama Kuu Arusha. Cc:Lusako
  8. 4

    Mungu kanionesha ndugu Makongoro Nyerere kuwa mtu mkubwa siku za usoni

    Amani ya Mungu itawale kila mmoja kwa imani yake wanajf popote mlipo. Nimeoneshwa jambo ambalo sikutegemea kwa ndugu Makongoro Nyerere , sasa sijui ndo huyu mwanae na Baba wa taifa? Mungu kanionesha mtu mwenye sura ya uyu ndugu na kuniambia ataenda kuwa mtu mkubwa sio mda ,mtu mkubwa hapo...
  9. Roving Journalist

    Polisi Kinondoni yazindua Kampeni ya Siku 16 za Kupinga Ukatili wa Jijinsia, yataja waliofungwa maisha kwa makosa ya ukatili

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni umefanya uzinduzi wa Kampeni ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia ambao umebeba kauli mbiu isemayo Kuelekea Miaka thelathini ya Beijing Chagua kutokomeza Ukatili wa Kijinsia. Akizindua kampeni hiyo leo Disemba 06, 2024 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni...
  10. Gabeji

    Jenerali Ulimwengu uko wapi siku hizi? Ni nini kimekupata mpigania haki?

    Bila shaka wote ni wazima wa afya njema kabisa! Namuulizia jenersli ulimwengu yuko wapi sasa , ni mda mrefu Sijamsikia katika kupaza sauti juu ya uvunjifu wa haki za binadamu pamoja na uchaguzi wa serikali za mitaa. Awamu hii ya sita upo kimya sana ndugu yangu ni nini kimekupata? Njoo ungana...
  11. Waufukweni

    Songwe: Mdude Nyagali aachiwa kwa dhamana na Mahakama leo baada ya kusota siku 15 Mahabusu

    Mdude Nyagali maeachiwa kwa dhamana na Mahakama ya Hakimu Mkazi Songwe hii leo Disemba 06, 2024 baada ya kukaa Mahabusu kwa siku 15 katika vituo vya Polisi vya Ileje Songwe, Inyala Mbeya, Kituo cha Polisi Kati Dar Es Salaam na Vwawa Songwe. Mdude Nyagali alikamatwa na Jeshi la Polisi Novemba...
  12. U

    Kufanya usafi siku ya maandamano

    Baada ya kauli mzee kuonya kile chombo kikubwa kilichobaki kisijiingize kwenye mambo ya kisiasa baada ya wadogo zao kuonekana wanatumika kisiasa japo wengi wao hawapendi bali ni kuagizwa tu. Sasa, siku watu wale wakitangangaza maandamano, je, wale wakubwa watatangaza nao kufanya usafi? Naona...
  13. G

    Trump: Achilieni mateka kabla sijaapishwa la sivyo mtabamizwa kwa kiwango hakijawahi kuonekana katika historia ya Marekani!"

    Anaandika Trump kupitia mtandao wake wa kijamii wa "TRUTH" watu wanaongelea mateka wanaoshikiliwa kikatili, kinyama, na kinyume cha matakwa ya Dunia nzima huko Mashariki ya Kati - Lakini ni maneno tu, hakuna vitendo! Natoa onyo kupitia mtandao huu (Truth) kwamba, Mateka wasipoachiwa kabla ya...
  14. TANESCO

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Shirika la Umeme Tanzania - (Tanzania Electric Supply Company Limited - TANESCO), Tunaomba mtupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri kupitia huu uzi nasi tutawajibu. Tunawaomba mzingatie yafuatayo ili kurahisisha ufafanuzi na ufumbuzi wa tatizo au taarifa husika; 1. ENEO HUSIKA...
  15. Paul dybala

    Mdogo wangu wa kike kapotea tokea siku ya ijumaa

    Wakuu,,,kichwa kinauma sana,..malezi ya watoto wa kike ni magumu sana. Dogo mara ya mwisho aliga anaenda kujaza fomu shule,...yaani ndio hawa madogo wamemaliza mitihani juzi ya necta. Sasa kutokea ijumaa alivoondoka ndio hadi sasa hajaonekana. Nilivofikishiwa na bi mkubwa hizi taarifa...
  16. Magical power

    Ukiogeshwa unatakata kuliko uogavyo mwenyewe 😀 kama hujawahi kuogeshwa siku ujaribu rafiki

    Ukiogeshwa unatakata kuliko uogavyo mwenyewe 😀 kama hujawahi kuogeshwa siku ujaribu rafiki
  17. Dr PL

    December 1, siku ya UKIMWI Duniani

    Leo December 1 2024 ni siku ya UKIMWI duniani. Mpaka sasa kwa mujibu wa shirika la afya duniani (WHO) kuna zaidi ya watu milioni 39.9 duniani kote wanaoishi na virusi vya UKIMWI (VVU). Ni muhimu kuelewa kwamba si kila mwenye VVU ana UKIMWI. UKIMWI hutokea katika hatua za mwisho za maambukizi...
  18. fimboyaukwaju

    Unajamba mara ngapi kwa siku?

    Na unapojamba unapata raha au unapata nafuu fulani? Na kati ya mwanaume na mwanamke,yupi hujamba mara nyingi zaidi?
  19. D

    Mbona TEC wananivua nguo kila siku. Kwani kuna nini. Zamani walikuwa wakitoa tamko limeshiba kweli kweli.

    Ukizingatia matamko ya siku hizi ni kwamba yako juu juu sana na hayana uchambuzi makini. Ni kana kwamba wanaandika wakiwa wanawahi kuwa wa kwanza wasiwahiwe ni kkkt nk. Au wanaandika wakiwa wanampango wa kumkomoa mtu. Imagine matamko yale ya dp world, hivi kweli walikaa chini wakafikiri na...
  20. Mohamed Said

    Kumbukumbu ya siku ya uhuru Lindi 9 December 1961

    Nimekuta hayo hapo chini mahali na mimi nimeamua kuunga mkono kukumbisha siku ya kupokea uhuru Lindi: KUELEKEA MAADHIMISHO YA MIAKA 63 YA UHURU WA TANGANYIKA TUJIKUMBUSHE HISTORIA YA BARABARA YA UHURU ILIYOPO KATIKA MANISPAA LINDI. Msomaji wa makala za durusu durusu za historia mapema nimepita...
Back
Top Bottom