Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.
Mpo poa?
Kikawaida zamani nilikua na uwezo wa kupiga visichana viwili vya konyagi kwa kuchanganyia na tonic soda bila shida yoyote.
Sasa recently nashindwa kuelewa nikipiga visichana viwili aisee vinanichukua mapema yani nazima mapema sana kitu ambacho sio kawaida yangu, halafu asubuhi...
🗻✨ Unasikia wito wa Uhuru Peak? ✨🗻
Safari ya maisha yako inakusubiri… Mlima Kilimanjaro kwa siku 6 tu!
Kwa gharama ya Tsh 900,000 tu, Mtanzania unapata nafasi ya:
✅ Kupanda mlima mrefu zaidi Afrika 🌍
✅ Kuweka historia yako mwenyewe 📸
✅ Kukutana na marafiki wapya wa roho ya adventure 🤝
✅ Kuonja...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila ametoa wiki mbili kwa wafanyabiashara ndogondogo walio katika barabara za kuingia soko kuu la Kariakoo kuondoka.
Hatua hiyo inakuja ikiwa ni kuelekea ufunguzi wa soko hilo, lililokuwa katika ukarabati tangu Julai 10, 2021 baada ya kuungua...
"Watu wasiojulikana, hapana asiye julikana, wanajulikana. Hawajulikani na sisi, inawezekana hawajulikani na watu wa usalama lakini wanajulikana na wazazi wao hata majina wanajua, wanajulikana na waliowatuma hata sababu wanajua"
" Leo viongozi wa dini ni kama karibia mntuzima. Uso ukichafuka...
NIMEONA VIJANA WAMEANZA KUCHUNGIZWA KWA UTOVU WA NIDHAMU
BERKANE WAMENIPA OFF SIKU MBILI SIKWENDA KAZINI
LAKINI KWA HUU UJINGA WA SIMBA ZNZ NA UTOVU WA NIDHAMU
NATANGAZA KUPUMZIKA AIKU NNE RASMI NIKISIKIA WAMEFUNGIWA NA CAF
IWE FUNDISHO NA HTA KWA MASHIRIKISHO NA MABODI YANAYOBEBA UJINGA...
Mashabiki wa Manchester United wamebaki wameshtushwa kufuatia uamuzi wa ghafla wa Sir Jim Ratcliffe siku chache tu baada ya maumivu ya kupoteza fainali ya Europa League.
Manchester United walipata kipigo kikubwa cha 1-0 dhidi ya Tottenham katika fainali ya Europa League siku ya Jumatano...
Kwa sasa hatari kubwa ni kuwa hawana Elimu, Akili. Na wanarisk maisha kwa vitu vya kijinga. Lakini hawa siku wakipata akili wakakubali kutumika kwa manufaa. Ni Jeshi kubwa.
Habari wanajukwaa.
Binadamu alie na madaraka au mamlaka au Nguvu hua anataka kukumbukwa vizazi na vizazi hata baada ya Mamlaka aliyonayo kuisha hii hulka ni toka enzi na enzi.
Sa anakumbukwa vipi maana kama Nguvu anakua hana Tena za kutoa Amri so hapo njia pekee hua ni kuandika kitabu au...
Ni miaka 5 iliyopita jijini dar,nilikuwa na mchepuko wangu ambae tuliishi kwenye mapenzi miaka 4.Nikaenda kumtembelea alinipokea vizuri sana na nilikaa kwake hapo mwezi mzima.Na tulijadiliana mambo mengi na tuliishi kwa raha sana na tulikuwa tunanyanduana sana sana kiasi ambacho shuka zilikuwa...
Hiki kisa ukienda pale Harvard University watakusimulia wale ma Professor maana ilikuwa gumzo siku hiyo.
Mimi sina hili wala lile kumbe Elon Musk ashaambiwa kuwa kuna kijana Black Ame ana akili balaa. Akawa anasimuliwa stories zangu na maskendo yangu ya kutosha pale Harvard. Jinsi ambavyo kuna...
Habari wadau .
Mimi kama mdau wa soka nimeumia sana kitendo cha mechi kupelekwa zanzibar ni hujuma za wazi kabisa
Yani tff na serikali wamefanya makusudi kujichelewesha kufanya ukarabati ili mechi ipelekwe zanzibar kumfurahisha mama .
Kwa kilichotokea nasema hivi simba nendeni mkakamilishe...
Hali inaongezeka kila siku nchini za viongozi wa Tanzania kutaka kujitutumua na kujitofautisha na Watanzania wengine, wananchi wa kawaida. Ile roho chafu ya "unanijua mimi ni nani" inawapa kiburi sana watu wanaojiona wao ni watawala nchini, pamoja na watu wa vyombo vyao vya dola.
Angalia kwa...
Wanaukumbi.
Afisa mkuu wa Hamas aliiambia CNN Jumapili kwamba kundi hilo liko tayari kuwaachilia mateka saba hadi tisa wa Israeli ili kubadilishana na usitishaji mapigano wa miezi miwili huko Gaza na kuachiliwa kwa wafungwa 300 wa Kipalestina. Mkataba uliopendekezwa pia utahitaji Vikosi vya...
Mataifa ya kiarabu yameendelea kujitusi yenyewe kwa kufanya kikao nchini Iraq na kuondoka bila matamo yanayoendana na wakati.
Katika mkutano huo wa 34 mataifa hayo yamerudia azimio la kuijenga upya Gaza na kwamba wanapinga kuhamishwa kwa wapalestina kutoka ardhi yao hiyo.
Mkutano huo...
Polisi Tanzania: Ni Wakati wa Kujenga Urafiki na Wananchi na Vyama vya Upinzani, ikiwemo CCM- Mpinzani Mtarajiwa wa siku za baadae.
Katika jamii yoyote yenye misingi ya kidemokrasia, jeshi la polisi muna nafasi ya kipekee kama muhimili wa kulinda haki za watu, usalama, amani na haki za kila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.