Mipango ovu ya mabeberu: "Afrika lazima ibaki maskini siku zote"

I am Groot

JF-Expert Member
Jul 20, 2018
3,742
10,089
VIDEO hapa chini ilianza kusambaa mnamo mwaka 2019 juu ya mipango ya kuhakikisha nchi za kiafrika kubaki maskini na tegemezi kwa nchi za magharibi iwe jua, iwe mvua.

Na hii ndio inayoitwa hasa VITA YA KIUCHUMI kama hayati wetu JPM alisisitiza kuwa nayo makini kwani ni ngumu mno zaidi ya vita vya matendo.

Afrika bila viongozi imara na wakuweza kujitambua ni ngumu sana kutoka kwenye mdomo huu wa mamba. Bahati baya nchi nyingi pasipo kujua hujikuta wakiwekewa ( kwa mgongo wa Demokrasia) kiongozi ambaye yuko chini ya kwato za hawa wanyama na asiye na maono, wasiweze hata kufurukuta.

Nipende kuwakumbusha wananchi wenzangu ni wakati sasa wa kufunguka VITA HIVI NI VIGUMU.

#LALASALAMAJPM


Mods naomba msifute/kuunga uzi huu video iwafikie wengi.
 
IMG_1735.jpg
 
Back
Top Bottom