Ndani ya saa 24 zilizopita, India imerekodi visa vipya 323,144. Ni siku ya sita kwa Taifa hilo kuripoti maambukizi mapya zaidi ya 300,000 na visa vimefikia Milioni 17.64
Hospitali zimekuwa hazipokei Wagonjwa kutokana na uhaba wa vitanda na Oxygen. Vifo 2,771 vimerekodiwa katika siku moja lakini...