Siku moja nilikua nimeenda kumtembelea mshikaji wangu mmoja Mwenge, yeye ana duka lake la nguo mitaa ile. Sasa story story hadi mida ya mchana tukaona twende tukapate lunch.
Katika mgahawa mmoja mitaa ya jirani na ofisi ya mwana. Palikuwa pamejaa sana, meza tuliyokuta tupu ilikua na mtu mmoja...