siku

Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.

View More On Wikipedia.org
  1. Siku saba za uchunguzi wa moto sokoni Kariakoo zinaanza kuhesabiwa lini?

  2. Hans Pope: Manara hataki kusaini mkataba ambao atalipwa milioni 4

    Hans Pope ameeleza sababu za Manara kukataa kusaini mkataba na Simba ambao ni mil 4 akiogopa kujifunga kwani unamkataza kufanya kazi na kampuni zingine nje ya Simba.
  3. Ikulu, Dar: Rais Samia akutana na kufanya mazunguzmo na Tony Blair

    Samia Suluhu akutana na Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza Tony Blair. Taarifa zaidi
  4. Kuna Siku CCM watalia na kusaga meno

    Kuna siku inakuja naam naiona inakaribia! Tambo za CCM zitatupwa chini na hawataamini kitakachowapata. Siku inakuja Polisiccm wote watashangaa wasiamini anguko lao. Ni suala la muda tu, CCM your days are numbered. Take it from me nawaambia! Kila kitu kitawakataa. Sijawahi kusema neno na...
  5. Njombe: Wanafunzi watoro walipishwa Tsh. 5,000 kwa kila siku wasiyofika shuleni

    Wakazi wa kata ya Mavanga iliyopo wiliya ya Ludewa mkoani Njombe wamewalalamikia walimu wakuu pamoja na Afisa elimu wa kata hiyo kwa kuwalazimisha kulipia fedha kwa mtoto atakayeshindwa kufika shuleni pamoja na kuwalipa walimu wa kujitolea. Wakitoa malalamiko hayo mbele ya mbunge wa jimbo la...
  6. Ombwe la elimu ya ujinsia na mimba za wanafunzi 980 katika siku 180 wilayani Kidondo: Sera ya Elimu Tanzania inakidhi mahitaji?

    Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mwanaidi Ali Khamis akiongea na wananchi na viongozi Wilayani Kibondo Taarifa kwamba huko mkoani Kigoma, kila siku ya miezi sita iliyopita, angalau wanafunzi 5 walio chini ya miaka 18 walikuwa wanafanya ngono ya jenitalia kwa...
  7. Picha ya siku

    Pale anaposikia chadema wakidai kuwa lazima wafanye kongamano la katiba atake asitake😁😁😁
  8. Hizi nguo kama za EFF ya Malema Afrika Kusini ndiyo CHADEMA wanavaa siku hizi?

    Nimeona clip ya Mbowe anasema chanjo iwe lazima nimeshangazwa na mavazi. Ni mavazi rasmi ya Chadema? Mbona kama yanafanana na Eff ya Malema? Yanaashiria nini? Wenye clips au picha naomba muweke.
  9. Hizi nyimbo mpya za siku hizi mnazionaje?

  10. Polisi DSM: Disco Toto Marufuku siku ya Eid

    Kamanda wa Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam, Jumanne Muliro, amepiga marufuku Disko toto katika kumbi zote za starehe jijini humo, siku ya sikukuu ya Eid Al Adha itakayoadhimishwa keshokutwa Jumatano. Amesema, wamejipanga vyema kuimarisha usalama siku hiyo. Amewataka wazazi kuwa makini na...
  11. T

    Mshahara na siku kuu ya iddi

    Wadau kama mjuavyo jumatano yaani kesho kutwa ndo siku kuu ya iddi je kuna uwezekano wa kupata mshahara kesho kwa ajili ya maandalizi ya iddi?
  12. Hivi TBS hawaoni hizi charger fake za simu zinazolipuka kila siku?

    Toka nimeanza kutumia charger za simu sijui ni ngapi zimepiga shoti. Kamoja nilinunua tu na kukaweka kwa mara ya kwanza kakapiga shoti. Katika vitu fake vingi ni hizi charger na USB cable. TBS hebu fuatilieni hili suala. Watu watakuwa wanaunguza majengo kumbe shida ipo hapa kwenye charger...
  13. N

    Ilikuwa mafuta, ikawa miamala na sasa baada ya siku 5 itakuwa kilio cha nyongeza kiduchu ya mishahara

    Tarehe 24 Julai, 2021 watumishi wa umma na hata wafanyakazi wa sekta binafsi wataenda kushuhudia hilo punguzo la asimilia 01% ya kodi kwenye mishahara yao itawaongezea kiasi gani cha kipato cha mwezi kwa ajili ya kutumia kwa miezi 12 ijayo. Waziri Mwigulu kwa niaba ya Rais amesema Serikali...
  14. CHADEMA badilikeni kila siku tunawachangia pesa kwa mtindo huu

    Wanaukumbi. Chadema mnapewa onyo kwa barua na Jeshi la Polisi msikusanyike. Mnaiposti barua kwenye Mitandao na kujitapa kwamba tutakusanyika tuone polisi watafanya nini. Polis wanawakamata; mnarudi kwenye mitandao kuomba michango mtoe waliokamatwa daah hii ni biashara au deal la Mbowe na...
  15. V

    Ulaji wa Panya mikoa ya Kusini: Safari yangu ya siku 37 ilivyonifungua mambo mengi

    Safari yenye takribani kilomita 600+ hadi Mkoani Mtwara wilaya ya Masasi kijiji cha Nangoo napata fursa ya kuifahamu jamii ya watu wa mikoa hii japo kwa uchache. Nikiwa eneo hilo nilipata fursa ya kufahamu baadhi ya tamaduni za kule, baadhi tu kama vile Unyago na aina ya vyakula ambavyo vipo...
  16. J

    Waziri Mwigullu tuondolee hiyo kodi ya kizalendo kwenye Sadaka za Bwana siku za Dominica kwa njia ya miamala!

    Nakusalimu kwa jina la JMT Dr Mwigullu Nchemba. Kwa kifupi sana: Naomba uitazame upya hii kodi ya kizalendo kwenye Sadaka zetu tunazomtolea Mungu mwenyezi kwa njia ya miamala ya simu hasa siku za Jumapili na kwenye mikutano ya Injili. Nawatakia Dominica yenye baraka!
  17. Njia sahihi za kuwakwamua wazazi wasiwe wategemezi kwako siku za mbeleni

    Wazazi wetu ni watu muhimu sana ambao hakuna ambae aliwaomba wamlete hapa duniani,kila mmoja alikuja duniani kwa sababu wazazi wake walitamani mtoto hivyo tumekuja duniani kwa mapenzi ya wazazi na sio mapenzi yetu. Katika siku za karibuni kumekuwa na malalamiko mengi ya vijana tunaotafuta...
  18. B

    Baada ya siku 100: Tunapoachana kwenye Mataa na Rais Samia

    Mama Samia huko uliko pokea salamu hizi. Katika siku 100 zako za mwanzo ulianza vizuri ukitupa matumaini mapya nasi tukakupongeza. Lakini baada ya hizo kupita ghafla umetubadilikia. Ama kwa hakika unayoyafanya sasa si mageni hapa duniani na huu wimbo unakuhusu: "Neema alimwambia Chidumule...
  19. Je, duniani kote Mchezaji mahiri Siku ya Kuagwa na Klabu yake huanzia Benchi na kuishia Kumwagiwa tu Maji 'Vumbi' ya Kandoro?

    Kuna Waafrika wachache wanasababisha Waafrika wote tuonekane si tu Wapuuzi bali Washamba sana hapa duniani. Tuacheni Kukurupuka tunachekwa sana.
  20. G

    Siku Moja inatosha kupunguza tatizo la ajira Tanzania kwa Asilimia 10

    Habari wanajukwaa. Kwanza kabisa namshukuru mwenyezi mungu kwa kunijalia Afya na kunipa wakati huu wakutoa mawazo yangu ambayo Huenda yakaleta athari chanya kwenye uchumi wa Tanzania yetu, Moja kwa moja nieende kwenye mada. Kuna sehemu nyingi nimepita mikoani kuna majengo mengi yametelekezwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…