siku

Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Huwa unafanya vitu gani baada ya kutoka kazini ili kuuweka mwili sawa kwa siku nyingine?

    Huwa unafanya vitu gani baada ya kutoka kazini ili kuuweka mwili sawa kwa ajili ya siku nyingine au ukitoka kazini unaingia kazini tena huna muda wa kufanya vitu vingine kabisa Mimi huwa napumzika kidogo hata kama kuna shughuli nyingine ya kufanya siingii kuifanya moja kwa moja hasa zile nzito...
  2. JamiiForums Tanzania Wakati siku za kutoa ripoti zinakaribia

    Jaji Chande na tume yako tunataka kusikia haya kwa ufasaha kabisa!.. 1. Nani alifadhili machafuko yale? Nani alipokea hela za Open Society kufanya vurugu zile? 2. Nani ndani ya CHADEMA alipanga vurugu zile na mapinduzi ya serikali? 3. Nani aliruhusu JWTZ watoke kambibi Lugalo na kuungana na...
  3. JamiiForums Tanzania Trump asitisha mashambulizi Iran kwa siku 5 "Tumezungumza"

    Rais wa Marekani, Donald Trump, ametangaza kusitisha kwa muda wa siku tano mipango yote ya kijeshi ya kushambulia miundombinu ya nishati ya Iran, kufuatia kile alichokielezea kama mazungumzo "mazuri sana na yenye tija" yaliyofanyika ndani ya siku mbili zilizopita kati ya mataifa hayo mawili...
  4. JamiiForums Tanzania Siku za hivi karibuni ulinzi wa Makamu wa Rais umeongezeka

    Wale wenye jicho la tai nadhani mmenielewa. Tangu alipoenda Chato kwenye kumbukizi ni kama mambo yamebadilika. Yajayo yanaweza kufaurahisha.
  5. JamiiForums Tanzania Old Milwaukwee Beer hii bia ni balaa nimeinywa juzi ila bado nimelewa siku ya tatu hii

    kama ni kichwa panzi utalewa week Moja Old Milwaukee beer ni tamu sana ikipita kwenye koo😂
  6. JamiiForums Tanzania TFF na Bodi mnafungia waamuzi kila siku hamjiulizi shida iko wapi i jitathmini hii n aibu kwa soka letuu

    Hii n aibu sana kwa soka letu mnataka kutuaminisha waamuzi wanaungia na matokeo uwanjan Means kuna rushwa inaendelea soka letu Haiwezekani kila mechi jaman mnafungia wamuzi Hivi vikaoo mnalipwa na nani kila siku mnafungia waamuzi mbaya wameshindwa kutasfiri sheria Mna shida kubwa sana snaaaa...
  7. JamiiForums Tanzania Kuna siku JF inaachiwa kuna siku inashikwa! Why!?

    Juzi niliperuzi Free bila VPN... LEO imezimwa tena. Ni nini hasa. So what! Stupids. 😡😡
  8. O

    JamiiForums Kenya Daily Shower ni Scam Kuoga Kila Siku Inaharibu Skin

    Watu wengi wanaamini kuoga kila siku ni lazima for hygiene… but what if it’s actually doing more harm than good? Dermatologists wanasema excessive bathing especially with harsh soaps hu-strip natural oils kwa skin. Hizi oils ndio zina protect skin yako against dryness, irritation na infections...
  9. JamiiForums Tanzania Zakazakazi: Siku Moja kabla ya mechi tulimkamata Mtu anapulizia dawa kwenye Vyumba vyetu Mkapa

    Msemaji wa Azam FC, Thabith Chumwi Zakaria (Zakazakazi), ameibuka na kauli kali akijibu malalamiko kutoka upande wa Young Africans S.C. (Yanga) kuhusu sakata la vyumba vya kubadilishia nguo uwanjani. Zakazakazi amesema wazi kuwa Yanga hawapaswi kutafuta sababu za nje kabla au baada ya mechi...
  10. JamiiForums Tanzania Siku hizi hatutongozi tena wanawake… tunawapa tu “idea” tu!

    Kuna jambo nimekuwa nikiliangalia sana kwenye mahusiano ya siku hizi. Dunia imebadilika, na hata namna ya kuanzisha mahusiano imebadilika. Zamani kulikuwa na kitu kinaitwa kutongoza. Mwanaume alikuwa anakaa chini, anatafuta maneno mazuri, anahangaika kweli kweli mpaka mwanamke aelewe kuwa...
  11. JamiiForums Tanzania Mwanamke anavaa shanga na hajui kukatika ni matumizi mabaya ya shanga

    Raha ya shanga mwanamke ajue kuzungusha kiuno asa unakuta mwanamke kavaa shanga afu kitandani gogo miuno zero.
  12. JamiiForums Tanzania KERO Kila siku TANESCO wanakata umeme jioni Pugu Majohe hadi imekuwa kero

    Pugu Majohe na Majohe yote ikiwemo kwa Ngozoma, Sondombwa, Halisi, Rada, Viwege, Bombambili na maneno ya jirani kuna changamoto ya kukatika umeme kila siku jioni kuanzia saa moja mpaka saa sita usiku. Changamoto hii ilianza Mwezi Disemba 2025 na inaendelea hadi sasa, kuna muda unakatika mchana...
  13. JamiiForums Tanzania Russia kimya kimya anajipakulia minyama $150M kwa siku kutokana na mafuta

    Russia kimya kimya anatengeneza mtonyo wa maana kwenye kipindi hiki mgogoro kati ya Us/Iran umechachamaa. Kremlin inaingiza angalau kiasi cha dola za kimarekani 150 kila siku kutokana na mauzo ya mafuta na gesi na kugeuza mgogoro huu wa mashariki ya kati kama sehemu ya kupatia faida maradufu.
  14. JamiiForums Tanzania Kuna siku unaamka tu, unajikuta na hamu kali sana ya mapenzi

    Yani hakuna vishawishi vyovyote uivyopitia, umelala vizuri, ila unaamka, unahali mbaya sana, unahamu kali sana ya kufanya mapenzi, nini kinakua kimetokea? kama hii sku ya leo ni hatari sana
  15. C

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyokaa siku 100 bila kuangalia saa

    Kuna kitu nilifanya mwaka jana ambacho watu wengi waliniona kama nacheza mchezo wa ajabu kidogo. Nilikaa siku 100 nzima bila kuangalia saa. Hakuna sababu maalum. Sikuamka asubuhi nikasema tu moyoni, “leo naanza.” Nikajiambia nione kama inawezekana kuishi kawaida kabisa bila kujua muda ni saa...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Siku ya wanawake Duniani: DAWASA tutazuia mivujo ya maji mitaani

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imeungana na Wanawake Dunian kote katika maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyofanyika Kata ya Mburahati, Wilaya ya Ubungo, Mkoa wa Dar es salaam huku ikisisitiza ujumbe wa jamii kudhibiti upotevu wa maji. Maadhimisho haya...
  17. H

    JamiiForums Tanzania Heri ya Siku ya Wanawake Duniani - Ghati Z. Chomete, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara

    Heri ya Siku ya Wanawake Duniani Mhe. Ghati Z. Chomete Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara.
  18. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta wheeled excavator ya kukodi siku (March 9)moja Bahari beach

    Habari wadau Kuna kazi ya siku moja Bahari beach inayohitaki hiyo Excavator ya matairi kwaajiri ya kukata layer ya kifusi kilichosindilisa
  19. JamiiForums Tanzania Siku ya Wanawake Duniani 🌸, Kwa Wanawake mliopewa nafasi zenye ushawishi

    Leo dunia inaadhimisha nguvu, busara na mchango mkubwa wa mwanamke katika kujenga jamii na mataifa. Mwanamke si tu mzazi wa kizazi, bali pia ni nguzo ya maadili, dira ya jamii na tumaini la taifa. Mwanamke anapokuwa imara katika maamuzi yake na kusimamia haki kwa ujasiri, jamii hupata utulivu...
  20. JamiiForums Tanzania Maadhimisho makubwa kama haya ya siku ya wanawake duniani yanafanyikaje mburahati?

    Aisee leo mburahati hakukaliki magari ni mengi mno kuanzia viwanja vya shule ya msingi mburahati hadi kituo cha polisi hapa baadhii ya magari yaliyoleta watu yamerudi yalipotoka haya yaliyopo hapa yamelundikana hatari ila wenye migahawa wanapiga hela kudadeki 😅!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…