siku

Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Siku niliyotaka kuitiwa mwizi wakati nafanya mazoezi

    Ni miaka mingi iliyopita wakati nachukua kozi ya unesi chuo cha Muhimbili. Hosteli zipo karibu na taasisi ya MoI. Sasa nyuma ya Hosteli kuna barabara ambayo nilikuwa naenda kukimbia muda wa jioni saa moja hivi. Na huko nyuma kuna sehemu watu wa MoI huweka mazaga yao kama vitanda vibovu nk...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Siku ya 3 katika safari yangu ya kujifunza programming

    UPDATE 3 Nilikuwa busy siku kadhaa hata mdua wa kusoma sikuweza. Ila leo nilipata mdua nikaamua kujaribu kujikumbusha vitu. Nimeweza kutengeneza code ambazo ukiruni zina demand uweke do list, kisha unaweza kuongeza, do list, ukapunguza, au kumodify. Baada ya hapo unaweza kuweka ulizofanya na...
  3. JamiiForums Tanzania Leo siku ya mashujaa tuwakumbuke mashujaa hawa wa siku za mwanzo za TANU

    LEO SIKU YA MASHUJAA Mwaka jana nilipokea picha hiyo hapo chini ya kwanza kutoka Maktaba ya Ally Sykes. Picha hii nilikuwanayo kwa miaka mingi lakini ubora wake ulikuwa hafifu. Nilipoipata picha hii yenye ubora wa kuridhisha nikaiweka hapa. Leo tunaadhimisha Sikukuu ya Mashujaa na nimeona...
  4. JamiiForums Tanzania Hata siku moja usikubali kuhojiwa kwa lugha ya watu. Utashindwa tu

    Siku zote ukitaka kuhojiwa hakikisha unatumia lugha yako mama. Usijidai kutumia lugha usiyozaliwa nayo. Utashindwa na kuabika. Ndiyo yaliyompata Mruma.
  5. JamiiForums Tanzania Nini sababu ya Migogoro ya Ndoa/Wapenzi kuongezeka sana siku za hivi karibuni?

    Takwimu za Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu zinaonyesha migogoro 28,773 ya wanandoa imepokewa kati ya Julai, 2022 na Aprili mwaka huu. Kati ya migogoro hiyo, 22,844 ilisuluhishwa, huku 5,929 ikikosa usuluhishi licha ya kukatiwa rufaa ngazi ya Mahakama. Kutokana...
  6. JamiiForums Tanzania Video: Fungulia mbwa uwanja wa B.Mkapa Siku ya Wananchi

    Fungulia mbwa waifanye Utopolo matusi tupewe sisi
  7. JamiiForums Tanzania Kule TMA huwa wanatazamanaje siku utabiri ukienda kinyume?

    Kazi ya utabiri wa hali ya hewa ni muhimu kwa maendeleo ya taifa ndio maana serikali ikaanzisha idara maalum ya utabiri wa hali ya hewa. Ni wazi kuwa kazi ya idara hii ni kutabiri tu na wala si kutoa amri hali ya hewa iweje kwenye maeneo tofauti ya taifa letu.Mimi tu kama mwanadamu huwa napenda...
  8. JamiiForums Tanzania FT: Siku ya Wananchi | Uwanja wa Benjamin Mkapa, Julai 22, 2023 I Yanga 1 - 0 Keizar Chiefs

    Uwanja bado ni mweupe ndugu msikilizaji. Tuendelee kusubiri, tuwe na subira Hapa hapa JF, itakuijia mechi ya kirafiki kati ya Yanga na Kaizer Chiefs mishale ya saa moja usiku. Hakuna kukimbia
  9. JamiiForums Tanzania ONYO: Simba mpumzishe Yanga akiwa kwenye siku yake

    Leo ni Mwananchi Day kila mtu anatambua hilo "Happy Mwananchi Day, Young Africans🎊 Pamoja na kutambulika kama ni Mwananchi Day, ila "haioneshi" kama ni siku yake mwananchi. Kuna sababu nyingi zinazofanya hili tamasha kudoda siku ya leo, ikiwemo mikakati na mipango yao katika ngazi za uongozi...
  10. JamiiForums Tanzania Baadhi ya wanawake wa sasa hawakupi msaada mpaka alale na wewe kwanza

    Nimesikitika sana. Huyu dada tupo naye ofisini. Sasa nilipungukiwa tu vicent kadhaa kwa ajili ya kuongezea kununua shamba sehemu fulani. Nikamwambia aniazime nijazie ntamrudishia baada ya week. Akaniambia sawa niende nikachukue kwake Mbezi jana jioni. Nimeenda tukapiga stories na kupata msosi...
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watu wanne wamepigwa risasi na Polisi Mjini Kisumu katika Siku ya Mwisho ya Maandamano ya Azimio

    Watu hao wanaendelea na matibabu katika Vituo vya Jaramogi Oginga Odinga Teaching na Hospitari ya JOOTRH baada ya kujeruhiwa kwa risasi katika maandamano yaliyoratibiwa na Azimio la Umoja One Kenya. Mmoja kati ya waliojeruhiwa ni Afisa Afya wa JOOTRH ambaye alipigwa risasi ya bega akiwa katika...
  12. JamiiForums Tanzania Nishaurini accomodation cheapest New York city naenda mwezi wa nane mwaka huu 2023 kwa siku mbili tatu tu

    August 2023 naenda New York City kushangaa Tu kwa siku kama 3 then nirudi zangu. Niko man alone, nishaurini accomodation cheapest hata kama ni shared accomodation poa tu ilimradi usalama. Mimi naishi popote sitaki tu semehu zenye violence maana usalama Kwanza. Asanteni wakulungwa.
  13. JamiiForums Tanzania Millard Ayo post zake siku hizi hazina wachangiaji kwa sababu hazingumzii Issue za bandari

    Kwa Sasa ukiangalia post nyingi za Milard Ayo hazina (hazitrend ) hata kidogo Kwa sababu hapost kabisa mambo yanayoendelea kuhusu ubinafishishaji wa Bandari ya DSM na bandari nyingine Kwa DP WORLD. Issue ya bandari imekuwa hot cake Kwa kila mtu anayepita mtandaoni.Hata Yanga na Simba na usajiri...
  14. JamiiForums Tanzania DOKEZO TANESCO, Wilaya ya Chunya mkoa wa Mbeya umeme hakuna leo ni siku ya saba. Kulikoni?

    Kwa masikitiko makubwa Wilaya ya Chunya mkoa wa Mbeya hakuna umeme leo ni siku ya 7. Na uongozi wa TANESCO mkoa na Wilaya wakiulizwa wanasema ulizeni makao makuu ya Tanesco. Mwenye namba ya simu ya makao makuu ya TANESCO tafadhali. ============= UPDATES... Mkurugenzi Huduma kwa Wateja...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Samia Kuongoza Siku ya Mashujaa Julai 25 Mkoani Dodoma

    Rais Dkt Samis Suluhu kuwa mgeni rasmi katika Kilele cha Maadhimisho ya Kumbukumbu ya Siku ya Mashujaa Julai 25, 2023. Maadhimisho hayo yatafanyika katika uwanja mpya wa kudumu wa Mashujaa uliopo katika eneo la Mji wa Serikali, Mtumba, mkoani Dodoma. Mkuu wa Mkoa huo, Rosemary Senyamule...
  16. JamiiForums Tanzania Nigeria: Walimu watishia kupunguza siku za kufanyakazi, ziwe siku mbili tu

    Umoja wa Walimu wa Elimu ya Juu (COEASU) unaojumuisha vyuo 252 umetoa tamko kuwa Wanachama wake wanatarajia kuanza kufanya kazi kwa muda wa siku mbili kwa wiki kama Serikali haitapunguza gharama za maisha. Walimu hao wanataka nyongeza ya mshahara kwa asilimia 200 ili waweze kuendana na gharama...
  17. JamiiForums Tanzania Siku hizi watu wanavurugwa sana mtu hata hakujui anakufokea njiani

    Leo mida ya mchana nimetoka naelekea kwenye safari zangu nikakutana na mama flani ivi mfupi mwenye sura ya ugomvi sehemu kama ya kilima ivi kuna ka mteremko alivyoniona kutoka mbali kaanza kubwata kwa sauti kubwa wewe unaenda wapi nakuuliza unaenda wapi😂😂 si nakuuliza yaani nikikufikia...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Anayewadhalilisha Walimu ni matendo ya baadhi ya walimu wao wenyewe

    Itoshe kusema kada ya walimu imeingiliwa na mamluki! Zamani ilikuwa rahisi sana kuwachambua walimu kwenye kundi la watu pasipo hata kujitambulisha, lakini sasa hivi kwenye kikundi cha watu mtaani wakichanganyika wa kike na kiume huwezi kutofauti uvaaji wa mwalimu na muimba singeli, wote...
  19. H

    JamiiForums Tanzania Uliwezaje kuacha punyeto? Wasaidie na wengine kuacha tabia hiyo chafu

    Hatua ya kubalehe ni mbaya kama usipokuwa na mshauri au uangalizi wa mzazi na kupitia ndoto nyevu na zile nyege za kubalehe wengi wamezama humo kwenye NYETO na mpk leo hii wengine wameshindwa kuoa wanajiridhisha wenyewe mwingine hana habari na madem yeye na sabuni. Wapo pia madem ndo kitulizo...
  20. JamiiForums Tanzania Tetesi: Dkt. Slaa na wenzake huenda watazuiliwa makwao ili wasifanye mkutano

    Duru za kinyeti zinatabanaisha, huenda Dkt. Slaa na wenzake wakazuiwa kwenda kuongoza mkutano waliouitisha kwa ajili ya kujadili suala la MKATABA wa BANDARI. Nukuu: "....Mkutano wao kina Dk Slaa sidhani kama utaruhusiwa na wakubwa. Yapo maelekezo japokuwa hayajawa bayana mkutano ule uzuiliwe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…