siku

Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mnaotosheka na MB 300 hadi GB 1 kwa siku huwa mnaweza vipi?

    Matumizi Yangu GB 2 hadi 3 kwa siku, Hapo nipo bize na shughuli zangu sio kusema kwamba ninashinda mitandaoni, mara nyingi net natumia zaidi usiku. Hivi vitu huwa natumia bila kujibana whatsapp - kutuma au kudownload video ama picha, video calls, n.k. Youtube - huwa nastream kwa ubora wa juu...
  2. JamiiForums Tanzania Mchinjita: Serikali Imefeli Kuondosha Uhaba wa Petroli na Diseli

    Utangulizi Itakumbukwa kwamba tarehe 2 Agosti 2023 Serikali kupitia Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) ilitangaza bei mpya za mafuta ya petroli, dizeli na mafuta ya taa. Bei hizo ziliibua malalamiko na vilio kwa wananchi katika maeneo mbalimbali nchini, kutokana na kupaa...
  3. JamiiForums Tanzania Tafuta hela uheshimishe familia yako

    Anaandika, Robert Heriel Moja ya mambo yaliyonifanya nisome wakati ni mdogo, na sasa nahangaika kutafuta pesa ni suala la matukio ya misiba. Kwa kweli Taikon niliapa na katika hilo Mungu anajua, na atalisimamia yakuwa mke na watoto wangu kamwe hawataosheshwa masufuria na kutumwa tumwa bila...
  4. JamiiForums Tanzania Kwanini Computer za siku hizi zina SSD ndogo ndogo?

    Wadau najiuliza kwann siku izi computer nyingi unakuta storage yake ni 256 yaan imekuwa common Unakuta mashine ina processor kubwa ila storage ndogo. Watalaam naomba mnijuze
  5. JamiiForums Tanzania Mwauwasa (Mwanza): Tunazalisha maji Lita Milioni 90 kwa siku, mahitaji ni Lita Milioni 160

    Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano kwa Umma wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA), Mohamed Saif anafafanua: "Kwanza sio kweli kwamba hatutoi taarifa kwa wateja wetu kuhusu mgao, mamlaka imekuwa ikitoa taarifa kupitia njia mbalimbali kupitia mitandao yetu...
  6. JamiiForums Tanzania JF Members Madam S na Dahan, wako wapi siku hizi?

    Zime pita siku, wiki na Sasa miezi kadhaa ndugu zetu Hawa hawaonekani? 👉Je wame badilisha I'd? 👉Wazima au wagonjwa? 👉Wame amua kustaafu?
  7. JamiiForums Tanzania Inasikitisha, mrembo wa CHADEMA anasherekea siku ya kuzaliwa huku ana hofu ya kuuliwa na polisi

    Hivi ameolewa kwanza? Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Njombe, Rose Mayemba ameandika kwenye ukurasa wake wa twitter kuhusu kumbukizi ya siku yake ya kuzaliwa Alichoandika
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kuna viashiria vikubwa vya uvunjifu wa amani siku zijazo…

    Ndugu wajumbe, Natumia nafasi hii kama raia mtiifu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kuwaandikieni nyinyi ikiwa ni sehemu ya wajibu wangu wa kiraia na wa kikatiba (1) Mosi kulinda amani ya nchi (2) Pili Kutoa maoni ya kuleta usitawi kwa nchi yangu (3) kutumia haki yangu ya kikatiba kutoa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Leo Agosti 14 ni Siku ya Mjusi Duniani

    Mzuka wanajamvi! Leo August 14 2023 ni siku ya mijusi (Lizard Day) duniani mwamba Kenge "The fighter" akiwemo. The Lizard Day inaadhimishwa kila tarehe 14 August. Japo wengi hawaifahamu hii siku (Kenge day) lakini sisi reptile enthusiast huwa tunaisubirigi kwa hamu na hatimae imefika ni...
  10. JamiiForums Tanzania Waliofukiwa na kifusi kwa siku 8 wakitafuta dhahabu waokolewa wakiwa hai

    Wachimbaji wawili wa dhahabu Mpina Shukuru (29) mkazi wa Muganza Chato mkoani Geita na Renatus Nyanga (35) Mkazi wa Sengerema mkoani Mwanza wameokolewa wakiwa hai baada ya kukaa kwa muda wa siku 8 ndani ya shimo walilofukiwa na kifusi wakitafuta dhahabu katika mgodi wa Igalula uliopo wilayani...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Kamatakamata siku ya Mechi ya Simba na Yanga, ni coincidence au ni mpango mkakati?

    Hili ndio swali ninalojiuliza kuwa kamatakamata hii kwenye siku hii ,ya leo yenye attention kubwa ya mpira wa Yanga na Simba imetokea kama coincidence au ni mpango mkakati? Labda niulize kwanini weekend ndio wahakikishe wote wamekamatwa ili hali kosa uhaini halina dhamana? Je, lengo ni...
  12. JamiiForums Tanzania Hela za bila shortcut huwa hazisahau zilipopitia hata ufilisike vipi, lazima zitarudia njia yake siku moja

    Niamini mimi, Achana na hela za bahati, za waganga au za kurithishwa na kupewa, kwa uzoefu wangu hizo hela zikipotea ndo zimeenda huwa hazirudi. Lakini kwa mtu mpambanaji kweli kweli hata kama akiteleza akapoteza kiasi kikubwa cha utajiri wake basi hela zitakumbuka njia yake siku moja na...
  13. JamiiForums Tanzania Updates:Vurugu zaendelea Tena magu Kwa siku ya pili

    Sakata la wananchi wa Magu kurushia mawe magari ya abiria yanayoingia na kutoka Barabara ya Mwanza-Musoma na zile Barabara ndogo ndogo limeendelea leo ambapo Vurugu za Leo zimekuwa maradufu ukilinganisha na zile za Jana. Madai ya wananchi ni kwamba Mkuu wa mkoa aliwaahidi kufika na kuongea nao...
  14. JamiiForums Tanzania Kupasiana Wanawake imekuwa kawaida siku hizi

    Ni weekend nyingine unaweza tembelea Tabata na Sinza kuifurahia weekend yako. Kuna ishu imezuka kwa baadhi ya vijana akishasex na mwanamke anamuunganishia na rafiki zake nao waweze kusex nae kunakuwa na mnyororo mrefu. Hii ishu imekuwa kama mchezo mwanamke mmoja anasex na watu kama wanne na...
  15. JamiiForums Tanzania Sababu mbalimbali zinazopelekea mama kushauriwa kumnyonyesha mtoto kwa miaka miwili

    Habari, Naomba kujua sababu za kushauriwa(kitaalamu) kumnyonyesha mtoto hadi umri wa miaka 2. Asanteni. ===== Sababu nyingi za ushauri huu ni za kitaalamu zilizofanyiwa tafiti kwa kulinganisha watoto walionyonya kwa muda mrefu na walionyonya muda mfupi au kutonyonya kabisa. 1. Uwepo wa...
  16. JamiiForums Tanzania Kama Dollar inapanda kila siku Nchi huwa inalipaje Mikopo kutoka Mashirika ya Kimataifa

    Nimejaribu kufuatilia trend ya kupanda kwa dollar inshort inasikitisha na sijui tunaelekea wapi.... Wakubwa fedha zao nyingi zipo interms of dollars ko wanazidi kufurahia tu. Na pale awamu mmoja ya uongozi inapoingia na nyingine kutoka kuna uchakachuaji mkubwa sana wa kupanda kwa dollar...
  17. JamiiForums Tanzania Wale tuliomaliza darasa la 7 mwaka 2000 kurudi nyuma tujikumbushe ilivyokua siku matokeo ya la 7 yanatangazwa

    Wakuu leo nikiwa natafakari mambo mbalimbali ya maisha nikakumbuka maisha ya shule y msingi. Zilikuwa nyakati za furaha ila pia nikahuzunika nilipowakumbuka classmates waliokuwa vizuri sana kitaaluma ila hawakubahatika kusonga mbele na kidato cha kwanza. Zilikuwa nyakati mbaya sana kwa uhaba wa...
  18. JamiiForums Tanzania META kulipa Faini ya Tsh. Milioni 243.7 kila siku kwa kuingilia Faragha za Watumiaji wake

    Adhabu hiyo imetolewa na Mamlaka ya Ulinzi wa #TaarifaBinafsi ya Norway baada ya META kutoweka wazi jinsi inavyoingilia Faraga za Watumiaji wake kupitia Matangazo ya Biashara ============ Facebook owner Meta Platforms (META.O) will be fined 1 million crowns ($98,500) per day over privacy...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Serikali haijafunga mipaka kuuza mazao nje ya Nchi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki kilele cha sikuku ya Nane Nane jijini Mbeya, leo Agosti 8, 2023. Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Tulia Ackson amesema wakazi wa Mbeya wanaunga mkono uwekezaji unaofanywa na Serikali kwenye Bandari ya...
  20. JamiiForums Tanzania KWELI Mwanamke akiwa hedhi, haruhusiwi kuingia msitu wa Nyumbanitu

    Hii dunia ina vitu vya ajabu sana na vya kushangaza. Kuna historia baadhi unaweza unaweza kushangazwa nazo mojawapo ikiwa hii niliyopata kusimuliwa. Msitu wa Nyumbanitu una historia nyingi za kushangaza. Msitu huu upo katika Wilaya ya Wanging'ombe mkoa wa Njombe. Msitu huu nimepata kusimuliwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…