Mnaotosheka na MB 300 hadi GB 1 kwa siku huwa mnaweza vipi?

NetMaster

JF-Expert Member
Sep 12, 2022
1,454
4,853
Matumizi Yangu GB 2 hadi 3 kwa siku, Hapo nipo bize na shughuli zangu sio kusema kwamba ninashinda mitandaoni, mara nyingi net natumia zaidi usiku.

Hivi vitu huwa natumia bila kujibana

  • whatsapp - kutuma au kudownload video ama picha, video calls, n.k.
  • Youtube - huwa nastream kwa ubora wa juu HD,
  • Instagram - na huku nachungulia ila sio sana
  • browsing
  • Kudownload updates za simu

Situmii TIKTOK, ina uraibu mkubwa sana na inapoteza muda sana.

Na hapo najibana maana mida ya usiku naweza kutamani kucheki muvi kwenye TV ila siwezi, TV ina ubora wa 4K muvi zake huwa zinaenda hadi GB 50 huko, hapa ni mpaka nimbembeleze mtu flani ana unlimited internet anishushe muvi mbili tatu zinafikia GB 100, hapo bado mtoto anaweza kutaka nimuwekee game mpya ya TV, nikiingia mtandaoni game moja ni GB 50, aisee!!

Je internet inaniingizia pesa ? NO!! nina shughuli zangu rasmi za kuniingizia kipato, internet hunisaidia kwenye mawasiliano, kuhabarika, hunisaidia kwenye shughuli zangu, burudani, kujielimisha, n.k.
 
Matumizi Yangu ni GB 2 hadi 3 kwa siku

Hivi vitu huwa natumia bila kujibana

  • whatsapp
  • Youtube
  • Instagram
  • kudownload muvi, mziki, documentary, n.k.
  • browsing

Situmii TIKTOK, ina uraibu mkubwa sana na inapoteza muda sana.

Hapo nina shughuli zangu sio kusema kwamba ninashinda mitandaoni, ikitokea siku nimeshinda mtandaoni basi inaweza kufika 7 GB

Siangalii pilau jamani,
Hatudownload video za ngono

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Matumizi Yangu ni GB 2 hadi 3 kwa siku

Hivi vitu huwa natumia bila kujibana

  • whatsapp
  • Youtube
  • Instagram
  • kudownload muvi, mziki, documentary, n.k.
  • browsing

Situmii TIKTOK, ina uraibu mkubwa sana na inapoteza muda sana.

Hapo nina shughuli zangu sio kusema kwamba ninashinda mitandaoni, ikitokea siku nimeshinda mtandaoni basi inaweza kufika 7 GB

Siangalii pilau jamani,
Uko vizuri kwa kipato hongera,Huwa Mimi nazima!Mb300siku3hadi 4!
 
Matumizi Yangu ni GB 2 hadi 3 kwa siku

Hivi vitu huwa natumia bila kujibana

  • whatsapp
  • Youtube
  • Instagram
  • kudownload muvi, mziki, documentary, n.k.
  • browsing

Situmii TIKTOK, ina uraibu mkubwa sana na inapoteza muda sana.

Hapo nina shughuli zangu sio kusema kwamba ninashinda mitandaoni, ikitokea siku nimeshinda mtandaoni basi inaweza kufika 7 GB

Siangalii pilau jamani,
Niliapa kama social media haitaniingizia hela sitatumia kamwe natumia GB 3.5 kwa siku kusocialize na kupata clients at the same damn time.
 
kuna dogo langu nilkiwa nalishangaa kutumia gb 2 kwa siku akiwa ana likizo ni wa kike hasa hasa anashinda instagram anaangalia mavideo ya maevent ya maharusi,
kumbe kuna watu wanatumia zaidi ya hyo kwa siku

Mimi huwa natumia GB 2 kwa siku 5 na inayokula zaidi MB zangu ni hii fb ya siku hz ambayo imekuwa na video nyingi za kutazama
 
Na unajisifia kabisa zinakuingizia hela ndio swali la kujiuliza siweki mb nyingi kama sina deal la hela la kuirudisha hio hela.
 
Matumizi Yangu ni GB 2 hadi 3 kwa siku

Hivi vitu huwa natumia bila kujibana

  • whatsapp
  • Youtube
  • Instagram
  • kudownload muvi, mziki, documentary, n.k.
  • browsing

Situmii TIKTOK, ina uraibu mkubwa sana na inapoteza muda sana.

Hapo nina shughuli zangu sio kusema kwamba ninashinda mitandaoni, ikitokea siku nimeshinda mtandaoni basi inaweza kufika 7 GB

Siangalii pilau jamani,

Tupo wengi kumbe ila sio matumizi sahihi,tafuta shughuli ya kufanya ukitoka kazini uwe unafanya kuingiza kipato cha ziada au kinachokupelekea kusave pesa mfano kuhudumia bustani nyumbani.au ufugaji.Utasema uko mjini au umepanga lakini unaweza kupanda mboga na viazi kwa mkopo.
 
Back
Top Bottom