Maghayo
JF-Expert Member
- Oct 5, 2014
- 13,732
- 29,115
Mzuka wanajamvi!
Leo August 14 2023 ni siku ya mijusi (Lizard Day) duniani mwamba Kenge "The fighter" akiwemo.
The Lizard Day inaadhimishwa kila tarehe 14 August. Japo wengi hawaifahamu hii siku (Kenge day) lakini sisi reptile enthusiast huwa tunaisubirigi kwa hamu na hatimae imefika ni shangwe, chereko na nderemo.
Wadau tunaumia na kusikitika sana jinsi Kenge anavyobezwa na kudharauliwa na jamii ya kitanzania.
Hii kitu haifai na tunaomba na kutahadharisha mwamba Kenge apewe heshima na maua yake.
Kenge is a beautiful and wonderful animal.
Kenge ni mnyama shupavu na mwenye kujiamini. Kenge always mind his/her own business.
Ifike wakati Kenge awe Nembo yetu ya taifa badala ya twiga.
Wishing you a Happy and prosperous Kenge day!