Mario John
New Member
- Mar 22, 2019
- 2
- 1
Kuna ongezeko kubwa la uhitaji wa huduma kwenye magari ikiwemo service kubwa na ndogo, matengenezo mbalimbali na huduma za kisasa kama diagnosis na nyinginezo.
Moja ya changamoto zinazoonekana ni uwepo spea feki na ukihusisha na uwepo wa mafundi wasio na weredi kazi hua haifanyiki kwa ufasaha.
Je ni changamoto gani zingine unaziona kwenye huduma ya matengenezo ya magari na nini kifanyike kuzipunguza hizi changamoto?