sijawahi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stability

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kuona mwanaume ameoa mwanamke mwenye makalio makubwa.

    Tipwa Tipwa wamebaki kwa ajili ya burudani tu za kutolea stress za mihangaiko. Wengine Unakutaga wanahagaika in their 20s, wanauza utu kwa ajili ya starehe na pesa za kuhongwa, wakishafikia 35 sasa ndio wanaanza kutafuta mabwana na kuja na nyuzi humu wakitafuta wazee wa miaka 50 maana wanajua...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Shikamoo Malaria, aiseeh! Sijawahi kuumwa hivi. Siku tatu kama mwaka.

    Mabibi na Mabwana hamjambo! Pasaka iliisha vizuri Kabisa. Siku hiyo tulikutana ndugu wote maeneo ya Msasani beach Club. Kama mnavyojua Taikon Hana gari, sasa ndugu zangu wale kidogo wengi wao walikuja na Magari Yao. Nami kujilizajiliza nipande Magari ya watu kidogo naonaga shida kidogo. Ni...
  3. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kumtukana mwanamke

    Ukiacha kumtukana mwanamke kwenye sex,sijawahi kumtukana mwanamke kwa kugombana.Mara zote panapotokea kutoelewana na mwanamke,wawe wake zangu au mchepuko sijawahi kuwatukana matusi.Mara zote panapotokea kutoelewana huwa naongea nao tena kwa lugha nzuri na bila kupandisha sauti,na mwanamke akija...
  4. Stability

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kuona mdada mwenye makalio makubwa akawa kiongozi wa presentation, wanakaaga nyuma alafu akivuka geti la chuo anataka yeye ndio awe mbele

    Utamsikia "guys nisaiiiiiidieniii mwenziooo😔" Mkishatoka tu nje ni kama hawajui group mates wake🤣
  5. Kisesetusese

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiye mwanamke niliyempenda katika maisha yangu. Huwezi amini sijawahi hata kukutana naye kwa abahati mbaya. Sylvia huna baya

    Huyu ni mwanamke wa kipekee sana. Sylvia hana baya. kichwani yuko vizuri. Naamini ningekuwa na wadhifa ningempata. bahati haipo upande wangu. Huyu dada nimemzimia sana. Rangi yake, upstair dah! inauma sana.
  6. Macbook pro

    JamiiForums Tanzania Exim bank huduma yenu ya app hairidhishi, technical team boresheni hili

    Habari za Kwenu Wadau! Nimeleta huu uzi kutoa uzoefu wangu na huduma za kibenki za Exim Bank. Exim Bank ukienda kwenye Branch zao wanahuduma nzuri na haraka tu unaondoka lakini kwenye application yao daah aisee .. Terrible and poor simbanking services. Nimeitumia kwa muda miezi sita kwa kweli...
  7. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kumsikia MAKONDA akiongea Kiingereza

    1. Jiji la Arusha hupokea wageni wa Kimataifa mara kwa mara tofauti labda na Lindi au Rukwa hukoo. Ila sijawahi kumsikia Mheshimiwa akitema yai. Je huwa anawasiliana nao vipi pindi wageni wa Kimataifa wakifika Jijini Arusha? 2. Mwenye ushahidi (video clip) akiwa anaongea lugha tajwa aweke hapa...
  8. Navigator Paul

    JamiiForums Tanzania Nina Miaka 22 ila sijawahi Sex kabisa na Mwanamke yeyote na ninaogopa sana

    Wakuu Mnaendeleaje Mimi Ni Kijana Sahivi Nina Miaka 22 Ila Sijawahi Sex Kabisa Na Mwanamke Yoyote Na Ninaogopa Sana Hilo Tatizo Linaweza Kuwa Nini Kwa wenye utalaamu Kabisa Na Ikoje Hiii??
  9. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kuona Mtoto mjinga hivi

    Anaeleza ujinga wake mbele ya wazazi na watu wanaoheshimiana nao Angalia kwenye video. Kama mzazi nimeumia sana
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kumkubali Mbunge Mrisho Gambo na hata Yeye anajua, ila leo niseme tu RC Makonda na hao Madiwani mmezidisha Chuki juu yake

    Nina Marafiki kadhaa huko Arusha na GENTAMYCINE huwa sipendi kuwahi Kumhukumu Mtu bila ya Kwanza kufanya Uchunguzi wangu wa Kinjagu (Kimosadi) ili Kujiridhisha. Nilichogundua ni kwamba Mbunge Mrisho Gambo amefanya mazuri kadhaa na yanaonekana ila mengi ambayo ameshindwa Kuyatekeleza ni kwasababu...
  11. Emilio Mzena

    JamiiForums Tanzania Mbona sijawahi kuona tangazo la Safari Lager au Serengeti Lite kwenye chaneli za Azam?

    Wakuu kwema… Tupo huku tunavuna viazi na wananzengo wenzangu. Hoja ikaibuka, mbona hatujawahi kuona tangazo la kilimanjaro lager, safari lager, serengeti lite na vinywaji vya namna hiyo katika chaneli za Utv, Azam one & two, Azam Sports 1, 2, 3, 4 wala Sinema Zetu. Mdau mwingine akasema yeye...
  12. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Sijawahi sema refa sio kocha toka nianze kufundisha hata kama anapuliza filimbi kama anachezesha ngoma. Lakini kwa jana nawaachien wananchi

    Walioangalia KIPINDI CHA michezo channel ten yanasikitisha sana sanaa, Kocha mgunda kaulizwa umeonaje mechi, AKASEMA hajawahi kumsema Refa YOYOTE Toka aanze KUFUNDISHA akasema HATA kama anapiga filimbi kama ANACHEZESHA ngomaa Lakini yaliyotokeaaaa wananchi mmeyaonaaa nawaachia nyie mseme...
  13. Yoda

    JamiiForums Tanzania Vita vya kudumu Somalia sijawahi kuvielewa sababu zake, ni kama walikuwa wamechanganyikiwa

    Wakuu, hivi kuna mtu anaelewea kwa nini Somalia walipigana vita vibaya hivyo kama wendawazimu kwa miongo yote hiyo wenyewe kwa wenyewe? Sehemu nyingi zenye vita watu wakipagana huwa sababu zinatolewa labda ni madini, mafuta, ardhi au dini lakini hawa Wasomalia hivi vyote hata hawakuwa navyo...
  14. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Sijawahi ona mtu ameandika JF kujisiifia amepeleka mtoto English Elementary ila Wazee wa Kayumba ni taarab kila kona ili wapate faraja ya uamuzi mgumu

    Ndugu yangu, kila mtu afanye kwa uwezo wa mkono wake unapofikia. mbona wewe ukienda pub kuonja kidogo, unavutiaga watoto wazuri wa gharama ya juu, ushawahi kusikia DJ au bartender analalamika kuwa unapoteza pesa hapo 🤣🤣
  15. mahindi hayaoti mjini

    JamiiForums Tanzania Huku ni kukomoana, sijawahi kuona wala kusikia kama hili duniani, TRA mjiangalie

    Pamoja na umachinga wangu, bado nikasema nisaidie nchi yangu kwa kulipa kodi, nimechukua tin namba nikakata leseni nikafungua kiosk, nikakadiriwa nilipe laki nne kwa mwaka, kila miezi mitatu 100,000/=. Nimelipa vizuri mara tatu, mara ya nne nimechelewa kwasababu zilizo nje ya uwezo wangu...
  16. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mwaka wa tatu huu tokea niajiriwe sijawahi kulipwa hela yangu ya kujikumu

    Kama kichwa cha habari kinavyosema mm ni mtumishi katika halmashauri ya mji wa Tarime, toka nimeajiriwa miaka mitatu iliyopita na sijawahi kulipwa hela yangu ya kujikimu na kila ninavyofuatilia imekuwa ni danadana. Wenye mamlaka tusaidieni tuweze kulipwa hela ya kujikimu kwa maana ni haki yetu.
  17. Mikopo Consultant

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa wa Tanzania wanaongeleaga kuhusu viwanda ila sijawahi wasikia wakiongelea na inteligensia ya kuvilinda viwanda

    Ukiwa Arusha mjini, mitaa ya Unga Limited, sasahivi yamebakia kuwa magodown, ila wazazi wetu wanatuambia miaka ya 70 na 80 kulikuwa na utitiri wa viwanda vingi sana. Na hiyo ni Arusha; ukienda na mikoa mingine kama Dar es salaam, Mwanza, Mbeya, Tanga na Morogoro, utakutana na similar story. Kwa...
  18. NYOLODO

    JamiiForums Tanzania Sijawahi na sitakuja kukutana na kitu kitamu walahi kama kile katika maisha yangu yote yaliyobakia

    Wakuu inafikirisha kidogo! Naomba nitoe rai kwa mamlaka kuandaa mafunzo ya kutengeneza juisi bora kwa wajasiriamali wadogo wadogo mana mtaani huku wanautuua haki ya mungu. Leo katika pitapita zangu tandika nikaona juisi ya miwa nikajikoki ya jero. Dah! 🤔🤔 wakuu sijawhi kukutana na kitu kitamu...
  19. Joseph Ludovick

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sijawahi kuwa na Ndoto Ya Uenyekiti CHADEMA- Lissu

    Tukisema Lissu ni Muongo muwe mnatuelewa. August tu alisema hana ndoto ya kuwa mwenyekiti. Leo yumo.
  20. Shammy-

    JamiiForums Tanzania Huyu msanii sijawahi kumuelewa

    Ukiachana na nyimbo ya "chibonge" "dar kugumu" na "mi amor" hakuna nyimbo ya huyu jamaa niliwahi kupenda wala kuelewa Anaimba takataka tupu! na wanaopenda nyimbo Zake tofauti na nilizo orodhesha mimi nao naona Hawana akili tu(kidding)😄 Povu ruksa ila hakikisha una uhakika wa kula January nzima
Back
Top Bottom