sijawahi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Hii pressing ya TRA Kudai Kodi sijawahi kuiona

    Sikujua kama wanakabia juu Hadi Kwenye mitaa ambayo sio ya kibiashara, mfano MTU kajenga nyumba mbele kaweka frem ndogo na haipo karibu na barabara kuu IPO mbali kabisa, lakn wanakimbizana na Raia. Leo nmeshangaa Sana wamama wanaokimbilia ndani huku wakifunga biashara zao wakitoa matusi ya...
  2. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Tangu nipate hela sijawahi kuota ndoto za kutisha

    Zile ndoto za kukabwa, mara kukimbizwa halafu hauwezi kukimbia au kuanguka toka juu halafu ukifikachini huumii n.k zimekoma maramoja baada ya kuanzisha hii kampuni yangu ya kuchezesha kamari. Nampongeza sana rais wetu. Sasahivi mkiliwa pesa za kubet mnakuwa mmenichangia pakubwa sana. SIJATAPELI...
  3. Yoda

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kuelewa kwa nini Mungu anaruhusu watoto wadogo kuteseka

    Katika mambo ya imani ambayo kwangu yamekuwa ni magumu mno kuyaelewa ni kuhusu mungu kuruhusu kuteseka kwa watoto. Watu wazima wakiteseka unaweza kusema labda wamestahili kwa sababu hadi mtu afikie kuwa mtu mzima lazima kuna maovu na dhambi atakuwa ametenda mahali fulani tu, wengine wanasema...
  4. haszu

    JamiiForums Tanzania Ugumba/kutokushika mimba ni kati madhara ya mapenzi kinyume na maumbile ambayo sijawahi isikia ikizungumzwa.

    Mara nyingi watu huzungumzia madhara ya kuvaa pempas kwa anaefanyiwa au kuziba kwa mirija kwa anaefanya, ila nimeshangaa kuona pia kitendo hiki hupelekea mwanamke kutoshika mimba. Mwanaume anapomwaga, kwakua eneo lile sio sahihi, mwili hutengeneza ant-bodies kujilinda, kitendo hiki kinafanya...
  5. Superbug

    JamiiForums Tanzania Tamthilia ya Dunia ni nzuri mno sijawahi ona kwa Tanzania, naomba kuwajua wale wahusika

    Mimi sio mpenzi wa tamthilia ila hii ya Dunia ni kiboko naomba kuwafahamu wale wahusika Kwa undani. Maisha yao kazi zao wanapotoka makabila yao nk. 1. Manyanya 2. Mke wa manyanya 3. Mlevi mme wa sindi 4. Sindi mwenyewe 5. Wale wadada wanaomuita manyanya kaka nk
  6. G

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kumsikia akikemea ufisadi kwenye hotuba zake

    Tangu aingie madarakani baada ya kifo cha bwana yule, sijawahi kumsikia alikemea au akimtumbua mtu kwa sababu ya ufisadi. Katika awamu yake ufisadi umeshamiri sana. Kila mteule wake kwa sasa ni bilionea huku miradi mingi ya maendeleo ikikosa fedha. Je ukimya wake ni kukiri kuwa yeye ni Shemu ya...
  7. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kuna mwamba humu sijawahi kuona ame comment chochote, yeye ni dose after dose ya mapicha ya mademu wenye mout kilimanjaro🤣

    Swahili AI salamu zako ndugu🤣 Vijana wengi wanafurahia picha zako quality kwenye kile kijiwe pendwa ni basi tu wanajifanya hawataki kuku-appreciate
  8. Superbug

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kumuona Dully Sykes kwenye matamasha ya CCM

    Nakiri namkubali sana Dully Sykes Hana makuu na pia ni kwasababu sijawahi kumuona kwenye matamasha ya kichawa.
  9. Adiya5

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kupanda Ndege, nisaidieni

    Habari za muda huu watanzania, Mimi ni mwanamke tena mtanzania mwenzenu naishi Dar es salaam, lakini katika maisha yangu sijawahi kutumia usafiri wa ndege, natamani sana na mimi siku moja nifika pale uwanja wa ndege nihudumiwe kisha nikapande ndege, natamani nikijiona nimo ndani ya ndege...
  10. Last KING Ontuzu

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kusikia Wasiojulikana wadhibitiwe ila Nimesikia wanaharakati wathibitiwe

    Kumbe Inawezekana wanaharakati ni wabaya sana kuliko wasiojulikana! Na pia sijawahi kusikia neno kulinda uhuru na haki za Watanzania ila nasikia kulinda amani kumbe huenda haki haina umuhimu kiviile ama mwenzenu bado sijakua!
  11. Consigliere

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kushuhudia Tanzania ya aina hii

    Naomba nikiri kwamba, katika uhai wangu wa miongo ya kutosha kuitwa kikongwe, nimeshuhudia mambo mengi sana ya maana na ya hovyo ndani ya Tanzania. Kwa miaka mingi Watanzania walikuwa ni watu ambao ndani kama zilivyo nchi nyingine waligawanyika na kutofautiana sana, kimitazamo, kimaslahi ...
  12. Yoda

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kuona kiongozi wa maana mwenye akili anazurura na kibastola kiunoni

    Katika kufuatilia kwangu historia za watawala wa dunia hii sijawahi kukutana na kiongozi wa maana aliyewahi kuwa anazurura na bastola waziwazi kiunoni akawa na akili nzuri. Viongozi wote ninaowajua ambao wamekuwa wakizurura na bastola kiunoni nati zao za kichwa huwa zimilegea na huwa viongozi...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Tangu nimejua muziki wa HipHop Bongo sijawahi kushuhudia wala kusikia msanii mwenye uwezo kiasi hiki kwenye FREESTYLE, "Wizzy MP" ni level nyingine

    Freestyle na muziki ni vitu viwili tofauti katika Hip Hop, wanaoweza vyote ni wachache, Freestyler hapimwi kwa hits za studio, anapimwa kwa uwezo wa kutema mistari papo kwa papo bila kuandika, bila kujiandaa bila kujali beat. Tangu nianze kuijua hiphop miaka ya 2000 hapa bongo nimewajua...
  14. kali linux

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kuona directors makatili kama walioandaa TV Show ya GANGS OF LONDON

    Itoshe kusema hawa jamaa ni makatili sana, uuaji na ukatili unaofanyika mule ni ngumu kuufikiria tu kwa imagination unless uwe umewahi kuuona live kwenye uhalisia au umewahi kuwa muhanga wa vita. Anyway, ndo naanza season 3 hapa. flixbaba.net
  15. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Siyo mwanasheria ila moja ya hoja zangu ndiyo zimeenda kuwashinda jopo la wanasheria wa Yanga huko CAS

    Toka day one ya sakata la derby na hatua ya Yanga kupeleka kesi CAS nilikuwa nahoji mara kwa mara inakuwaje unapeleka kesi ya rufaa wakati hauna nakala ya hukumu ya awali, nikajibiwa kwa jazba na mashabiki lia lia kuwa nisubiri nione. Nikaambiwa mimi ni nani nipewe nakala ya hukumu, wakiwa na...
  16. kyagata

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kuona mzungu akitafuna mfupa wa nyama

    Wakuu Hivi wazungu huwa hawali nyama zenye mifupa kama sisi waafrica?
  17. whitehorse

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kugundua SINGELI ni tamu

    Nimetoka Dodoma hadi naingia Dar njia nzima namsikiliza Dogo Patel yaani jamani singeli tamu 💃💃💃💃
  18. Stability

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kuona mwanaume ameoa mwanamke mwenye makalio makubwa.

    Tipwa Tipwa wamebaki kwa ajili ya burudani tu za kutolea stress za mihangaiko. Wengine Unakutaga wanahagaika in their 20s, wanauza utu kwa ajili ya starehe na pesa za kuhongwa, wakishafikia 35 sasa ndio wanaanza kutafuta mabwana na kuja na nyuzi humu wakitafuta wazee wa miaka 50 maana wanajua...
  19. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Shikamoo Malaria, aiseeh! Sijawahi kuumwa hivi. Siku tatu kama mwaka.

    Mabibi na Mabwana hamjambo! Pasaka iliisha vizuri Kabisa. Siku hiyo tulikutana ndugu wote maeneo ya Msasani beach Club. Kama mnavyojua Taikon Hana gari, sasa ndugu zangu wale kidogo wengi wao walikuja na Magari Yao. Nami kujilizajiliza nipande Magari ya watu kidogo naonaga shida kidogo. Ni...
  20. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kumtukana mwanamke

    Ukiacha kumtukana mwanamke kwenye sex,sijawahi kumtukana mwanamke kwa kugombana.Mara zote panapotokea kutoelewana na mwanamke,wawe wake zangu au mchepuko sijawahi kuwatukana matusi.Mara zote panapotokea kutoelewana huwa naongea nao tena kwa lugha nzuri na bila kupandisha sauti,na mwanamke akija...
Back
Top Bottom