sijawahi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Sijawahi yaelewa kabisa madirisha ya aluminium, yamekaa kifakefake sana

    Kwa kweli hii trend mpya ya madirisha ya Aluminium binafsi sijaielewa kabisa. Naona kama hayako classy kulinganisha na ya mbao nzuri kama mninga. Muonekano wake haunivutii kabisa, naona kama ni kitu fake kinachong'aa. Shida nyingine ni yanafunguka nusu. Dirisha la mbao unalifungua full kabisa...
  2. Area 56

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kuona timu inafanyiwa maombi ili ifuzu World Cup

    Ni Tanzania pekee timu inafanyiwa maombi ili ifuzu World Cup, sijawahi ina na haingii akilini!! TFF achaneni na huo ujuha mtakuja kujuta...
  3. Equation x

    JamiiForums Tanzania Ukiniona nipo kwenye ndoa na sijawahi kukupa kadi ya harusi kwa ajili ya mchango; usiniletee kadi yako ya mchango wa harusi

    Kutokana na ugumu au vipaumbele vya maisha, watu wengi wanajitahidi kupunguza matumizi ya fedha yasiyokuwa ya lazima. Sasa wewe kipato chako hakitoshelezi kufanya sherehe ya harusi kubwa, huku ukitaka sherehe yako ianzie labda milioni 20, wakati wewe kianzio ulichonacho labda milioni 1; hizo...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Roho inaniuma vile nahukumiwa kwa kitu ambacho sijawahi fikiria kumfanyia huyu

    Poleni na majukumu wakuu, NAHITAJI ushauri wenu Kwa hili..,Mimi nipo na mrembo wangu kwa muda Sasa alienivumilia kwa mengi na tumedumu karibun miaka miwili.ni msichana alienipenda kwa dhati na Hilo nilidhihirisha baada ya kunikuta Sina mbele Wala nyuma lakin hakujali, na hata ingetokea nina...
  5. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Uteuzi wa Wakuu wa Wilaya uliofanyika Juni 2021 umeshusha hadhi ya nafasi hiyo

    Inasikitisha sana Tanzania sijui inaelekea wapi. DC ni nafasi nyeti ya kuunganisha watendaji na jamii inayowazunguka. Kusimamia mambo ya ulinzi na usalama. Hii ni nafasi ya waandamizi kutoka katika utumishi au chama, wakiwa wamejaa utu uzima na busara za kumwagika. Leo unaenda kuokoteza...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Tangu CCM iasisiwe mwaka 1977 sijawahi kuona nafasi ya Mwenyekiti taifa ikigombewa na watu wawili au zaidi!

    Najaribu kuweka kumbukumbu sawa kwa sababu kuna watu wanadhani ni rahisi sana kuweka wagombea zaidi ya mmoja kwa nafasi ya mwenyekiti. Alianza hayati Nyerere, akaja mzee Mwinyi, akaja hayati Mkapa then mzee Kikwete kisha hayati Magufuli wote hawa hawajawahi kushindanishwa na yoyote. Tusilete...
  7. beth

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Mijadala Bungeni haina afya kwa Taifa. Tufanye kazi kama Bunge linavyotakiwa kufanya kazi

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema amekuwa akifuatilia mijadala ya Bunge na kuongeza kuwa kuna mijadala isiyo ya afya kwa Taifa Amesema: "Kipindi hiki ndugu zangu Wabunge tunatakiwa kupitisha Bajeti za Sekta mbalimbali za Serikali kwa ajili ya maendeleo ya Taifa. Naomba jikiteni sana...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kuona Soko la mbogamboga linaitwa jina la kiongozi mkubwa hapa duniani isipokuwa Dodoma

    Hata sielewi mwendazake Magufuli alifikiria nini? Maana yeye mwenyewe mwendazake Magufuli alipoombwa soko la mbogamboga la Morogoro liitwe jina lake akagoma kabisa akasema apewe chifu Kingalu Kimsingi sokoni ni pahala pa mambo ya kienyeji enyeji ukiona kiongizi mkubwa jina lake linabatizwa...
  9. P

    JamiiForums Tanzania Leo nimetimiza miaka 30, sijawahi miliki hata Godoro

    Baada ya kutimiza huu umri nimejikuta natamka maneno magumu sana education is a lottery ticket not a safe investment. Nimetafuta kazi nimekosa, nimefanya biashara nimefilisika. So nilichobakiza ni kuwalamba wana mizinga ya ten tu ili niishi.
  10. trisha cute

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kuumia kama nilivyoumia hivi sasa nisaidieni

    Habari ndugu zangu! Nimeachana na mtu niliekua nampenda sana tulikuwa kwenye mahusiano takribani miaka 2 na tumeachana baada ya yeye kuniambia ukweli kuwa ameoa tayari ana mke na mtoto mmoja. Last week aliniomba tukutane akemi kwa ajili ya Dinner then baada ya hapo ndio akanitamkia haya...
Back
Top Bottom