sifa

Sifa is a type of deadman's control system used on German-influenced European railways. Although deadman's pedals are commonly used on railways worldwide, Sifa systems are specifically those codified by German Industrial Norms VDE 0119-207-5.
In Switzerland the equivalent system is called 'safety control' (Sicherheitssteuerung).

View More On Wikipedia.org
  1. Yoda

    JamiiForums Tanzania Jamii zinawatengeneza wanaume kuwa viongozi kimfumo, wanawake wanahitaji juhudi na sifa za ziada kuwa viongozi bora

    Katika sehemu nyingi za dunia jamii zimekuwa zinawajenga au kuwatengeza wanaume kuwa viongozi kimfumo kwa kipindi chote cha maisha ya binadamu. Tukichukulia jamii zetu mtoto za sasa kwa mfano mtoto wa kiume ndiye anachunga mifugo porini na ndiye msimamizi wa mbwa nyumbani, haya ni mambo ya...
  2. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Hongera Uncle Mbowe. Wachaga tumetumwa kutafuta hela sio sifa

    Uncle ningeshangaa kama ungekata tamaa na kuiacha Saccos yetu mikononi mwa wavamizi wasiojua tulipo itoa. Babu Mtei, mzee Ndessamburo aka Ndessa Pesa walikukabidhi huo mradi uulinde kwa wivu mkubwa. Niwazi uncle Christmas itakuwa safi sana. Tukutane Hai, wamachame tuna jambo letu.
  3. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilichogundua mke kuolewa siyo bahati bali awe na sifa hana tofauti na kiwanja sehemu nzuri kununuliwa ni chapu kwa haraka kuliko magumegume

    Wanaosema kuolewa ni bahati huwa wanajifariji tu! Ukweli ni kwamba kuwa mke wa mtu ni vigezo na sifa maalum ambavyo siyo kila mwanamke anavyo! Kutokuwa malaya haina maana unasifa moja kwa moja kuwa mke wa mtu bali hii ni tabia njema ingawa siyo tiketi ya kuolewa! Mwanamke mwenye sifa ya...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tuchambue Wazungu wa nchi mbalimbali kwa sifa na tabia zao.

    Kama mada inavyosema ni kwamba wazungu hawafanani kitabia, nadhani diaspora ndio watatupa uzoefu zaidi. Tuchambue tabia za Waingereza, Wajerumani Wafaransa, Waitaliano, Warusi na kadhalika. Je ni sifa, tabia na hulka zipi walizo nazo? Kwa mfano Waingereza wanasifika kwa ubahili, Wafaransa...
  5. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama umeoa mke mwenye sifa hizi, fukuza kabla mambo hayajaharibika sana

    Kama umeona mwenye hulka/tabia mojawapo kati ya hizi, basi mkeo ni kahaba, na anayafanya haya kuvutia wanaume wengine. Fukuza kabla mambo hayajakuharibikia:- 1. Anabandika kope, nyusi, kucha na kuvaa mawigi. Unadhani anambandikia nani? 2. Anavaa nguo za kubana ama zinazoonesha maungo ama nguo...
  6. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania FT: MC Alger 2-0 Young Africans | CAF Championship League | December 7, 2024

    Tyee!!! Leo nimewahi kuanzisha thread. Watakaonuna na wanune. Nastahili kupongezwa kwa mafanikio haya: Mpira umeanza dakika 20 zilzopita. Ingawa MC Alger walianza kwa kasi sana wakituhsmbulia kwa nguvu sana, tuliwadhibiti na hadi sasa bado tuko level ground ya NUNGE-NUNGE. Pacome kapata...
  7. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Lamu, Mombasa na Tanga toka miaka na miaka hii ni moja ya sifa zao

    Toka miaka ya 90 moja ya utani kwa mtu anayependa vitu vya bure aende Mombasa. Kuwa kwa Mombasa unaweza enda kula sehemu ukataka kulipa wakakuambia ushalipiwa wewe..... Ukaoneshwa mtu ambaye unaambiwa amekulipia unamwona anakuna ndevu zake akitabasamu. Hii hali na huu utani upo miaka nenda...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mgombea Uenyekiti wa CHADEMA aliyeenguliwa licha ya kuwa na sifa bado ana dukuduku, akosoa waliosimamishwa kugombea

    Wakuu, Mambo bao moto, Mgombea Uenyekiti wa CHADEMA, Maulid Abdallah aliyeenguliwa licha ya kuwa na sifa bado ana dukuduku, akosoa waliosimamishwa kugombea. Kupata nyuzi za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara...
  9. Malaika wa Misukosuko

    JamiiForums Tanzania Taja mboga ambayo ukiipika utaila weee ila sifa yake ni kwamba haiishagi mimi naanza na Kabeji (kabichi)

    Habari ndugu zangu, Moja ya sifa ya kabeji ni kwamba unaipika unaila mpaka unatamani iishe sasa ila ndo haiishi....twende kazi mboga gani nyingine ina sifa hii ?
  10. Chakaza

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Ni Kichekesho Kutumia Sifa za Utendaji wa Rais Kumnadi Mgombea Uenyekiti wa Mtaa

    Hivi unakuja kunipigia kelele za kumchagua mwenyekiti wa mtaa kwa sifa za Royal Tour? Au kukaribishwa kuhudhuria mkutano wa G20? Na awali nilidhani ni huyu tuu aliyekuja kuzindua kampeni huku kwetu, kumbe ndio style yao wote nchi nzima wakiongozwa na Makalla kila aendapo. Utendaji wa...
  11. Manyanza

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sifa na vigezo vya Kisheria na Kiimani ili uweze kuoa Mke

    1.Katika Uislamu, Mtu anayetaka kuoa anapaswa kuwa na sifa kadhaa ili kuhakikisha ndoa inakuwa yenye baraka, imara, na yenye msingi mzuri wa kidini na kijamii. Sifa hizo ni pamoja na: 1. Kuwa na Imani ya Kidini (Ucha Mungu): Mwanamume au mwanamke anayetarajia kuoa anapaswa kuwa mcha Mungu...
  12. MSONGA The Consultant

    JamiiForums Tanzania Wafahamu Wafadhili Wakubwa Wa Mashirika ya Hisani Na Sifa Zao (Major Gift Donors and Their Traits)

    Wafadhili wakubwa yaani “Major Gift Donors” ni watu ambao wanatoa kiasi kikubwa cha ufadhili kwa shirika, ili kuliwezesha shirika kutekeleza programu na miradi yake kikamilifu. Tafsiri ya mfadhili mkubwa inatofautiana kutoka shirika moja na jingine, kimsingi hakuna kiwango maalum kinachoonyesha...
  13. Magical power

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Utakapo sifiwa kung'oa mademu kwa wingi, Siku ukiyavagaa Huwa hawatoi sifa tena ni utani mbaya na unafki wa "Pole sana Mwanetu"

    Utakapo sifiwa kung'oa mademu kwa wingi, Siku ukiyavagaa Huwa hawatoi sifa tena ni utani mbaya na unafki wa "Pole sana Mwanetu" Kataa uzinzi mwanangu, Usije Ukasifiwa kwa Kumaliza Kikombe Kimoja cha Uji.
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Rais wa nchi Kusifiwa na Familia za Marehemu wa Jana na Leo kwa Kuwapeleka Matibabuni India ni kutoka Mioyoni mwao / ni Siasa za Sifa za Kijinga tu?

    Na kwanini basi kwakuwa anataka Sifa na Kutukuzwa asiamue tu kulipia Gharama zote za Wagonjwa nchini mwake?
  15. Mpigania uhuru wa pili

    JamiiForums Tanzania U.s federal reserve walipunguza interest rate september ambapo kutapelekea kuongezeka kwa dollar cha ajabu sifa anapewa mafuru

    Kwenye msiba wa mafuru alisikika samia akimsifia mafuru alsaidia kupungua kwa uhaba wa dollar swali kivip kwa sababu anaye-control supply ya dollar ni u.s federal reserve sasa mafuru anahusikaje Hii ni habari ya september The US Fed on Wednesday cut the benchmark federal funds rate by half a...
  16. AbuuMaryam

    JamiiForums Tanzania Serikali lazima itambue BAKWATA ni dhehebu moja tu miongoni mwa madhehebu ya Kiislamu, wala BAKWATA haina haki wala sifa ya chombo cha Waislamu

    Kupitia jukwaa hili naomba, kuifahamisha Serikali...na isijifanye hailioni hili... BAKWATA ni dhehebu la TWARIQA, miongoni mwa madhehebu tu kama vile lilivyo, HIZB TAHRIIR, TABLIIGH, SALAFY, SHIA... Ndio maana hata namna yao ya kuendesha mambo yao na uteuzi wa watu wao kuanzia Mufti mpaka...
  17. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania NI wilaya gani Tanzania yenye Sifa hizi?

    Natamani Sana nikija kufika miaka kuanzia 40 niishi nnje ya dar kabisa, nataman nipate wilaya yenye Sifa zifiatazo:- *maji Safi *Umeme *Ardhi yenye rutuba *Vyakula vya kutosha *Pawe panalimwa + ufugaji *Panafikika kirahisi kutoka mikoa mingine *Internet ya uhakika Nawaza Sana kuhusu chato...
  18. Man Middo tz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sifa za mwanamke ambaye yuko kimaslahi kwenye mahusiano

    SIFA ZA MWANAMKE AMBAE YUPO KIMASLAHI KWENYE MAHUSIANO Mwanamke ambaye yupo kimaslahi kwenye mahusiano anaweza kuonyesha sifa zifuatazo: 1. Kuweka Kipaumbele Kwenye Faida za Kifedha: Atazingatia sana hali ya kifedha ya mwanaume wake na kuonyesha nia ya kujinufaisha kifedha zaidi kuliko kujenga...
  19. Man Middo tz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sifa za 'bad guys' zinazowanya wapendwe na wanawake. (sifa zinazo wavuta wanawake kwa bad guys)

    SIFA ZA 'BAD GUYS' ZINAZOWAFANYA WAPENDWE NA WANAWAKE. (sifa zinazo wavuta wanawake kwa Bad Guys) Ingawa "bad guys" wana sifa nyingi mbaya, bado wanaweza kuwa na mvuto kwa wanawake kwa sababu kadhaa. Hapa kuna baadhi ya sababu zinazoweza kuelezea kwanini "bad guys" wanavutia wanawake licha ya...
  20. Mzee wa Code

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa CCM atahadharisha Serikali kuendelea kukopa, asema kukopa sio sifa

    Mbunge wa CCM, Zahor Mohamed Haji wa Mwera ameitahadharisha Serikali kuacha kuendelea kukopa kwa sababu kufanya hivyo sio Sifa.
Back
Top Bottom