sifa

Sifa is a type of deadman's control system used on German-influenced European railways. Although deadman's pedals are commonly used on railways worldwide, Sifa systems are specifically those codified by German Industrial Norms VDE 0119-207-5.
In Switzerland the equivalent system is called 'safety control' (Sicherheitssteuerung).

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Ni zipi sifa za mtu kuchaguliwa kuwa Best Student Chuo Kikuu?

    Habari watanzania, leo nimekuja na hili swali, maana limenichanganya kidogo. Nina mdogo wangu amepata 4.7/5.0 hapo UDBS-UDSM na yeye ndo alikuwa na GPA kubwa kushinda wote hapo cha ajabu hakutangazwa kama BEST STUDENT. Wadau mliopo kwenye ACADEMIC FIELD naomba mniambie ni vigezo vipi...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Zitambue Sifa za Kiongozi bora

    Viongozi huunda mataifa yetu, jamii, na mashirika. Tunahitaji viongozi bora watusaidie kutuongoza na kufanya maamuzi muhimu makubwa ambayo yanafanya ulimwengu kusonga mbele. Kiongozi bora ana sifa zifuatazo:- Maono Kiongozi ni lazima awe na maono ambayo ni tofauti wengine. Lazima awe na uwezo...
  3. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kuhusu sifa za kufanya mtihani wa kidato cha 6 kama school candidate

    Mungu ni mwema mdogo wangu amefaulu kwa kupata daraja la kwanza na alama 16 (1 point 6). Physics na Mathematics amepata D. Ila Biology B, Chemistry B na Geography C. Lengo lake lilikuwa ni kusoma PCB, PCM au EGM. Hataki CBG. Kwenye PCB au PCM tayari Physics ana D. Kwenye EGM tayari Math ana D...
  4. JamiiForums Tanzania Zijue sifa zinazomuwezesha mjasiriamali kupata mafanikio

    Najua una shauku ya kuwa MJASIRIAMALI mwenye mafakio. Lakini je, unazo sifa za kukuwezesha kufanikiwa kama MJASIRIAMALI? Baadhi ya sifa zinazo mwezesha MJASIRIAMALI kupata mafanikio ni kama zifuatazo:- 1: Mawazo ya kiubunifu (Creative Thinking). MJASIRIAMALI huwaza kiubunifu ni jinsi gani...
  5. JamiiForums Tanzania Tuambiane sifa kubwa za wanawake wa Kinyarwanda. Nataka kuvuka border

    Kwa miaka mingi nilitokea kuwapenda sana wanawake wa Kinyarwanda kwa muonekano wao na naona vilevile wanaweza kuwa na kaheshima fulani ambayo wanaume wengi tunapenda tuzipate kutoka kwa wake zetu. Kwa kweli nikipata anayefaa, kipaumbele changu ni dada wa kinyarwanda. Mwenye uzoefu na watu hawa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…