sifa

Sifa is a type of deadman's control system used on German-influenced European railways. Although deadman's pedals are commonly used on railways worldwide, Sifa systems are specifically those codified by German Industrial Norms VDE 0119-207-5.
In Switzerland the equivalent system is called 'safety control' (Sicherheitssteuerung).

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Wabunge wasomi endeleeni kuchutama. Msijibishane na wa darasa la saba

    Ni kawaida kwa mtu mwenye akili zake (muungwana) akianza kurushiwa maneno na kichaa huwa anakaa kimya. Vivyo hivyo muungwana akiporwa nguo zake na kichaa, huwa anachutama. Sasa wabunge darasa la saba kwasababu ya upeo wao finyu, hubwatuka tu dhidi ya wabunge wasomi wenye akili. Na wabunge...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Kufuatia nguvu inayotumika kuua sifa nzuri za Magufuli, tutgemee nini Watanzania?

    Ninapata wasiwasi mkubwa sana kuelewa agenda iliyochini ya carpet kutokana na nguvu kubwa ya ghafla inayotumika kuua sifa za magufuli. Kuwa brainswash Watanzania ili waone Magufuli was wrong and really a bad person, kunalenga kuwafanya waamini kinyume cha mema ya magufli. Magufli amefanya...
  3. JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa Rais Samia Suluhu: "Hatari ya Mtawala kujipa sifa za Mungu"

    HATARI YA MTAWALA KUJIPA SIFA YA "mungu" Kwa Mkono wa Robert Heriel. Mwaka Juzi niliandika makala niliyoipa kichwa kisemacho "NJAMA ZA IKULU, HATA RAIS/MFALME ANAWEZA KUDANGANYWA" Soma hapa 👉👉👉👉Hata Rais hudanganywa: Njama za Ikulu ndizo hizi katika makala hiyo nilieleza kinaga ubaga namna...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Kuna majaji wa Magufuli wamekuwa judges/ Justice of appeal bila sifa zilizoinishwa kisheria, tunafanyje?

    Kuandika hukumu ya kiswahili, tayari ni JA, Is this acceptable within the ambit of the governing law? Tunafanyaje?
  5. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, fukuza walioukuletea jina la mtu asiye na sifa ili umteue

    Mheshimiwa Raisi, kama hilo jina halikuwa pendekezo lako bali uliletewa na wasaidizi wako ili umteue kuwa Mkurugenzi Mkuu wa TPDC, nakushauri uwafukuze mara moja waliohusika kupendekeza kwako jina hilo Pili, ikiwezekana sitisha kufanya teuzi kipindi hiki na jipe muda wa kutosha kupitia na...
  6. JamiiForums Tanzania Hivi hawa Watanzania 'wanyonge' wana sifa zipi? Na wanapataje hizo sifa?

    Inaonekana neno 'wanyonge' limeshika kasi katika matumizi yake hapa Tanzania, na kutumiwa sana na baadhi ya wakuu kabisa wa nchi. Kwa mujibu wa baadhi ya machapisho, 'wanyonge' maana yake ni 'masikini sana', au 'watu wadhaifu katika jamii'. Kwa Kiingereza ni 'disadvantaged', 'abject poor', au...
  7. JamiiForums Tanzania Wasifu wa Dkt. Philip Isdor Mpango

    Wakuu naomba C.V ya huyu Dr. Mpango aliyetuandalia mpango wa maendeleo unaoendelea kujadiliwa bungeni. Education History...
  8. JamiiForums Tanzania Baada ya Kifo cha Rais Magufuli: Nani anafaa kuwa Makamu wa Rais Tanzania?

    Poleni sana Watanzania wenzangu kwa kuondokewa na Rais wetu kipenzi. Mungu amlaze mahali pema peponi, Amina. Kutokana na hali ilivyo, automatically Mama Samia aliyekuwa Makamu wa Rais ndio anakuwa Rais kamili kwa kipindi cha miaka minne iliyobaki. Je, nani anayefaa kuwa Makamu wa Rais...
  9. JamiiForums Tanzania Uongozi ni hekima na busara, Rais Samia ana sifa zote mbili

    Uongozi sio misuli au kubobea sana kwenye fani fulani. Uongozi hauhusiani na kunyanyua vitu vizito au kufanya vitu mwenyewe mwenyewe, bali uwezo wa kuunganisha watu na kuwasaidia kufikia malengo ya pamoja. Dunia haina tatizo la wataalam wa vitu mbalimbali, bali ina tatizo kubwa la uhaba wa watu...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Meja Kunta unatisha una-deserve kupewa sifa

    Najua kuna baadhi ya watu ukitoa sifa kwa mtu hawapendi Mara utasikia umekuja kujipigia promo humu lakini tuwe wakweli this man called Meja kunta ameleta mapinduzi kiasi kikubwa kwenye singeli. Meja kunta ana voice unique sana na yenye mvuto tofauti na wasanii wengi wa singeli binafsi nilikuwa...
  11. JamiiForums Tanzania Fahamu sifa kubwa ya Infinix Hot 10 PLAY zaidi ya Samsung A02S

    Habari nimeona ni share na nyinyi hii, Katika ushindani wa soko la simu kampuni nyingi za simu zimejikuta zikitoa simu zenye kushabihiana sifa. Kwa leo tuliangalizie kwa ndani simu aina ya Infnix Hot 10 Play na Samsung Galaxy A02s.na mwisho wa makali hii nadhani tutakuwa tumepata kufahamu ipi...
  12. E

    JamiiForums Tanzania Kama huna sifa hizi jitoe kwenye kundi la super woman

    Unajiita super woman wakati hata ndoa bado huijui na wala hujui utaolewa lini. Kazi yako kukaa mitaani kila mwanamme anaekupigia miuzi unamfuata na kuzaa nae mitoto ya nje ya ndoa. Dadangu wewe ni mwehu na unahitaji maombi. Masupa women wote wapo kwenye ndoa zao maana ndio kipimo cha huo usuper...
  13. JamiiForums Tanzania John Mrema akanusha taarifa za kifo chake zilizoenea mtandaoni

    Jamii ikifikia mahali watu wanahasimiana hadi kuombeana vifo na majanga, jee, hiyo jamii ipewe sifa gani? Mimi nitakuwa nimekosea kweli kuiita ni jamii ya watu wenye roho mbaya na unyama unyama? The Tanzania I used to see and know under Mwalimu (RIP mzee wetu) is totally unrecognizable today...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Muonekano mzuri wa Stendi mpya ya Mbezi umeharibiwa na Siasa zetu za kutafuta sifa kwa Wanyonge waliobatizwa Masikini

    Kama muonekano ule mzuri kuanzia Jengo zima na mandhari ya pale leo hii umeanza Kuharibiwa kwa Wanasiasa wetu Wanafiki wanaocheza na Uelewa mbovu wa baadhi ya Watanzania uliochanganyika na Ushamba wao kwa Kuwaruhusu hadi Wamachinga, Mama Lishe na Vibaka wajazane mule ndani Stendi hadi kuleta...
  15. JamiiForums Tanzania Tulia Ackson: Nilishaumwa CORONA Mara mbili, watu wasidhani Mimi siijui

    Nimepigwa na butwaa baada ya kuona clip ikisambaa kwenye mitandao ikimuonesha Naibu Spika Tulia Ackson akidai kuwa alishawahi kuugua Covid 19 mara mbili. Clip hii inamuonesha mwanamama huyu akitoa salamu za rambirambi kwenye msiba wa aliyekuwa Katibu Mkuu Hazina Dkt. Likwelile. Mbali ya kudai...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke wa nne (04) awe na sifa kuu saba (07)

    Habari wana jukwaa. Tayari nina wake watatu (03), wote ni wake wema na wana sifa za msingi kuwa wake bora. Sasa natafuta mke wa nne (04). Huyu namuoa kama sehemu ya kusaidia watu wenye uhitaji maalum kwenye jamii. Muhusika awe na sifa zifuatazo;- 1. Awe mjane (sio aliyepewa talaka), 2. Anaweza...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Hizi Sifa za TBC kwa Kijazi zimepitiliza

    Jana kwa nasibu nilibahatika kuangalia taaarifa ya habari ya TBC! Bila Shaka taariffa hiyo ilimpa nafassi kubwa Sana Marehemu,kuanzia historia Hadi utumishi ambao wao waliuita uliotukuka! Ila Cha kusikitisha ni kuwa badala ya kumjadili Kijazi ,walikuwa wanamjadili JPM! Kimsingi waandaji wa...
  18. JamiiForums Tanzania Wanawake punguzeni sifa, mifuta yote hii unamkomoa nani sasa

    Mimi ka-baby care kangu kamoja kananitoshaga Sana. Sasa nyie wenzangu sijui ndio Nini hiki
  19. S

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Ni ufisadi na ufujaji wa fedha za umma kwa Bunge kuwalipa watu ambao hawana sifa za kuwa wabunge

    Ameandika hivi katika akaunti yake ya Twitter: Ni ufisadi na ufujaji wa fedha za umma kwa Bunge kulipa mishahara na posho kwa watu ambao dunia nzima inafahamu hawana sifa ya kuwa wabunge kwa mujibu wa Katiba ya Tanzania. Ipo siku wahusika wa ufisadi huu na wale wanaouwezesha watawajibishwa...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Ni zipi sifa za mtu kuchaguliwa kuwa Best Student Chuo Kikuu?

    Habari watanzania, leo nimekuja na hili swali, maana limenichanganya kidogo. Nina mdogo wangu amepata 4.7/5.0 hapo UDBS-UDSM na yeye ndo alikuwa na GPA kubwa kushinda wote hapo cha ajabu hakutangazwa kama BEST STUDENT. Wadau mliopo kwenye ACADEMIC FIELD naomba mniambie ni vigezo vipi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…