siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. T

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya Msajili wa vyama vya siasa nini wajibu wake?

    Nini majukumu ya kila siku ya Ofisi hii ya msajili wa vyama vya siasa ikiwa vyama havifanyi kazi za siasa Nchini. Inakuwaje Mwenyekiti wa chama kimojawapo anatoa tamko shughuli za siasa hadi apende yeye. Ofisi hii ikaungane na Rita kupunguza matumizi ya fedha.Msajili asiwe mteule wa Rais
  2. I

    JamiiForums Tanzania Bashiru Ally Kakulwa mwanataaluma ya sayansi ya siasa asiyejua siasa

    Huyu so mwingine ni a Bashiru Ali kakulwa. Huyu bwana Hana kitu kichwani kabisa sijui ile GPA aliipataje labda alivua Pichu au alikalili tu. Yeye anajua kufokafoka tu Hana ushawishi kabisa. Hivi ile shule ya uongozi waliyoianzisha na polepole imeishia wapi, au ndo dhana ile ile kwamba hawana...
  3. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna ubaya gani tukifanya siasa za kuvumiliana pasi na kuumizana?

    Kwanini CCM hutumia gharama za aina yeyote ili tu kubakia madarakani kipi wanahofia endapo watapatikana wengine kuongoza nchini? Yanini tunakubali kujiandalia kisasi cha haja kwa mambo ambayo yanaepukika jsmani? Kwani leo akitawala CCM na kesho NCCR keshokutwa Chadema kuna ubaya gani? Hivi...
  4. Baraka21

    JamiiForums Tanzania Afrika tuige siasa kama hizi

  5. kagoshima

    JamiiForums Tanzania Yawezekana Tanzania isije kupata maendeleo chini ya siasa monopoly za CCM?

    Wakati wa mwwshimiwa kikwete tuliaminishwa kwamba 1. Soon mgao wa umeme utakua historia. Akatoka madarakanai kaacha mgao unaendelea. 2. Tukaimbishwa nyimbo za uchumi wa gesi. Kiukweli wanasiasa Mungu anawaona. Ule wimbo ulikoishia anayeweza kuelezea serikali ya CCM. 3. Akaja Mweshimiwa JPM na...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Watanzania wangechambua siasa na uchumi kama wanavyochambua mpira tungefika mbali

    Habari zenu wakuu, Bila kupoteza mda niende kwenye hoja yangu, miaka ya hivi karibuni kumekua na utitiri wa radio nyingi za masafa ya FM, kama tunavyojua dhima kubwa ya vyombo vya habari ni kuelimisha, kuhabarisha na kuburudisha jamii. Kwa upande wa Redio zetu za Tanzania vipindi vya michezo...
  7. Fundi Madirisha

    JamiiForums Tanzania Uhamisho watumishi wa Umma: Waziri Ummy Mwalimu acha usanii na siasa kwenye maisha ya watu

    Nchi hii kuna viongozi wa ajabu ajabu sana, hivi waziri anapata wapi mamlaka ya kuzuia uhamisho wa mtumishi wa umma ambaye mkataba wake unamruhusu kuhamia eneo lolote kisheria? Utakuta mtu ana miaka mpaka 8 hadi 10 anafanya kazi ndani ya eneo moja, lakini leo hii anaomba kuhama kufuata...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini wapinzani Tanzania wanatamani kufanya siasa kwenye mazingira laini bila kuyalainisha!?

    Mapambano ya kisiasa hayajawahi kuwa rahisi mahali popote duniani na hii ni kutokana na ukweli kwamba inakupa madaraka makubwa sana kwa njia nyepesi tu yaani kushawishi watu wakuunge mkono. Ni kutokana na ukweli huo ndio maana ni kazi ngumu sana kumtoa madarakani anayetawala hivi sasa, kuliko...
  9. Ze Bulldozer

    JamiiForums Tanzania Daniel Chongolo: Siasa sio Uadui, fitina, majungu, ugomvi wala chuki

    Katibu mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM-Tanzania Ndg Daniel Chongolo amewataka wana -CCM kupendana na kuthaminiana wakati wote ili kukidhi matamanio na matarajio ya Watanzania kwa Chama na Serikali, Katika ziara yake ya siku 12 katika mikoa sita Mhe Chongole amewaasa viongozi na wanachama kuwa...
  10. bahati93

    JamiiForums Tanzania Leo mwenzenu nimebahatika kushuhudia msafara wa mwenye Mamlaka Nchini

    Habari za jioni Wanajamii, Leo mwenzenu nimebahatika kushuhudia msafara wa mwenye Mamlaka Nchini. Nilikuwa nimetoka zangu offisin maeneo ya Gerezani Kkoo nikashangaa kuona Trafiki wakiwa bize kusafisha na kutawanya wote watumiao barabara ili Apite. Mimi na Raia wengine tukawa tumekaa pembeni...
  11. I wish i have

    JamiiForums Tanzania Siasa chokonozi za kutengeneza ajira pamoja na haki za wanyamapori

    Watoto wa ujerumani hawa sijui wataacha lini ili tukajege ukuta kwenye hifathi za wanyama pamoja na kuweka schemu za umwagiliaji kwa lengo la kutunza mazingira pamoja na kulinda haki za wanyama na mimea juu ya jua kali, kuongeza mapato na fedha za kigeni pamoja na kuongeza ajira kwa vijana na...
  12. britanicca

    JamiiForums Tanzania Sitaki niwe mnafiki; siasa za Vyama vya Upinzani zinatakiwa kubadilika kimtizamo kulingana na nyakati

    Naanza ku-declare interest Mimi ni Mwana Chama wa Chama Cha Mapinduzi kabisa ambaye sikupendezwa na jinsi Chama changu kilivyokuwa kikiyashughulikia Masuala mbali mbali Kwa Miaka kadhaa iliyopita na Mifano ipo. Nikajikuta hasa kuna baadhi ya Mitizamo tunaendana kabisa na wenye sera mbadala...
  13. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Tuunde chama cha siasa cha mtandaoni

    Siku hizi dunia ni digital. Kuna kampuni za mitandaoni, maduka ya mitandaoni, shule nk. Kumbe hata kuwa na chama cha siasa cha mtandaoni inawezekana. Sasa tuundeni chama cha siasa cha mtandaoni ambacho kitakuwa na matawi Twiter, facebook, youtube , insta nk. Hoja za kushughulikia kwa sasa ni...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Kakangu ameamua mwanae abadili kozi sababu ya Bodi ya Mikopo kuendeshwa kwa siasa!

    Kakangu ana mwanae ambaye anaingia mwaka wa tatu kozi ya Udaktari (MD) kwa chuo ambacho nisingependa kukitaja. Mwanetu huyo pamoja na kuomba mkopo mara ya tatu mfululizo amekuwa akinyimwa. Siku zote amekuwa akilalamikia sana vipngozi wa Bodi ya Mikopo na hapa viongozi wetu hawa. Amekosa upendo...
  15. I wish i have

    JamiiForums Tanzania Siasa za STORY: Story za Hali ya Hewa?

    Mungu ONGEZA ukali wa JUA (SUN) maana kihakika SIWEZI fikiri pekeyangu... Hee Mungu baba saidia hao watu wafikirie zaidi hali ya hewa kuliko wanavyomfikia mtu.. Usisahau hata mvua iwe nyingi SAFARI hii maana kweli UNASTAHILI Tufanye tufikiri kwa kitu kidogo ulichokiweka hapa duniani.. 1. MAANA...
  16. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Siasa ya ujenzi wa madarasa: Fedha zilizotengwa kwa ajili ya ujenzi wa madarasa mapya na ujenzi unaohitaji kukamilishwa

    Nimejaribu kupita katika maeneo kadhaa vijijini na nilichokibaini ni kuwa kuna majengo mengi mno ya madarasa katika shule za msingi na sekondari ambayo hayajakamilika kutokana na na uhaba wa fedha lakini hivi karibuni Serikali imepata fedha ambazo zimeelekezwa katika ujenzi wa madarasa...
  17. Elijah

    JamiiForums Tanzania Ni zipi taratibu za kuanzisha chama cha siasa Tanzania?

    Salamu wakuu, Naomba kufahamu taratibu za kuanzisha chama cha siasa. Ahsanteni..
  18. N

    JamiiForums Tanzania Suala la Utawala Bora Serikalini, Rais Samia na Hayati Magufuli lao moja tu wanaangalia siasa zaidi kulipo productivity

    JPM aliondoka akiwa amevuruga kabisa mambo ya good governance Serikalini na hasa kwenye Taasisi zake. Enzi za Mkapa mpaka JK, nafasi za nyeti Serikalini angalau watu walishindanishwa. Sheria nyingi za Taassis zinaonesha utaratibu wa kupatikana kwa viongozi wa Taasisi na nafasi za juuu. Mfano...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Ni Chama kipi kinakidhi vigezo vya kuiletea Nchi yetu maendeleo ya haraka?

    Kwa kuwa chama kina dhamana ya kuiweka serikali madarakani na kuisimamia, kubuni na kuitekeleza ilani ili kutatua kero za wananchi na kuwaletea maendeleo. Kwa maoni yako unadhani ni chama gani kwa hivi tulivyonavyo sasa kwa muundo wake kikatiba kwa dira yake na kwa utamaduni wake kinakidhi...
  20. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Ombi maalumu kwa Dk Wilbrod Slaa: Anzisha chama cha siasa ili kiwe chama cha Upinzani

    Hapa utaibana Ccm kama enzi zile unaibana juu ya mafisadi papa na list of shame ukiwa Chadema. Wewe unavyanzo kibao vya kupata data za wezi wa mali za umma. Ukiwa na chama chako utakuwa na nafasi kubwa kuibana Ccm. Watanzania wanaimani kubwa na wewe, maana hauna historia ya upigaji madili...
Back
Top Bottom