Leo mwenzenu nimebahatika kushuhudia msafara wa mwenye Mamlaka Nchini

bahati93

JF-Expert Member
Aug 6, 2015
1,129
2,002
Habari za jioni Wanajamii,

Leo mwenzenu nimebahatika kushuhudia msafara wa mwenye Mamlaka Nchini. Nilikuwa nimetoka zangu offisin maeneo ya Gerezani Kkoo nikashangaa kuona Trafiki wakiwa bize kusafisha na kutawanya wote watumiao barabara ili Apite. Mimi na Raia wengine tukawa tumekaa pembeni kwa shauku kubwa tukisubiria. Mda haukuwa mrefu sana magari meusi yaendayo kwa msururu kama Manyumbu yakaanza kupita kwa vingora na vumbi kidogo.

Mama ana mvuto jamani askwambie mtu, ngozi yake soft kama Cleopatra wa Misri, Macho yake sasa wee very serious, hata gari lake Mama lilikuwa maridadi sana, halina fujo wala halitoi sauti za ajabu, mwendo wake wa kunesa nesa halimpi shida mama na hakika mule ndani linanukia marashi ya gharama sana. Jamani Mama katulia mmmmh! hataki Shobo kabisa shaidi mimi mwenyewe, nilikenua jino la mbele hadi la nyuma Mama wala hajasimama wala kupunga mkono, nikaishia kula vumbi za gari la Makirikiri. Hata picha sikuweza kupiga niliogopa sana uwepo wa Dola.

Huyu Mama huyu, wanaume tujiandae maana anaweza kuwa Raisi bora kabisa kuwahi kutokea hapa Nchini.
 
Kautafiti kadogo nilikofanya huku mikoani, Mama anaanza kuteka mioyo ya watu hasa watu wazima na wazee ambao mwanzo walikuwa reluctant kutokana na mfumo dume.
 
Habari za jioni Wanajamii,

Leo mwenzenu nimebahatika kushuhudia msafara wa mwenye Mamlaka Nchini. Nilikuwa nimetoka zangu offisin maeneo ya Gerezani Kkoo nikashangaa kuona Trafiki wakiwa bize kusafisha na kutawanya wote watumiao barabara ili Apite. Mimi na Raia wengine tukawa tumekaa pembeni kwa shauku kubwa tukisubiria. Mda haukuwa mrefu sana magari ya msafara yakaanza kupita kwa vingora na vumbi kidogo.

Mama ana mvuto jamani askwambie mtu, ngozi yake soft kama Cleopatra wa Misri, Macho yake sasa wee very serious, hata gari lake Mama lilikuwa maridadi sana, halina fujo wala halitoi sauti za ajabu, mwendo wake wa kunesa nesa halimpi shida mama na hakika mule ndani linanukia marashi ya gharama sana. Jamani Mama katulia mmmmhe hataki Shobo kabisa shaidi mimi mwenyewe, nilikwenua jino la mbele hadi la nyuma Mama wala hajasimama wala kupunga mkono, nikaishia kula vumbi za gari la Makirikiri. Hata picha sikuweza kupiga niliogopa sana uwepo wa Dola.

Huyu Mama huyu, wanaume tujiandae maana anaweza kuwa Raisi bora kabisa kuwahi kutokea hapa Nchini.
Rais bora kwa muonekano au kwa utendaji?
 
Habari za jioni Wanajamii,

Leo mwenzenu nimebahatika kushuhudia msafara wa mwenye Mamlaka Nchini. Nilikuwa nimetoka zangu offisin maeneo ya Gerezani Kkoo nikashangaa kuona Trafiki wakiwa bize kusafisha na kutawanya wote watumiao barabara ili Apite. Mimi na Raia wengine tukawa tumekaa pembeni kwa shauku kubwa tukisubiria. Mda haukuwa mrefu sana magari meusi yaendayo kwa msururu kama Manyumbu yakaanza kupita kwa vingora na vumbi kidogo.

Mama ana mvuto jamani askwambie mtu, ngozi yake soft kama Cleopatra wa Misri, Macho yake sasa wee very serious, hata gari lake Mama lilikuwa maridadi sana, halina fujo wala halitoi sauti za ajabu, mwendo wake wa kunesa nesa halimpi shida mama na hakika mule ndani linanukia marashi ya gharama sana. Jamani Mama katulia mmmmh! hataki Shobo kabisa shaidi mimi mwenyewe, nilikenua jino la mbele hadi la nyuma Mama wala hajasimama wala kupunga mkono, nikaishia kula vumbi za gari la Makirikiri. Hata picha sikuweza kupiga niliogopa sana uwepo wa Dola.

Huyu Mama huyu, wanaume tujiandae maana anaweza kuwa Raisi bora kabisa kuwahi kutokea hapa Nchini.

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom