Daniel Chongolo: Siasa sio Uadui, fitina, majungu, ugomvi wala chuki

Ze Bulldozer

JF-Expert Member
Jun 12, 2020
1,002
524
Katibu mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM-Tanzania Ndg Daniel Chongolo amewataka wana -CCM kupendana na kuthaminiana wakati wote ili kukidhi matamanio na matarajio ya Watanzania kwa Chama na Serikali,

Katika ziara yake ya siku 12 katika mikoa sita Mhe Chongole amewaasa viongozi na wanachama kuwa siasa sio chuki, siasa sio uadui, sio ugomvi wala kufitiniana siasa ni kupendana na kutakiana mema wakati wote

Katibu mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM-Tanzania Ndg Daniel Chongolo amewataka wana -CCM kupendana na kuthaminiana wakati wote ili kukidhi matamanio na matarajio ya Watanzania kwa Chama na Serikali,

Katika ziara yake ya siku 12 katika mikoa sita Mhe Chongole amewaasa viongozi na wanachama kuwa siasa sio chuki, siasa sio uadui, sio ugomvi wala kufitiniana siasa ni kupendana na kutakiana mema wakati wote,
Chapa kazi mkuu tuko na wewe
 
Wanawekeana suku wenyewe kwa wenyewe aliwahi kusema mzee wetu mswahili.
 
Chongolo ni mtaalamu wa siasa hasa za kimkakati,

Tunakupongeza sana KM wetu chapa kazi,
kuna mkakati gani hapo? he seems desparate, mifarakano imezidi ndani ya chama na hawezi kuitatua maana haijui ccm. wanaoijua magu aliwatupilia mbali
 
Hakuna Katibu hapo
Ulitaka ahubiri siasa za uhasama za kupiga watu risasi na kuzuia wengine wasimuombee kwa Mungu apate nafuu wala wasiende kumuona hospitali sababu tu hayuko chama chake?

Hakika iliyopita ilikua ni miaka mitano myeusi kwenye siasa za Tanzania. Hatutarudi huko. Tutakua makini kumpa dhamana ya Chama mtu tunaemjua historia ya Utanzania wake na uzowefu wake kwenye utamaduni wa siasa za ndani na nje ya chama
 
Nani asiyejua kuwa ccm kwa sasa ipo makundi makundi?
Tetesi zikoje huko, kwani nimeshituka sana. Nani snatching a misha huku ndani
Ulitaka ahubiri siasa za uhasama za kupiga watu risasi na kuzuia wengine wasiende kumuona hospitali sababu tu hayuko chama chake? Hakika iliyopita ilikua ni miaka mitano myeusi kwenye siasa za Tanzania.
Upo sahihi, shida yeye anaongea kwa upendo lakini yupo mwenye wasiojulikana na chongolo hawajui
 
Ulitaka ahubiri siasa za uhasama za kupiga watu risasi na kuzuia wengine wasimuombee kwa Mungu apate nafuu wala wasiende kumuona hospitali sababu tu hayuko chama chake?

Hakika iliyopita ilikua ni miaka mitano myeusi kwenye siasa za Tanzania. Hatutarudi huko. Tutakua makini kumpa dhamana ya Chama mtu tunaemjua historia ya Utanzania wake na uzowefu wake kwenye utamaduni wa siasa za ndani na nje ya chama
Huyu bwana hana uhasama anajitahidi lakini siyo takataka Bashiru
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom