Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.
Mtu yeyote anaweza kupata fursa nzuri na maendeleo. Zipo familia zilizo bahatika kuishi katika utajiri mkubwa.
Hiyo ni fursa ambayo wamejariwa. Changamoto ni kwamba wapo wanao amini kuwa umaskini walionao umesababishwa na matajiri waliopo.
Ndipo Watu hawa huwa na chuki dhidi ya matajiri. Na...
Picha husema bila maneno. Tunakoelekea ndiko huko picha hii inakotuelekeza. Yaliyopita pia yanaonekana kwenye picha hii.
Tanzania tunayoelekea ni Tanzania ya mazungumzo na maelewano. Ni Tanzania ya demokrasia na sio Tanzania ya kiburi na maamuzi binafsi.
Mwanga utajadiliana na giza, na...
Msingi wa vyama vyote siasa Duniani umezaliwa ubavuni mwa vyama vya wafanyakazi. Kwa sababu kundi la vyama vya wafanyakazi wote wanakua wamesoma na werevu, ndio kundi la kwanza kuona ukandamizaji katika jamii, na kuanza kutoa elimu kwa jamii.
Vyama vya wafanyakazi mara nyingi kazi ngumu ya...
Ndio, wachache wanafaidika na siasa ya Tanzania na wengi wakiitumikia kwa hasara,
nayasema haya baada ya kujua wenzangu wanatajirika kupitia siasa bila jasho
kumbe watu mnalipwa kupitiaha agenda za wanasiasa na hamsemi?
Ndio, watu manazoa malaki kwa mamilioni ili kupromo agenda za kisiasa...
1. Hekima ya siasa ni muhimu sana katika uongozi wa taifa au jamii yoyote ile. Hekima hii inahusisha uwezo wa kufikiri kwa makini na kutumia busara katika kutatua matatizo yanayohusiana na utawala wa nchi. Hekima ya siasa inahusisha pia uwezo wa kuwa na maono na mikakati madhubuti ya kukuza...
1. Hekima ya siasa ni muhimu sana katika uongozi wa taifa au jamii yoyote ile. Hekima hii inahusisha uwezo wa kufikiri kwa makini na kutumia busara katika kutatua matatizo yanayohusiana na utawala wa nchi. Hekima ya siasa inahusisha pia uwezo wa kuwa na maono na mikakati madhubuti ya kukuza...
Rais Samia anesema kwenye Viwango vya Siasa na Demokrasia vya Kimataifa hatujafanya vizuri hivyo tumeshuka chini
Source TBC
=======
Akizungumza baada ya kupokea Ripoti ya CAG na TAKUKURU 2021/2022, Rais Samia amesema:
"Kwenye uchaguzi na Demokrasia tumeshuka. Tulikuwa na pointi 51, sasa tuna...
Tusipozinduka sasa, tutakuja kuamka na kukuta majirani wako dunia nyingine, Pamoja na hali ya siasa za ndani Uganda kuwa ni za kidikteta, Lakini taifa hilo linazidi kupiga hatua kubwa, Kupitia kiwanda chake cha Magari cha Kiira Motors LTD, Mwaka 2018 ilianza rasmi kuzalisha mabasi yanayotumia...
Kada maarufu wa CHADEMA, James Mbowe ameandika kuhusiana na utaratibu ulionzishwa na Askofu Josephat Gwajima kuendesha mikutano ya Injili huku akitumia kufanya kampeni za siasa.
===
"Bishop Gwajima nisikilize kwa makini huenda umezungukwa na watu ambao hawakuambii ukweli! Lakini huu usanii...
Kwema Wakuu!
Nikiangalia Siasa za awamu hii ni kama zimepoa hivi, hakuna zile mbindembinde, roho mkononi, patashika nguo kuchanana, nikanyage bahati mbaya nikukwarue makusudi.
Magufuli Siasa zake zilikuwa kali, na ndio maana alipata response na reactions kali kutoka pande zote. Mama Samia...
Nilikua napitia kwenye mtandao kuona tofauti ya Marbug na Ebola, nikakutana na hii kitu hapa chini.
Marburg hemorrhagic fever is a severe and highly fatal disease caused by a virus from the same family as the one that causes Ebola hemorrhagic fever. Both diseases are rare, but can cause...
Huyu ni Mwenyekiti wa Hkamshauri ya Wilaya ya Iramba - Innocent Msengi. Huyu kama bosi wake Mwigulu alirudia shule ya msingi zaidi ya mara tatu - awali akiitwa Masaganya Zengo - then likaja la Mandi Kapendo lakini alilotumia mwishoni kabisa akisoma Tumaini Sekondari alimalizia na la Innocent...
Licha ya uhuru wa kisiasa uliopo nchini kwa sasa ni mapema sana kusema kwamba hali ya siasa imeshakuwa shwari.
Siasa inayoendelea hivi sasa ni ile ya kuvuta utayari na kuwaaminisha watu kuwa kuna kile walichokimis ambacho kimsingi kwa sasa wanapaswa kukitarajia. Hii hali ni hatari katika siasa...
Kenya, Afrika Kusini, Nigeria, na Tunisia kuna maandamano yanayoongozwa na wanasiasa walioshindwa katika uchaguzi. Hii inaashiria kuwa hatuna wanasiasa ambao wanakubali kushindwa katika uchaguzi;ikitokea wanashindwa wanahamia kwenye maandamano na kuhujumu utendaji wa serikali zilizoshinda na...
Ni miaka miwili sasa tangu Magufuli afariki dunia, huku baadhi ya wafuasi halisi wa Magufuli wakigoma kuamini katika mioyo yao au kutambua katika akili zao kuwa, kwa hakika Magufuli alishakufa na milele hataweza kurejea tena huku siasa zake mbovu taratibu zikizikwa na rais Samia Suluhu.
Hao...
Tuliaminishwa kuwa Kapombe na Hussein (Zimbwe Jr) ama wamezeeka au viwango vimeporomoka. Leo baada ya ushindi wa kishindo watu wanakuja kupiganao picha kwa mkapa.
Wakaitwa watu wanachezea benchi.
Nazani TFF wasilete usanii. Waachwe tu waende na Kibwana Shomari na nabi kwenye benchi tusubiri...
Nashindwa kuwaelewa hawa ndugu na jirani zetu wakenya hakika kiongozi aina ya raila ni kiongozi asiyefahamu na mroho wa madaraka kupindukia.
Katiba mpya walisha ipigania wakaipata na ndio wakaitumia kwenye uchaguzi mpaka imewapa kiongozi wa chaguo la wengi lakini mambo yanaonekana bado...
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amewataka wananchi kutanguliza uzalendo kwa taifa lao na kuweka mbele zaidi mshikamano kitaifa Badala ya kukumbatia vyarna vya siasa vinavyowagawa na kuwafanya waendelee kuwa maskini huku viongozi wachache wakinufaika na...
Angalia huduma za Msingi kama umeme, maji nk ni kero tofauti ni mtangulizi wake. Hivi mnajua kwa Nini Magufuli anapendwa sana mtaani licha ya wizi wa kura au mauaji aliyoyafanya? Ni kama alikuwa anafanya vyote ili jamii kubwa ineemeke. Kipindi chake hakukuwa na matatizo ya umeme na maji kabisa...