siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. JamiiForums Tanzania Kamati ya Siasa Mkoa wa Simiyu Imeendelea Kukagua Utekelezaji wa Ilani ya CCM Wilaya ya Itilima

    Kamati ya Siasa ya Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Simiyu chini ya Mwenyekiti wake Ndg Shemsa Seif Mohammed leo tarehe 24/11/2023 imeendelea na ziara yake ya kukagua Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi 2020/2025 ndani ya Mkoa wa Simiyu, Wilaya ya Itilima Jumla ya Miradi 5 yenye thamani ya Mil 700...
  2. JamiiForums Tanzania Bilioni 2.15 za tigo, Mwana Fa huenda alizitumia kuingia kwenye siasa, Ay kawekeza wapi?

    Mwan a Fa na Ay waliwahi kuwashtaki Tigo kutumia nyimbo zao kwenye miito ya kupiga simu, Tigo waliwalipa bilioni 2.15 lakini kiuhalisia huenda walibaki na bilioni 1.5 (kila moja milioni 750), Huenda walimlipa mwanasheria wao Albert Msando milioni 150 na wazee wazito wakapiga mchinjo wa milioni...
  3. JamiiForums Tanzania Ndugu Shemsa Mohammed Aongoza Kamati ya Siasa Mkoa wa Simiyu Kukagua Utekelezaji wa Ilani ya CCM Wilaya ya Meatu

    NDUGU SHEMSA MOHAMMED AONGOZA KAMATI YA SIASA MKOA WA SIMIYU KUKAGUA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM WILAYA YA MEATU Kamati ya Siasa ya Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Simiyu chini ya Mwenyekiti wake ndugu Shemsa Seif Mohammed tarehe 22/11/2023 imeendelea na ziara yake ya kukagua Utekelezaji wa...
  4. JamiiForums Tanzania Simba na Yanga acheni kuingiza porojo za siasa michezoni, somo la jana mmeliona

    Hakuna haja ya kuleta ujinga kama huu uwanjani, jana Taifa Stars imedundwa na wananchi wameshangilia.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi leo wamefurahia Taifa Stars kufungwa na Morroco, sababu kubwa ni TFF kuruhusu siasa kwenye soka

    Kila vijiwe watu wanachekelea tu Ziech ziech. Huu upuuzi umefanya stars kuchukiwa.👇
  6. M

    JamiiForums Tanzania Taifa stars haiwezi kushinda dhidi ya Morroco kwa kukata viuno uwanjani. Hata kama rais anununue tiketi zote leo ni kichapo tu. Hakuna siasa njaa

  7. G

    JamiiForums Tanzania Kwa CCM kuingiza siasa kwenye taifa stars, dua langu ni kesho tuaibishwe na Morocco

    Inabidi viongozi wa CCM wajue kuwa Tanzania ni nchi yenye vyama vingi vya siasa, iache kuvamia kila tukio la kitaifa kuwa la CCM. Kitendo cha kuingiza kampeni za uchaguzi 2025 kwenye kutafuta nafasi ya Kombe la Dunia 2026, sisi tusioiunga mkono CCM tutaanza kufunga na kuomba dua ili tufungwe...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Siasa Songwe yatembelea walioathirika na mvua Ilasilo

    Kamati ya Usalama ya Wilaya ya Songwe ikiongozwa na Mkuu wa Wilaya ya Songwe, Mhe. Solomon Itunda imetembelea na kufanya ukaguzi wa athari zilizosababishwa na mvua na upepo katika Kijiji cha Ilasilo Kata ya Galula. Katika ukaguzi huo kamati hiyo imebaini nyumba saba zimebomolewa huku 11 zikiwa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Jumba la kifahari la Mwenyekiti Mbowe lazua maswali ndani ya CHADEMA

    Ameandika Dr. Sisimizi Hali ya sintofahamu imeendelea kugubika ndani ya CHADEMA kufuatia baadhi ya Wajumbe wa Kamati Kuu kuona nyumba ya kifahari anayoishi Mwenyekiti wao Freeman Mbowe ambayo ameijenga hivi karibuni huko Machame. Sintofahamu hiyo imekuja baada ya baadhi ya Wajumbe wa Kamati...
  10. JamiiForums Tanzania Usiamini Sera ya "Uzazi ni Bure" ni Siasa za majukwaani tu. Ukienda kujifungua unalipia kila kitu!

    Kwa wale ambao mmebahatika kupata watoto na mkatumia hospitali za serikali nadhani mnaelewa ninachoongea, kama kuna mtu hakuchangia hata senti basi aje hapa kunipinga. Hizi kelele za eti huduma za uzazi ni fix tu za wanasiasa huko majukwaani, ila ukifika labor ndiyo utajua hujui. Kuna mambo...
  11. JamiiForums Tanzania Paul Makonda usifanye siasa zako kama wapinzani wanavyotaka!

    Kuna wakati ujinga wa wapinzani, hujianika peupe kiasi cha nyeti za kuku mbele za upepo wa kisulisuli. Nijuacho ni hiki! Anguko lolote la CCM, ni sherehe kwa wapinzani, iweje sasa wachukizwe na namna ya matamko ya Mwenezi wa CCM ndugu Paul Makonda? Mpinzani unataka Paul Makonda afanye siasa...
  12. JamiiForums Tanzania Kumrudisha Makonda Katika Uongozi ni Ishara Tosha kuwa CCM Hawaziwezi Siasa za Kistaarabu Kama Wanavyojinasibu

    Ndiyo hivyo. Kiongozi makini na mstaarabu kamwe abadani hawezi mpa nafasi Makonda. Lakini kwa CCM hii imetokea kwa sababu Hayati Magufuli alishawazoesha siasa chafu. Hapo katikati walijaribu kurudi lakini hoja za siasa toka upande wa pili zinawashinda majukwaani. Wameamua kurudisha warusha...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Kama unataka utajiri kwa nchi maskini, ingia kwenye siasa; Kama unataka kuwa mwanasiasa kwa nchi tajiri, kuwa tajiri kwanza

    Ukweli mchungu sana kwamba katika nchi za kishenzi ili uwe tajiri, basi uingie kwenye siasa. Lakini katika nchi zinazojielewa kama Marekani na nchi za Ulaya, ili uwe kiongozi wa kisiasa lazima uwe vizuri kiuchumi, yaani ni lazima uwe tajiri. Hii hali huwa na athari mbaya kwa nchi zetu kwa...
  14. JamiiForums Tanzania MAKALA: Kuanguka kwa chama cha siasa kunaweza kuonyeshwa kwa hatua kadhaa

    Na Daniel Mbowe (Kilimanjaro) Hapa kuna baadhi ya viashiria vya kawaida vinavyoweza kupelekea kuanguka kwa chama cha siasa: Utendaji wa Uchaguzi: Matokeo duni katika chaguzi, ikiwa ni pamoja na hasara katika kinyang'anyiro muhimu na kupungua kwa kura, inaweza kuwa ishara tosha ya kuzorota kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Vyama Vya Siasa Vyasema Kusoma kwa Muswada wa Sheria ya Uchaguzi ni Ishara Nzuri

    Siku moja baada ya kusomwa kwa muswada unaokwenda kutunga sheria mpya itakayoanzisha Tume ya Taifa ya Uchaguzi itakayojitegemea, Vyama vya siasa vimesema ni ishara nzuri ya kuelekea kuwa na uchaguzi huru na haki. Wakati hilo likifanyika pia vyama vimesema umefika wakati sasa wa kuhakikisha...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Uzalendo sio kuvaa nguo zilizoshonwa kwa vitenge vya bendera ya Taifa

    Watu wengi tumekuwa katika fikra ya kwamba uzalendo ni kuwa tayari kuipigania nchi yako. Huo ndio ukweli lakini uzalendo pia unaambatana na mapenzi ya dhati kwa taifa lako. Mapenzi haya ndio watanzania wengi tunayakosa yaani hatuna uchungu na Taifa letu la Tanzania pamoja na rasilimali zake...
  17. JamiiForums Tanzania Makonda ni nani hasa kwenye Siasa za Tanzania? Kwanini nguvu kubwa inatumika kumrejesha ulingoni?

    Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi wa CCM anatarajiwa kufanya ziara mikoa ya Kanda ya Ziwa lakini tetesi za mambo yanayoelezwa kuendelea ili kumpokea yanatia aibu, kutia hasira na kufedhehesha sana. Inadaiwa Mkuu wa Wilaya ya Chato ameziamuru Taasisi zote za Kiserikali Wilayani mwake kutoa...
  18. JamiiForums Tanzania Simba yamtimua kocha Roberto Oliveira Goncalves Do Carmo (Robetinho)

    Klabu ya Simba imefikia makubaliano ya pande zote mbili ya kuvunja mkataba na Kocha Mkuu wa kikosi cha kwanza Roberto Oliveira Goncalves Do Carmo (Robetinho). Vilevile tumefikia makubaliano ya kusitisha mkataba wa kocha wa viungo Corneille Hategekimana. Uongozi wa Klabu ya Simba unawashukuru...
  19. JamiiForums Tanzania Je unajua kinachoendelea katika siasa ya Tanzania?

    Kwa wale ambao hamfahamu leo nataka tuzushe mjada hapa unaoelenga zaidi kuchokoza mjadala zaidi; Kwanza kabisa kuna Operation Maalum ya "Dethronement"ambayo inalenga kuhakikisha kwamba hakuna unpredictable and uncotrollable elements wanaingia katika mfumo wa Uongozi wa nchi. Kitu cha Pili...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu umemtuma Makonda kuwavuruga watendaji wa serikali au kueneza siasa?

    Niliposikia Makonda Kateuliwa kuwa mwenezi wa CCM nilisema wamepata mtu wa kazi na mwenye sauti ya kukisemea cha chama cha Mapinduzi ,ila ninayoyaona Makonda anakwenda kuvuruga weledi wa watendaji wa Kazi seriaklini kwa kofia ya kumsemea Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi. Tujiulize maswali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…