siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Maoni ya Jumla ya Wadau Kwenye Miswada ya Sheria za Uchaguzi na Muswada wa Vyama vya Siasa - Sehemu 1

    JamiiForums, Jukwaa la Katiba (JUKATA), Tanganyika Law Society (TLS), Twaweza East Africa, Centre for Strategic Litigation (CSL) na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kwa pamoja tunawasilisha maoni kwenye miswada minne: Muswada wa Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani; Muswada...
  2. JamiiForums Tanzania Mrejesho wa Mkutano wa Baraza la Vyama vya Siasa uliofanyika 3 - 4 January 2024

    Mkutano huu ulihudhuriwa na watu wengi maarufu nchini. Leo nitaweka mrejesho wa kile kilichozungumzwa, watu waliohudhuria na impact ya mkutano huo katika demokrasia ya hapa nchini. Tutaanza kwa kuongelea 4R jinsi zilivyoongelewa na wachangiaji mbalimbali katika mkutano huo. Bila kupotenza...
  3. JamiiForums Tanzania Mkutano maalum wa Baraza la Vyama vya Siasa na wadau wa Demokrasia tarehe 04 Januari 2024

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa mamlaka aliyopewa, alitoa maagizo kwa Msajili wa Vyama vya Siasa kuhusu kuandaa mkutano maalum wa Baraza la Vyama vya Siasa. Lengo la maagizo hayo lilikuwa kutoa fursa kwa wadau wa demokrasia ya vyama vingi vya siasa...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Pascal Mayalla: Vyama vya siasa visipewe ruzuku, viongozi wake wajitolee

    Akizungumza kwenye kongamano la kujadili Muswada wa Sheria ya Uchaguzi linaloendelea Jijini Dar es Salaam, Pascal Mayalla amesema; “Ndugu zangu wa vyama vya siasa, wenzetu nchi za Ulaya utumishi wea chama ni wa kujitolea, chama sio ajira, vyama vya siasa tangu TANU havikuwa vinapewa ruzuku...
  5. JamiiForums Tanzania Ufunguzi wa Mkutano maalumu wa baraza la Vyama vya Siasa 03 Januari 2024

    UFUNGUZI WA MKUTANO MAALUM WA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA Kauli Mbiu; " TOA MAONI YAKO KUIMARISHA DEMOKRASIA " MGENI RASMI; Mhe. Othman Masoud Othman Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar 🗓️ Mkutano huu utafanyika Tarehe 3 na 4 Januari, 2024 📍Ukumbi wa Julius Nyerere International Convetion...
  6. JamiiForums Tanzania Uchaguzi serikali za mitaa na uchaguzi mkuu: Je vyama vya siasa vimechakata taarifa ya sensa ya watu na makazi ili kufanya siasa kisayansi?

    Taarifa ya sensa ya watu na makazi, kwa kiasi kikubwa, inatoa taarifa za "saiti" kukoje. Kaya, mtaa, Kata, Tarafa, Wilaya, Mkoa. Mwanasiasa akifanikiwa kuzichimba na kuzishika takwimu za sensa, akienda mahali akapiga siasa. Anakuwa na uelewa wa eneo husika kiuchumi, kijamii na hata kisiasa...
  7. JamiiForums Tanzania Ufunguzi wa mkutano maalum wa baraza la vyama vya siasa

    UFUNGUZI WA MKUTANO MAALUM WA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA Kauli Mbiu; " TOA MAONI YAKO KUIMARISHA DEMOKRASIA " MGENI RASMI; Mhe. Othman Masoud Othman Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar 🗓️ Mkutano huu utafanyika Tarehe 3 na 4 Januari, 2024 📍Ukumbi wa Julius Nyerere International Convetion...
  8. JamiiForums Tanzania Inawezekana kuwa na demokrasia na chaguzi za kidemokrasia bila ya kuwa na vyama vya siasa?

    Habarini za asubuhi. Kwanza mimi si muumini wa demokrasia. Demokrasia ni mfumo wa ovyo sana. Na mfumo wa ovyo zaidi ni demokrasia ya vyama vingi. Demokrasia ya vyama vingi ni vurugu sana na ina gawa nchi. Hata Marekani yenyewe inayodaiwa kukomaa kidemokrasia imegawanyika sana kutokana na...
  9. JamiiForums Tanzania Mimeamini siasa ni ajira kama ajira nyingine tu haina tofauti na Mama Ntilie

    Huwa nacheka sana kuona wanasiasa wanavyohangaika kutetea ujira wao. Inafika wakati wanataka hata kutuharibia amani na utulivu wa nchi hii, kila kitu wanajua wao, hata humu jamvini kuna watu hadi wa buku saba, wanahangaika hadi usiku wa manane kupost post tu vijipost ambavyo havijengi zaidi ya...
  10. JamiiForums Tanzania Mkutano Maalum wa Baraza la Vyama vya Siasa tarehe 3 na 4 Januari, 2024

    MKUTANO MAALUM WA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA Kauli Mbiu; " TOA MAONI YAKO KUIMARISHA DEMOKRASIA " MGENI RASMI; Mhe. Othman Masoud Othman Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar 🗓️ Tarehe 3 na 4 Januari, 2024 📍Ukumbi wa Mikutano wa Mlimani City - Dar es salaam #ImarishaDemokrasia #TunzaAmani
  11. JamiiForums Tanzania Nani anamlinda Gekul? DPP asema hana mpango wa kuendelea na kesi

    ==== Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya Babati, Victor Kimario ameieleza Mwananchi Digital kuwa kesi hiyo imetajwa leo Jumatano Desemba 27, 2023 mbele yake na ameifuta baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) kuwasilisha taarifa ya kutokuwa na nia ya kuendelea nayo. Kesi hiyo ilifunguliwa na...
  12. JamiiForums Tanzania Nilipanga mwaka huu nijiunge na siasa lakini Nimeghairisha mpango

    Kwema Wakuu! Mpango wangu tangu mwaka jana kama nilivyoandika kwenye uzi hapa Panapo majaliwa mwakani nitajiunga rasmi na siasa za nchi hii. Je, ungependa nifanye siasa na chama kipi? Nilitaka nijiunge na Siasa za nchi hii lakini kwa sababu za kiufundi nimeamua kughairisha mpango huo. Wapo...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Naunga mkono Chipukizi katika siasa na kada zingine

    Salaam, Shalom!!! I declare interest, Rabbon ni mdau wa watoto, nimekuwa katika kitengo hicho Kwa miaka mingi sasa katika Imani. Viongozi wapo wa Kuzaliwa Toka tumboni, na wapo wa kufundishwa. Likewise wanasiasa wa Kuzaliwa wasizuiwe. Katika umri wa kuanzia miaka 4 Hadi mitano, tayari unaweza...
  14. JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli: Waacheni watoto wasome, msiwatumie kwenye siasa

    Aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Tanzania, Hayati John Magufuli, aliwahi kupendekeza kufutwa utaratibu wa kutumia Watoto katika Siasa kwa kuwaita Chipukizi ambapo alihoji Watoto hao watakuwa na muda gani wa Kusoma endapo watakuwa katika masuala ya Kisiasa.
  15. JamiiForums Tanzania Taifa linahitaji mbadala wa CCM lakini sio hawa matapeli wa siasa Chadema,Cuf na Act wazalendo

    Kiuhalisia CCM haijawatendea haki watanzania , maendeleo yaliyopo hayalandani na rasilimali zilizopo. Leo hii tu maji, umeme na tiba zimekuwa za kupatikana kwa tabu? Miaka 60 ya uhuru? Madini Lukuki. Mbadala wa kuig'oa CCM anahitajika lakini sio hawa waganga njaa.
  16. JamiiForums Tanzania Hivi tunajua Madhara ya Kuwahusisha Watoto katika Siasa mbovu za CCM na Chipukizi Taifa yake?

    Mnaacha Kuwahimiza Watoto wenu wajikite na Masomo ( Taaluma ) ili waje kuwa Msaada kwa Taifa nyie mko busy Kuwapigania waanze kuwa Viongozi huko CCM Chipukizi kama mlivyo nyie Wazazi wao Serikalini. Na kuna Mtoto Mmoja nae nimemwona ameshaanza kuwa Tapeli na Muongo Muongo kama alivyo Baba yake...
  17. JamiiForums Tanzania Nataka kuingia kwenye siasa, nafikiria CCM ndio njia pekee rahisi ili kufika mbali

    Habari wakuu Ikiwa kama njia yangu ya kujipenyeza, hatimaye niwe kiongozi mkubwa kama ilivyo ndoto yangu, imenipasa niingie kwenye siasa, sina akili wala moyo wa kichawa, mzee ni chadema mkubwa, hata mimi ningefata njia zake ila naona hio njia ni ngumu. Kabla sijajisajili kwa uvccm ili...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Tunavumilia tunachoka, hatuna umeme, maji, barabara mbovu, maisha juu, wapo busy na siasa safi

    watanzania wengi we are tired, tumechoka sana, . hii SERIKALI ya awamu hii is the worst government ever. EVERYTHING IS BROKEN, BADO SOCIETY TU, 2025 MBALI SANA WE ARE RUNNING OUT PATIENCE. SOME THING MUST BE DONE. WE CANT GO ON THIS WAY. WE NEED THIS GOVERNMENT OUT, BY ANY MEANS. WE NEED...
  19. JamiiForums Tanzania Wakulima wa Tanzania hawapo huru kwa sababu ya siasa mbovu za CCM

    Ero sobhai. Takwenya kokoo wote humu? Mwangaruka wabhabha na mamayo Enewei kama salaam haijawachangamsha haya changamkeni na hii. Serikali ya Tanzania imefunga ndoa isiyo ya kawaida na Chama Cha Mapinduzi ili kukisaidia kisalie madarakani na kuwafanya Watanzania kuwa manamba wa kudumu wa...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Sintofahamu ya siasa za ndani nchini Marekani ni chanzo kikuu cha wasiwasi wa uhusiano wa China na Marekani katika siku zijazo

    Mwelekeo wa uhusiano kati ya China na Marekani umewekwa wazi katika masuala ya kulegeza, kutuliza na kurejesha uhusiano huo. Jamii ya kimataifa ina matumaini kuwa, uhusiano kati ya nchi hizi mbili kubwa kiuchumi duniani utatulia, na utasonga mbele badala ya kurudi nyuma, kwani utulivu wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…