Dini ni imani lakini siyo hivyo tu, bali dini ni siasa

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Aug 1, 2014
2,553
2,992
Tumezoea kuambiwa dini ni imani ambayo inatuunganisha moja kwa moja na mola wetu mwenye nguvu,ila wanasiasa wanajitahidi kutenganisha ukweli usijulikane kuwa dini ni siasa labda tujaribu ku-trace back kipindi cha mediaval era viongozi wengi wa dola walitumia dini katika kumiliki maeneo na kuongeza wigo wa umiliki uchwao. Mfano ni ROME hawa jamaaa siyo leo wala jana katika kutawala dola bali ni kitambo sana wamekuwa ni waongoza dola ila kwa sasa wanatumia njia ya indirect ili kuondoa misunderstanding kwa imani zilizobakia.

kushaza ni kwamba bado baadhi ya imani kama AFRICAN TRADIONAL hazijapewa kipaumbele na matokeo yake zinafutwa katika uso wa kidunia huku afrika wenyewe wanachekelea pasipo kuangalia effect side za kuachilia mila ziondoke siku hizi unyago mambo ya kizamani, kujifunza kuchunga na kuwinda kumepitwa na wakati n.k tanaharibu siasa yetu ambayo ilikuwa ni total socialism watu tuliweza kujumuika katika sherehe na misiba si hivyo tu,tunashirikiana kwa hali na mali katika hali ya kijamiii ila kwa sasa tumeshapoteana kabisa hatuna imani ya muafrika lakini hata siasa yetu imebakia kwenye maandishi tu.

Kwa upande wa imani ya kiislamu wao wamewekewa kizuizi cha neno ugaidi ili kuwaletea picha mbaya kwa dunia lengo ni kuichafua imani na kuharibu mfumo wa siasa unaoletwa kupitia imani ya kiislamu ambayo kidogo ipo related na african politics.

TUKUMBUKE KUWA ASILI YETU NI MUHIMU KULIKO CHOCHOTE.
 
Dini ni siasa typically, ona huko vatican, afganistan, iran na nigeria kaskazini. Ila ujue kuna imani ya kweli isiyochanganya na siasa. Ukichanganya dini na siasa hiyo inaitwa ukahaba na Mungu hataki mchanganyiko huo
 
KUMAINTAIN nutrality ni ngumu sana.
 
Tumezoea kuambiwa dini ni imani ambayo inatuunganisha moja kwa moja na mola wetu mwenye nguvu,ila wanasiasa wanajitahidi kutenganisha ukweli usijulikane kuwa dini ni siasa labda tujaribu ku-trace back kipindi cha mediaval era viongozi wengi wa dola walitumia dini katika kumiliki maeneo na kuongeza wigo wa umiliki uchwao. Mfano ni ROME hawa jamaaa siyo leo wala jana katika kutawala dola bali ni kitambo sana wamekuwa ni waongoza dola ila kwa sasa wanatumia njia ya indirect ili kuondoa misunderstanding kwa imani zilizobakia.

kushaza ni kwamba bado baadhi ya imani kama AFRICAN TRADIONAL hazijapewa kipaumbele na matokeo yake zinafutwa katika uso wa kidunia huku afrika wenyewe wanachekelea pasipo kuangalia effect side za kuachilia mila ziondoke siku hizi unyago mambo ya kizamani, kujifunza kuchunga na kuwinda kumepitwa na wakati n.k tanaharibu siasa yetu ambayo ilikuwa ni total socialism watu tuliweza kujumuika katika sherehe na misiba si hivyo tu,tunashirikiana kwa hali na mali katika hali ya kijamiii ila kwa sasa tumeshapoteana kabisa hatuna imani ya muafrika lakini hata siasa yetu imebakia kwenye maandishi tu.

Kwa upande wa imani ya kiislamu wao wamewekewa kizuizi cha neno ugaidi ili kuwaletea picha mbaya kwa dunia lengo ni kuichafua imani na kuharibu mfumo wa siasa unaoletwa kupitia imani ya kiislamu ambayo kidogo ipo related na african politics.

TUKUMBUKE KUWA ASILI YETU NI MUHIMU KULIKO CHOCHOTE.
Dini zote ni mali ya shetani bin ibilisi
 
Back
Top Bottom