Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.
Hamjambo!
Falsafa ya Yesu ni Mungu katika Ukristo haipo katika personality na ID. Wakristo huamini Yesu ni Mungu sio kwa sababu Mungu ni Mtu au alizaliwa na binadamu.
Uungu wa Kristo ni umoja wao katika baadhi ya Majukumu na utendaji.
Kwa wasioelewa, nitawapa Mfano rahisi,
Mwanamke na...
Bill Cooper alikuwa mwanaharakati na mwandishi maarufu kwa kazi yake ya "Behold a Pale Horse," ambapo alijulikana kwa kuandika kuhusu nadharia mbalimbali za njama na masuala ya serikali. Katika kitabu chake, aligusia mada nyingi, ikiwa ni pamoja na mauaji ya Rais John F. Kennedy.
Cooper alidai...
Makamu Mwenyekiti wa Chadema (Bara), John Heche amesema chama hicho kimewaelekeza wanasheria wa chama hicho kumshitaki Msajili wa Vyama vya Siasa wakipinga kutenguliwa kwa viongozi walioteuliwa na Baraza Kuu Januari 22, 2025.
Soma pia: Heche amvaa Msajili
Mei 13, 2025, Msajili wa Vyama vya...
Ningekuwa Rais, muda huu ningekuwa nimeshamla kichwa Waziri wa Mambo ya Ndani (Bashungwa) kwani button aliyogusa ni nyeti mnoo na huwa haiguswi ovyo ovyo.
Bila Dini, hakuna siasa. Kumbuka watu wako tayari kufia dini lakini siyo chama cha siasa. Waumini wanawaamini viongozi wao wa dini zaidi ya...
Tanzania 🇹🇿 Ni sehemu ya kisiwa cha Amani. Lakini Amani Yetu Inaweza kuondolewa na Tawala inataka kutawala kimabavu, kwa kuziba Watu midomo.
Polisi ni wachache kwa Raia na Ikumbukwe kuwa hao polisi Wanaotumika na watawala kuwanyanyasa Raia wanaishi Kwenye Jamii, Binafsi sitokubali Ndugu...
Zilizothibitishwa rasmi kabisa ni kuwa;
Mwandishi wa barua kwenda CHADEMA kusema kuwa haitambui uteuzi wa wajumbe wa kamati kuu na baadhi viongozi wa Sekretariate hususani Katibu Mkuu na manaibu katibu mkuu Tanganyika na Zanzibar kwa jina la "Msajili wa Vyama vya siasa" ndiye huyuhuyu...
Ndugu wanajamvi,
Leo tarehe 3 Juni 2025, nimesoma na kusikia mengi yanayoendelea kuhusu Mbunge wa Kawe, Mheshimiwa Josephat Gwajima, ambaye pia ni Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima.
Kwa mujibu wa habari zinazozagaa, kuna tuhuma au hatua mbalimbali zinazochukuliwa dhidi yake, lakini mimi bado...
Kiongozi wa kidini anawaumini wa vyama vyote hivyo ili awahudumie inabidi awe nyutro.
NI hayo tu. Suala la CCM kuruhusu wachungaji ( mashehe sijaona) KUWA wanachama wake na kuwapa uongozi wa kisiasa ndio limetufikisha hapa.
Ni afadhali ijulikane kikatiba mtu ukiwa kiongozi wa kidini...
Gwajima ni mwanasiasa mbunge na ni mchungaji hata kama angekuwa mtumishi wa Mungu pekee bado kukemea utekaji sio kosa wala sio suala la kisiasa ni suala la kupinga ugaidi sasa uagidi na siasa wapi na wapi ?
Lawama hizi za uminyaji mkubwa wa wananchi atabeba Samia hata kama kuna watu wanamjaza...
Naweza kusapiti maamuzi yaliyochukuliwa kufungia baadhi ya Makanisa kwa sababu za kiusalama,tusijipofushe kwa ujinga wa watu wachache dini na siasa zinatakiwa kutenganishwa athari yake ni kubwa sana.
Sipo upande wowote ila nimejaribu kuwaza hivi tu
Nianze kwa lissu
Huyu kweli mwanzo alikuwa na ushawishi mkubwa sana kwa upande wangu na mtazamo wangu ila kwa sasa naona hana ushawishi anatembea na upepo wa kupigwa lisasi kama ni kigezo cha yeye kuwa kiongozi au kupata sapoti
Kwanini Lissu...
Hapa natoa mfano ila wenzetu Stive Nyerere aka lucas mwashamba kazidi mpaka tumemfahamu kwa kushiriki misiba mpaka kububujikwa na machosi.
Sasa angalia movie.
Unajua kwa nini lucas mwashamba kuwa na kuweka dot to dot.
Wakuu hawa madogo bwana wana zingua hawajali kuhusu maswala ya kiutawala katika taifa letu pendwa la TANZANIA wao wana waza nyandu tu.
Inanipa ukakasi kijana wa chuo haoni maana ya kufuatilia sheria na kanuni za kiutawala katika taifa letu ila yupo aware na connection ya mtoto wa mchungaji...
Malalamiko ya mashabiki wa yanga ni mengi sana kwa sababu mipango yao ya kuwa mabingwa wanaona inakuwa migumu licha ya kuwekeza sana kwenye timu pinzani na kufikia kutengeneza baadhi ya timu za kuipa pointi kama ilivyo kwa Singida big stars.
Malalamiko yamekuwa dhidi ya waamuzi hususan...
Huwa naona mashabiki na wasemaji wa pande zote wa hizi timu mbili za Simba na Yanga wakiwa wanalalamika kwa uchungu sana kuhusu upande mwingine kuwahujumu, wakati mwingine huwa naona kama ni utani tu ila wakati mwingi huwa naona wako serious sana hadi mishipa na jasho vinawatoka na wengine...
Labda kama kapeni hii imefadhiliwa na EU au USA, vinginevyo ni matimizi mabaya ya ruzuku ya vyama vya siasa ambayo ni hela za walipakodi walalahoi wa kitanzania.
Nasema hivyo kwa sababu the main goal ya kuzuia uchaguzi haitafanikiwa kwa sasa. Poor timing.sasa kama kapeni hii haiwezi kuletea...
"Utalii wa kisiasa ni pale ambapo mwenzako anazindua Ilani kwa ajili ya wananchi, wewe unashughulika kuimba taarabu kwa wananchi majukwaani na mitandaoni." — Alloyce, P.R.
Leo tunaona msajili wa vyama kukumbatia CCm.
Leo tunaona polisi kama sio mwana CCm basi maisha yako ni kenge.
Leo tunaona magari ya polisi kubeba wananchi washiriki mkutano wa CCM.
Leo tunaona watumishi wanaendeshwa na CCM wala sio serikali.
Hivi tutafika kwa maisha haya.
GT
Wanaopambana na Chadema wanatakiwa wajue kwamba CHADEMA imeshchukua sura tofauti kabisa vichwani mwa Watanzania wengi, watu wapo tayari kwa lolotekwa ajilii ya CHADEMA.
Sasa hawa wanaofikiria kwamba chadema inaweza kufa bado wanajidaganya. Watu.wamechishwa na CCM mabavu na nguvu ya vyombo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.