Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.
Wakati Jon mrema na wenzake wako bize na press conference baada ya kuondoka chadema niliwashangaa sana
Kwanini nasema hivi siasa ni imani ambayo unatakiwa uwajengee wananchi kwa mda mrefu na ina gharama sasa wakina Jon mrema na wenzake wakataka kutumia shortcut naamini wameona game lilivyokuwa...
Na wala hukuanza leo kwani hata mwaka jana Mimi GENTAMYCINE hapa hapa JamiiForums niliwahi kuja na Uzi wa Kukusihi kuwa acha kabisa kukubali kuonyeshwa upande wa Kushabikia na huyo Mshauri wako Mnafiki na Fisadi wa Chalinze Bagamoyo kwani anakuharibia na hukutaka kunielewa kwakuwa ulidanganywa...
Sina Deni!
Mtoto wa Mtibeli ni Mtibeli.
Mtoto wa Kiongozi ni Kiongozi.
Mtoto wa Mkulima ni Mkulima.
Mtoto wa Nyoka ni Nyoka!
Hutaki kujihusisha na siasa, alafu unataka mtoto wako ateuliwe kwenye nafasi za kisiasa. Zinakutosha kweli?
Uwezekano wa mtoto wako kuteuliwa nafasi za uongozi ni Finyu...
Hamjambo wote!
Ni ngumu Sana kuitenga Dini na Siasa. Ngumu Sana.
Ikiwa nchi inawananchi wengi wanaoamini katika Miungu na Dini huwezi kutenganisha siasa na Dini.
Ndio maana wanasiasa katika nchi zenye kuamini Miungu na Dini watanyumbulika watakavyo nyumbulika, watakukuruka watakavyo kukuruka...
Kesho jumapili kulipangwa kipindi maalumu cha CAFETALK ambacho waongozaji wake walipangwa Kuwa Salim Kikeke na muuliza maswali nguli Masoud Kipanya, ghafla likatoka tangazo juu ya kwamba Heche hatahojiwa sababu ya chama chake kuzuiwa siasa...
Sasa Je ni kweli kwamba Heche ni hatari kwenye...
GT
Jamani jamani mambo ya asili yabaki kuwa ya asili miaka nenda rudi bulabo ni Tamasha lilioasisiwa na kanisa pamoja na kabila la wasukuma hapo Mwanza.
Leo nimeshangaa mno kuona hali ilivyokuwa kugeuzwa Tamasha hili uwanja wa siasa ni aibu kwa kweli. Inawezekan hata na ubongo wa waafrika una...
Katika kila jamii yenye uongozi wa kisiasa, kuna wakati ambapo busara za wazee wa chama huzidi kuwa na thamani kuliko mbinu za kisasa za kisiasa zinazokosa maadili. Hili ni wito mahsusi kwa wazee wa chama—wale waliobeba misingi ya harakati na falsafa ya uongozi wa kizalendo. Swali langu ni moja...
Katika mfumo wa utawala wa kidemokrasia mathalani nchini Tanzania, vyama vya siasa vina nafasi ya kipekee katika kuongoza mchakato wa kisiasa na kutoa dira ya maendeleo kwa taifa. Hata hivyo, hali ya sasa ni ya hatari Kwa sababu misimamo ya ndani ya vyama hususani chama Cha mapinduzi, maarufu...
"Wanasiasa wengi wa upinzani Afrika ni kama watoto wa Kitanzania waliokuwa na ndoto za kuwa madaktari, marubani, wahadisi n.k., hadi walipopewa hesabu ya kidato cha pili, wakaamua bora wauze chipsi."— Alloyce, P.R. 😄
Mambo makuu ya kisiasa ambayo hajawahi kutokea tangu Dunia iumbwe na tangu mfumo wa vyama vingi vya siasa uanze Nchini ni pamoja na:-
1. Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani Nchini kupigwa ndani katika mwaka wa uchaguzi Mkuu.
2. Chama kikuu cha upinzani kuondolewa kwenye uchaguzi Mkuu.
3...
Mbunge wa kuchaguliwa asizidi vipindi vitatu vya miaka 15 maana yake nini ni miaka 15 kama mbunge umeshindwa kutekeleza kwa wananchi utafanya nini?
“Ubunge uwe na ukomo wa miaaka 15 vipindi vitatu maana yake ni nini kwa mtu ambaye alikuwa mbunge 2010, 2015,2020 maana yake huu ungekuwa uchaguzi...
Kosa kubwa sana la vyama vyetu hivi ni ukosefu wa hoja au itikadi inayotofautisha baina ya chama kimoja na Kingine. Mirengo ya vyama haviko wazi sana mbele ya wananchi.
Nilifuatilia uchaguzi wa Marekani kwa karibu sana. Kiukweli ilikuwa ni rahisi sana kutofautisha Democrat ( Progressive...
Na je,
Chadema inafanya siasa kweli?
Sote ni mashahidi,
uhuru, haki na usawa kwa vyama vya siasa nchini vimeimarika sana. Vyama vya siasa hususani upinzani nchini vimepata pumzi na nguvu mpya ya kufanya siasa na mikutano ya hadhara katika mazingira bora zaidi kulingana na uwezo na mipango yao...
Wakati Bunge la Jamhuri ya Muungano chini ya Spika Dkt. Tulia Ackson likielekea ukiongoni kabla ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, kumekuwa na maoni ya kupwaya kwa Bunge hilo kwa kushindwa kufikia malengo ya Wananchi wanaowakilishwa zikiwamo changamoto za utawala bora, uchumi na kijamii.
Hayo...
Mtaani siasa inazungumzwa kwa tabu sana na kwa kificho tofauti na mabishano ya mpira
Mtaani watu hubishana mpira kwa uhuru na sauti kubwa tofauti na siasa, ikitokea mtu kaanzisha mada za siasa huenda akaachwa pekeake kusiwe na wakumsapoti
Siasa ya Tanzania ingejadiliwa kama unavyojadiliwa...
=====
Wakuu
viongozi wetu wa Dini wamekuwa wakizungumzia hali ya siasa nchini lakini ni hawa viongozi wa jinsia ya Wanaume (ME).
Wamekuwa wakiikosoa serikali na kuitaka kuwasikiliza wananchi juu ya mabadiliko hawa akina Gwajima wasema mengi kuhusu utekaji sasa vipi kuhusu viongozi wa dini...
Hii ni hali ya mkinzano (conflict) kati ya kutoelewa kiundani nafasi ya siasa katika maisha, na athari halisi ya siasa katika maisha ya kila siku.
Sababu Kuu Kwa Nini Watu Husema “Siasa Siyo Maisha Yao”sababu ya Kutoelewa Siasa kwa Maana Halisi ambayo Wengi hudhani siasa ni Vurugu na mabishano...
Ndugu zangu Watanzania,
Kila siku hukucha na mambo yake ,kila siku hutawaliwa na matukio yake ,kila jua lichomozapo huchomoza na mambo yake na kuzama na mambo yake. kila siku uchao kuna mambo huteka na kuwa makubwa kuliko siku yenyewe.
Sasa katika siku ya leo kuna picha ya siku imepatikana...
Mimi siyo mdau sana wa harakati za kisiasa, lakini kwa kipindi hiki, nchi yote haswa vijana na watu wazima wamejikuta wakifuatilia siasa.
Siyo kwasababu ya mwaka wa uchaguzi, bali nguvu iliyoamushwa na Tundu Lisu. Wakati anaanza kupaza sauti za no reform no election, wengi hatukujali saaana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.