siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. Alloyce PR

    JamiiForums Tanzania Ulemavu wa akili katika siasa

    "Ulemavu wa akili katika siasa hujidhihirisha pale ambapo kikundi cha matusi (wanaharakati uchwara) wenye kujifanya werevu kwa kuchonganisha wananchi na mamlaka, wakivuruga mshikamano kwa maslahi binafsi. Hawa si wanaharakati wa mabadiliko, bali ni mawakala wa mgawanyiko na machafuko wanaoishi...
  2. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Yawezekana Boniface Mwangi na Agather Atuhaire wakawa waongo, ila Mbunge aliyesema "Walitakiwa warudishwe wakiwa kwenye gesi" kachukuliwa hatua gani?

    Mjadala mkubwa kwa sasa ni habari zinazowahusu Boniface Mwangi kutoka Kenya na Agather Atuhaire kutoka Uganda walipokuwa Tanzania. Wakati serikali ilikanusha madai ya ukiukwaji wa haki zao, baadhi ya raia na mashirika ya kiraia walitilia shaka mazingira ya tukio hilo. Lakini hata kama...
  3. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Kuchanganya dini na siasa ni pale viongozi wa dini wanapokosoa waovu ila waovu wanapofanya siasa madhabahuni si kuchanganya dini na siasa

    Ukiona namna wanasiasa wanavyoingia makanisani kuhubiri siasa na namna hao hao wanavyowazuia viongozi wa dini wawe wa kweli au feki kama Gwajima, unashangaa kama wanajua dhuluma wanayofanya. Je kuchanganya siasa na dini ni kwa viongozi wa dini tu au inawahusu wanasiasa wanaofanya hivyo tena bila...
  4. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania Gwajimanized na Samialization ya Siasa Zetu: Serikali Imelikuza la Gwajima

    Na. M. M. Mwanakijiji Sielewi kwanini suala la Askofu Gwajima limefanywa kubwa mno kivile. Hakuna jambo lolote ambalo alilisema kwenye kile kikao chake na waandishi wa habari tunaloweza kusema lilikuwa ni kubwa mno kiasi cha kuonekana "kuchochea" wananchi dhidi ya serikali. Suala la matukio ya...
  5. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Kumbe wanasiasa wanaruhusiwa kuchanganya siasa na dini?

    Alichokifanya mwanasiasa Samia Suluhu Hassan leo kumbe kinaruhusiwa au ndiyo mkuki kwa nguruwe? Mimi ni Ponjoro ila kwahili HAPANA.
  6. W

    JamiiForums Tanzania Orodha ya vyeo / kazi nje ya siasa lakini maisha yake ni kama peponi Tanzania

    Makamishna wa TRA Wakurugenzi wa miradi ya wafadhili (donor-funded projects) Wakuu wa vyuo vikuu vya umma Maafisa wa ubalozi (diplomats) Wakurugenzi wakuu wa manunuzi (chief procurement officers) Wakuu wa idara ya uhamiaji, polisi, magereza Wakurugenzi wa bodi za mikopo au elimu wafanyakazi...
  7. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Hajatokea na hatatokea Manipulator kwenye siasa kama Mobutu Seseko ila ngebe zake zote zilikoma baada ya Nyakati kumkataa

    Alitengeneza mamia ya vyama vya siasa ili kuidanganya dunia kuwa Congo kuna demokrasia na vyama vingi. Vyama vya siasa vya kidalali vilikuwa vinajifanya kushindana nae kwenye uchaguzi alafu vinatangaza kumuunga mkono. Alitegeneza machawa wa kumsifia kila kona na kwenye kila jambo kiasi kwamba...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Si kwa Siasa, Bali kwa Moyo – Tamko kwa Rais Samia

    Mheshimiwa Mama Yetu Samia Suluhu Hassan, Wapo wanaoongoza kwa mikono, wachache kwa akili, lakini wachache sana huongoza kwa moyo. Wewe ni miongoni mwa hao wachache uliyesimama si kwa nguvu, bali kwa upendo. Katika historia ya taifa letu, jina lako limechipua kama mti wa mkaratusi wakati wa...
  9. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Ukristo ni siasa ya kimwili na kiroho; Ukristo ni umoja; Kama Kristo na Mungu walivyo wamoja. Umoja katika Haki ya Mungu

    Hamjambo! Falsafa ya Yesu ni Mungu katika Ukristo haipo katika personality na ID. Wakristo huamini Yesu ni Mungu sio kwa sababu Mungu ni Mtu au alizaliwa na binadamu. Uungu wa Kristo ni umoja wao katika baadhi ya Majukumu na utendaji. Kwa wasioelewa, nitawapa Mfano rahisi, Mwanamke na...
  10. Bwege2030

    JamiiForums Tanzania Nadharia na viapo vya serikali kuficha mambo yao ya siri na kutumia siasa kuficha siri zao

    Bill Cooper alikuwa mwanaharakati na mwandishi maarufu kwa kazi yake ya "Behold a Pale Horse," ambapo alijulikana kwa kuandika kuhusu nadharia mbalimbali za njama na masuala ya serikali. Katika kitabu chake, aligusia mada nyingi, ikiwa ni pamoja na mauaji ya Rais John F. Kennedy. Cooper alidai...
  11. E

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA Kumshtaki Msajili wa Vyama vya Siasa Kupinga Kutengua Viongozi Walioteuliwa

    Makamu Mwenyekiti wa Chadema (Bara), John Heche amesema chama hicho kimewaelekeza wanasheria wa chama hicho kumshitaki Msajili wa Vyama vya Siasa wakipinga kutenguliwa kwa viongozi walioteuliwa na Baraza Kuu Januari 22, 2025. Soma pia: Heche amvaa Msajili Mei 13, 2025, Msajili wa Vyama vya...
  12. Common Folk

    JamiiForums Tanzania Kati ya Mungu/Dini na Siasa kipi kilianza duniani na kipi kina nguvu kuliko mwenzie!

    Ningekuwa Rais, muda huu ningekuwa nimeshamla kichwa Waziri wa Mambo ya Ndani (Bashungwa) kwani button aliyogusa ni nyeti mnoo na huwa haiguswi ovyo ovyo. Bila Dini, hakuna siasa. Kumbuka watu wako tayari kufia dini lakini siyo chama cha siasa. Waumini wanawaamini viongozi wao wa dini zaidi ya...
  13. upupu255

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 POTOSHI Lema asema Gwajima alitakiwa kupewa kesi ya uhaini, asema amefanya kitu kibaya hauwezi kuchanganya siasa na dini

  14. Mwangajamii Tanzania

    JamiiForums Tanzania Siasa za Uonevu

    Tanzania 🇹🇿 Ni sehemu ya kisiwa cha Amani. Lakini Amani Yetu Inaweza kuondolewa na Tawala inataka kutawala kimabavu, kwa kuziba Watu midomo. Polisi ni wachache kwa Raia na Ikumbukwe kuwa hao polisi Wanaotumika na watawala kuwanyanyasa Raia wanaishi Kwenye Jamii, Binafsi sitokubali Ndugu...
  15. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Mwandishi wa Barua kutotambua uteuzi wa viongozi wa CHADEMA kwa jina la "msajili wa vyama vya siasa" ndiye aliyeandika ya kufuta kanisa la Gwajima.!

    Zilizothibitishwa rasmi kabisa ni kuwa; Mwandishi wa barua kwenda CHADEMA kusema kuwa haitambui uteuzi wa wajumbe wa kamati kuu na baadhi viongozi wa Sekretariate hususani Katibu Mkuu na manaibu katibu mkuu Tanganyika na Zanzibar kwa jina la "Msajili wa Vyama vya siasa" ndiye huyuhuyu...
  16. ProcrastinatorInChief

    JamiiForums Tanzania Samahani mimi ni mgeni wa Siasa kwa upole na utaratibu bila kutumia matusi na kejeli naomba nieleweshwe kosa la mbunge wa Kawe na Askofu Gwajima

    Ndugu wanajamvi, Leo tarehe 3 Juni 2025, nimesoma na kusikia mengi yanayoendelea kuhusu Mbunge wa Kawe, Mheshimiwa Josephat Gwajima, ambaye pia ni Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima. Kwa mujibu wa habari zinazozagaa, kuna tuhuma au hatua mbalimbali zinazochukuliwa dhidi yake, lakini mimi bado...
  17. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Itungwe Sheria kupiga marufuku viongozi wa dini KUWA wanachama wa vyama vya siasa. Hapa ndipo kosa lilianzia.

    Kiongozi wa kidini anawaumini wa vyama vyote hivyo ili awahudumie inabidi awe nyutro. NI hayo tu. Suala la CCM kuruhusu wachungaji ( mashehe sijaona) KUWA wanachama wake na kuwapa uongozi wa kisiasa ndio limetufikisha hapa. Ni afadhali ijulikane kikatiba mtu ukiwa kiongozi wa kidini...
  18. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Gwajima ni mwanasiasa mbunge na ni mchungaji hata kama angekuwa mtumishi wa Mungu pekee bado kukemea utekaji sio kosa wala siasa

    Gwajima ni mwanasiasa mbunge na ni mchungaji hata kama angekuwa mtumishi wa Mungu pekee bado kukemea utekaji sio kosa wala sio suala la kisiasa ni suala la kupinga ugaidi sasa uagidi na siasa wapi na wapi ? Lawama hizi za uminyaji mkubwa wa wananchi atabeba Samia hata kama kuna watu wanamjaza...
  19. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Mahubiri yamekuwa siasa je,mnajua athari zake??

    Naweza kusapiti maamuzi yaliyochukuliwa kufungia baadhi ya Makanisa kwa sababu za kiusalama,tusijipofushe kwa ujinga wa watu wachache dini na siasa zinatakiwa kutenganishwa athari yake ni kubwa sana.
  20. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Embu tuchambue Siasa kidogo kutokana na haya matukio

    Sipo upande wowote ila nimejaribu kuwaza hivi tu Nianze kwa lissu Huyu kweli mwanzo alikuwa na ushawishi mkubwa sana kwa upande wangu na mtazamo wangu ila kwa sasa naona hana ushawishi anatembea na upepo wa kupigwa lisasi kama ni kigezo cha yeye kuwa kiongozi au kupata sapoti Kwanini Lissu...
Back
Top Bottom