siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Hukumu ya Kesi ya Mbatia dhidi ya NCCR imeonesha tuna Msajili wa Vyama vya Siasa ambaye ni Jaji wa ovyo kuwahi kutokea!

    Nguvu nyingi zimeamishiwa kwa CHAUMA na CHADEMA, matokeo yake Project-Pindua 'Mama Tanzania' ikasahaulika. Na JAJI naye (sijui kwakuwa aliona Mama Tanzania hana athari kwa sasa, Sijui hawakumpa Presha, Sijui kafanya kwa kuzingatia Misingi ya Taaluma yake), kampa Mshindi MBATIA. Sasa hapa ni...
  2. Mwalimu Adolph Longino

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Wajitafakari: Siasa za Kudandia hoja haziwajengi wala kujenga Taifa

    Katika historia ya vyama vya upinzani nchini Tanzania, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimejipambanua kama sauti mbadala ya kisiasa. Hata hivyo, miaka ya hivi karibuni imeonesha mwelekeo unaotia shaka: chama hiki kimegeuka kuwa jukwaa la kila anayepinga serikali—bila kujali dhamira...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Chadema fungua shauri mahakamani kupinga maagizo ya msajiri wa vyama vya siasa, "inaezekana" ana maagizo ya mamlaka yake ya uteuzi, anaweza kuifuta.

    TAKE IT SERIOUSLY Huyu mtu anatafuta sababu ya kuifuta chadema. Msifanye kosa, nendeni mahakamani mfungue kesi kupinga maamuzi yake. Msidharau kauli zake maana zina maagizo ya mteule wake! Hawa CCM and it affiliates siyo watu tena, ni wanyama kabisa, na kweli ataifuta (ingawa inaweza kuleta...
  4. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Msameheni msajili wa vyama vya siasa anatetea cheo chake na usalama wake nchi haina utawala wa kisheria tena

    Msameheni msajili wa vyama vya siasa anatetea cheo chake na usalama wake nchi haina utawala wa kisheria hii, Watu watamlaumu msajili wa vyama vya siasa bure kumbe sio mapenzi yake wala kosa lake, lakini pia kufutwa kwa chama kikubwa Tanzania ni ngumu na inaweza kuchochea mabadiliko zaidi...
  5. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Maoni ya Wananchi post ya St Bongo Instagram iliyohoji 'Unaonaje hali ya siasa nchini kuelekea uchaguzi mkuu?

    Wakuu, Katika pitapita zangu mjini Instagram nimekutana na hii post ya St Bongo TV inayohoji, Unaonaje hali ya siasa nchini kuelekea uchaguzi mkuu? Na haya ni majibu ya baadhi ya wanamioto
  6. Auto-Marvelt

    JamiiForums Tanzania Utofauti wa siasa za Kenya na Tanzania kwa mujibu wa ChatGPT

    Utofauti wa siasa za Kenya na Tanzania unaweza kuangaliwa kwa misingi mbalimbali kama vile mfumo wa vyama vya siasa, uhuru wa vyombo vya habari, historia ya kisiasa, na utekelezaji wa demokrasia. Hapa chini ni baadhi ya tofauti kuu: --- 1. Mfumo wa Vyama vya Siasa Kenya: Ina mfumo wa vyama...
  7. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Msimamo wa sisi Watibeli kwenye Siasa za nchi yetu

    MSIMAMO WA SISI WATIBELI KWENYE SIASA ZA NCHI YETU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Kuna baadhi ya watu wamekuwa wakinipigia Simu, kunitumia jumbe kwa njia za meseji ya kawaida au kupitia pm za mitandao ya kijamii, wakihitaji kujua msimamo wangu na msimamo wa Watibeli kwenye siasa za nchi...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Tanzania na siasa zetu

    Siasa zetu hazija komaa, Hii tusidanganyane mtu Ukisema ukweli wewe ni adui, Siasa za aina hii ifike mahali Zikome sisi ndugu malumbano Ya kisiasa ya nn?na nyie viongozi Naomba busara itumike katika Kuwatumikia wananchi
  9. S

    JamiiForums Tanzania Siasa za mpira zimezikwa rasmi uwanja wa Amani, sasa tugeukie siasa za mabadiliko ya sheria za uchaguzi

    Moja ya mambo yanayorudisha nyuma mabadiliko ya kisiasa ni watu kufuatilia sana mambo ya mpira wa miguu. Simba angechukua kombe uko uwanja wa Aman, watu wangeongelea tukio hili kwa muda mrefu sana. Hakuna uwekezaji wa kutosha kuwezeaha kuchukua vikombe vya Afrika lkn tunaongea sana. Sasa...
  10. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Maamuzi ya Mkutano wa Kamati Kuu ya CHADEMA yamekosa Jambo Moja Muhimu. Chadema jirekebisheni! Huu sio wakati wa siasa nyepesi.

    Vyombo vya habari vya Nje ya nchi na Kimataifa vyote vinazungumza jambo moja kubwa. Jambo hilo ni ukiukwaji mkubwa wa Haki za Binadamu unaofanywa na Serikali ya Rais Samia. Vyombo hivi vya Kimataifa vimeripoti matukio makubwa kabisa ambayo yanaunda Makosa dhidi ya Binadamu na Ubinadamu. Makosa...
  11. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHASO yaitaka serikali iache uoga iruhusu siasa vyuoni

    Akizungumza mbele ya Makamu Mwenyekiti John Heche, Mwenyekiti wa jumuiya ya wanafunzi wa CHADEMA vyuo na vyuo vikuu CHASO ameitaka serikali kuacha uoga wa kuzuia siasa vyuoni. Amekumbusha kuwa wapo viongozi mbalimbali waliojulikana kwa kupitia vyuo akataja mfano wa Jaji Joseph Warioba
  12. Alloyce PR

    JamiiForums Tanzania Mwanasiasa ukifeli siasa kaa kwa utulivu

    Utangulizi Katika historia ya siasa, kuna dhana hatarishi inayojitokeza mara kwa mara miongoni mwa baadhi ya wanasiasa, dhana ya kutafuta huruma ya wananchi kama njia ya kuficha udhaifu wao wa kisiasa. Wanasiasa hawa, baada ya kushindwa ama kwa kukataliwa kwenye sanduku la kura, au kwa kuonekana...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Shibuda ajibu madai ya kuwa alinunua chama cha Siasa kama Member wa JF alivyosema

    Baada ya andiko la Mwanachama wa JamiiForums.com lililokuwa na kichwa cha Habari ~ John Shibuda alinunua chama cha Siasa cha Oscer Kambona kisha akakiuza Unguja kwa Wapemba, kwenye Siasa lolote linawezekana Mbowe siyo wa kwanza! Shibuda mwenyewe Amejibu kuhusu andiko hilo kwa kuandika haya...
  14. Alblondys

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha Mapato kwenye vyama vya siasa

    Salam wana JF, Nimekuwa na swali linalonipa maswali Mengi kila Kukicha. Tukiachana na Michango ya wanachama, Wahisani wa ndani, wafanyabiashara n.k Je! Vyama vyetu vya Siasa vinapata wapi Pesa zaKujiendeshea? 2: je! Kama Kuna Misaada kutoka mashirika ya Kimataifa; ni % ngapi zinagawiwa. 3...
  15. A

    JamiiForums Tanzania Ushawishi wa chama cha siasa unaanzia kwenye mitandao ya kijamii, CHADEMA imefanikiwa pakubwa katika hili

    Katika zama hizi za dunia kiganjani hata yule mtu aliyekijijini kwanza anataka kujua kipi kinaendelea mitandaoni. Kupitia mitandao ya kijamii chama cha siasa kina uwezo wa kupata uungwaji mkono wa hali ya juu kwa kila rika, yaani vijana , wazee, watoto n.k. Kwa zama hizi kiongozi au chama cha...
  16. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche: Msimamo wa Chama chetu ni kusimama na msimamo wa wananchi na kutokufanya siasa za ulaghai

    Wakuu Mapema asubuhi leo Mei 23, 2025 Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche anaongoza kikao cha Kamati Kuu ya chama hicho kujadili mambo mbalimbali moja ya ajenda zilizoainishwa kujadiliwa na kikao hicho ni pamoja na 1. Hali ya Kisiasa Nchini 2. Operesheni ya 'No Reform No Election' (Bila...
  17. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Kwa huu Upuuzi mliopanga Simba mnaenda poteza hii Match. Wallah Wabillah mtaniambia

    Yaani mnataka leta siasa za kiduanzi sana. Tunajua mnachofanya na tayari watu tumeamua kama mbwai mbwai. Yaani mumpongeze mama yenu kwa hili? Nyie mna akili kweli? Sasa mnaenda poteza hii match. Wallah Wabillah labda si mimi mjukuu wa mtume. Yaani mnaleta siasa kwenye mambo ambayo si ya...
  18. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Samia Hakuna sheria inayokataza mtu kuongelea siasa za Tanzania

    Samia Hakuna sheria inayokataza mtu kuongelea siasa za Tanzania. mbona mikopo na misaada na tuzo wakitoa uwa hawaingilii siasa za nchi, wewe utaratibu huu umeutoa wapi ? watanzania tunataka utawala wa kisheria na wa haki na sio hisai au hila za mtu wala kitu kingine,
  19. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kuna vyama vya siasa ili ujiunge inakubidi aidha uwe hauna ufahamu au ujitoe ufahamu ndipo ujiunge

    Kuna mambo mawili 1. Kuwa out of control 2. Kujitoa ufahamu, hii ni makusudi kabisa ili tu ule maana kwa njia zingine umeshindwa kujipatia pesa au chakula. Ni sawa na kuokota makopo jalalani. Wapowenye matatizo ya akili rasmi na wengine hujifanya wana matatizo ya akili ili wapate dili ndani ya...
Back
Top Bottom