Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.
Maana mipango mikakati yake yote ya kujiimarisha kama vile mpango wa kuomba omba pesa za kujikimu kwa viongozi maarufu kama tone tone kidigitali na kwenye kibakuli imekauka, mpango nonsense wa no reform no elections haijulikani tena kama upo au hauko, mkakati wa uropokaji mikutanoni n.k...
GT
CCM minds zao ziko corrupted kiasi kwamba hawawezi kuona hatari mbele hata mambo madogo madogo..huku kwenye social media watu wenye Ubongo wao na kuoana mbali ndo wamejaa siyo hao wachunga ng'ombe mnaowakusnaya majukawaani kwa malori.
Mpaka dakika hii huwa najiuliza hii NRNE ina mwaka mzima...
ULIMWENGU ULITUDANGANYA. USIRUHUSU KUKUHARIBU.
Walikuwa sanamu zetu za vijana, sasa, hata mashabiki wao hawazitambui. Nini kilitokea? Umaarufu ulitokea. Shinikizo lilitokea. Uongo wa "fanya chochote kinachokufurahisha" ulitokea. Tuliwatazama wakiwaka, sasa tunawatazama wakififia.
Ni wito wa...
Ndugu zangu Watanzania,
Mheshimiwa Ummy Mwalimu Waziri Mstaafu katika wizara mbalimbali ikiwepo wizara ya afya amejikuta katika wakati mgumu ,wakati wa mawazo ,wakati wa sintofahamu ,wakati wa mateso Ya moyo kibinadamu baada ya Jina lake kukwaa Kisiki na kukatwa katika vikao vya mchujo kamati...
Abdullah al-Faisal (alizaliwa kama Trevor William Forrest)
Asili:
Alizaliwa mwaka 1963 huko St. James, Jamaica. Alisilimu akiwa na umri wa miaka 16, na kuchukua jina la Kiislamu: Sheikh Abdullah al-Faisal.
Alisomea Uislamu nchini Saudi Arabia katika Chuo Kikuu cha Imamu Muhammad bin Saud...
Ni dhahiri kuwa chadema baada tu ya uchaguzi watashikwa na butwaa wasijue wafanye nini maana kwa sasa wanachokihubir ni kitu ambacho hakiwezekani watu wanajiandaa kwa uchaguzi wanabaki na kakikundi kado sana na chadema hawajui watanzania walivyo yaaani wasione watu wanavyojaa kwenye mikutano yao...
Kesi Namba 8323/2025 ambayo imetoa zuio la muda kwa Chama cha CHADEMA kufanya shughuli zozote zile kiutendaji na oparesheni mpaka pale kesi ya msingi iliyofunguliwa itakapoanza kusikilizwa, inatarajiwa kuendelea Julai 10, 2025 mbele ya Mh. Jaji Hamidu Mwanga katika Mahakama Kuu-Dar es salaam...
Salute to you all hustlers .....
Direct to the topic,
Niongee na mtu ambaye kwao hamna DED, RCO, RC, NAIBU WAZIRI, WAZIRI , VICE - PRESIDENT n.k.
Nimeanza Kwa kusema hivyo Kwa sababu wanaotoka kwenye familia hizo kiuhalisia hawawezi kunielewa ni sawa na wajumbe wa Chama cha Mapinduzi hawawezi...
ccm
hali
hali mbaya
hizi
katika
kesho
kuamini
makini
maslahi
mbaya
msimu
njia
siasasiasa za ccm
taifa
vijana
vyama
vyama pinzani
wanaharakati
wanasiasa
Hilo ndilo kosa kubwa linalofanywa na uongozi wa Kenya siasa kwenye vyombo vyao vya habari ni Kwa 95%,vipindi vya kimaendeleo Kwa Kenya vinapatiwa 5% only,Tujifunze Kwa majirani, hakika mungu anaipenda sana tanzania yetu.
#Anatuletea mifano kwenye malongo yetu.
#Vyombo vya habari vinanguvu...
### Je, Elimu Inaweza Kuwa Udhibiti wa Watu? Mifano kutoka kwa Nadharia za Njama
Katika dunia ya leo, mjadala kuhusu ushawishi wa elimu katika jamii umekuwa wa kupigiwa kelele. Wakati wengine wanaona elimu kama suluhisho la matatizo mbalimbali, wengine wanaweza kuangalia mfumo huu kwa jicho la...
A matter above is concerned,
Msimu huu wa NBC premier league umekuwa wa kituko Sana hasa referees wa league yetu ni shida.
Moja ya matukio ya ajabu ni offside na watu kufunga hadi na mikono na wanufaika wakubwa ni Yanga na Simba.
Msimu umeisha Yanga ilijipangia nani awe referee wa mchezo...
Bashiru Ally Kakurwa sijamuona akichukua Form
Na sioni Kama akiteuliwa tena kwa Sababu alipopewa nafasi ya kutawala kosa kubwa alilofanya alitumia nguvu kubwa kutengeneza maadui .
Je, atarudi Ubungo Maziwa na Udsm kuendelea kufundisha political science.
Ushauri, mitaala imebadika kwa hiyo...
Mbunge wa Jimbo la Sumve mkoani Mwanza, Kasalali Mageni anayemaliza muda wake ametangaza kung’atuka na kutoendelea na masuala ya siasa huku akibanisha kuwa hatagombea tena na ubunge wa jimbo hilo.
Kasalali ametangaza leo Julai 2 mwaka huu na kueleza kuwa kwa sasa anataka kupumzika kuwatumikia...
Kwa umri wake, katika siasa, Kassim Majaliwa Majaliwa bado ni kinda. Je, sasa inakuwaje hagombei ubunge tena? Je, amestaafu au kastaafishwa? Nani aweza kuwa waziri mkuu baada yake?
Je, hili linasema nini kuhusiana na Mama na Watu wa Jiwe?
“Ujobless si kilema – ni hali ya mpito, lakini pia ni cheche ya mabadiliko.”
Katika kona za vijiwe vyetu vya kahawa, mitandao ya kijamii, na hata kwenye foleni za usafiri, sauti moja imeanza kusikika – sauti ya matumaini lakini pia yenye mzigo mzito wa ukweli. Sauti hii inaitwa CCMJless –...
Kuanzia 2015 kuja hadi sasa, ni tofauti sana na hapo kabla.
Ni kama vile wakubwa waliona wakicheka na nyani watavuna mabua,
Kilichofuata ni vibano kila sehemu.
Media, free speech, n.k
Ila kama ilivyo 1995, 2015,
2025 nayo wenda ikakumbukwa sana kwenye historia ya Siasa za Tanzania.
Habari Tanzania !
Hivi vyama vya siasa wana haki ya kuanzisha miradi ya kiuchumi - jamii kama chanzo cha mapato kwa lengo la kujiendesha?
Natamani tuwapime kwa Uwekezaji ndani ya vyama vyao ndio sisi wananchi tuwe tunawapima uwezo wao kujiendesha na uwezo wa kiuongozi.
Asante.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.