siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. A

    Kuna vitu vikubwa ambavyo Wanasiasa hasa wa CCM, vitendo vinaongea zaidi ya maneno, na wanasheria wanasema ushahidi wa kimaandishi unaheshimika zaidi

    Kuna vitu vikubwa ambavyo Wana siasa hasa wa Sisiemu, vitendo vinaongea zaidi ya maneno. Na wanasheria wanasema ushahidi wa kimaandishi unaheshimika zaidi wa kimaneno. Hivyo haya maneno ya dira, Haki, tume Huru, tume ya marekebisho ya utendaji Haki na maneno Mengine, haya maana kama haya...
  2. Kimbesa11

    Polepole angekuwa anajijua kuwa hana mvuto wa kisiasa asijengejiuzulu, kwa kutoa shutuma za uongo na upotoshaji amejipoteza kisiasa

    Kuna watu wakishapata madaraka basi wanajiona washakuwa maarufu kiasi cha kuanza dharau na majigambo, kiasi cha kuona wao ndiyo wenye sifa zaidi kuliko wengine kitu ambacho si sikweli ni ulimbukeni tu wa madaraka. Mbaya zaidi wanafikia hatua hata ya kutowaheshimu wale waliowaheshimisha kwa...
  3. Ponjoro wa Kinondoni

    Naombeni tafsiri ya huu wimbo kwa muktadha wa siasa za Bongo

    https://youtu.be/mpNrmB_Qe6U?si=mbUaIlbrDNWvaiyY
  4. Tlaatlaah

    Hivi Chadema ni imekaushwa na CHAUMMA au imejikausha yenyewe kwenye medani za siasa za Tanzania kuelekea Uchaguzi mkuu wa October 2025?

    Maana mipango mikakati yake yote ya kujiimarisha kama vile mpango wa kuomba omba pesa za kujikimu kwa viongozi maarufu kama tone tone kidigitali na kwenye kibakuli imekauka, mpango nonsense wa no reform no elections haijulikani tena kama upo au hauko, mkakati wa uropokaji mikutanoni n.k...
  5. The Burning Spear

    Ushamba wa CCM ni kuamini katika siasa za Majukwaaa huku wakibeza nguvu ya mintandao ya Kijamii.

    GT CCM minds zao ziko corrupted kiasi kwamba hawawezi kuona hatari mbele hata mambo madogo madogo..huku kwenye social media watu wenye Ubongo wao na kuoana mbali ndo wamejaa siyo hao wachunga ng'ombe mnaowakusnaya majukawaani kwa malori. Mpaka dakika hii huwa najiuliza hii NRNE ina mwaka mzima...
  6. Bwege2030

    Siasa na ulimwengu ulitudanganya, Usiruhusu kukuharibu

    ULIMWENGU ULITUDANGANYA. USIRUHUSU KUKUHARIBU. Walikuwa sanamu zetu za vijana, sasa, hata mashabiki wao hawazitambui. Nini kilitokea? Umaarufu ulitokea. Shinikizo lilitokea. Uongo wa "fanya chochote kinachokufurahisha" ulitokea. Tuliwatazama wakiwaka, sasa tunawatazama wakififia. Ni wito wa...
  7. L

    Ummy Mwalimu Anaswa Miguu na kukatwa Jina na Kamati ya siasa ya Mkoa. Asubiria Maamuzi ya Kamati kuu.

    Ndugu zangu Watanzania, Mheshimiwa Ummy Mwalimu Waziri Mstaafu katika wizara mbalimbali ikiwepo wizara ya afya amejikuta katika wakati mgumu ,wakati wa mawazo ,wakati wa sintofahamu ,wakati wa mateso Ya moyo kibinadamu baada ya Jina lake kukwaa Kisiki na kukatwa katika vikao vya mchujo kamati...
  8. Stuxnet

    Abdullah Al Faisal: Mhubiri wa siasa kali aliyekamatwa Nairobi 2010

    Abdullah al-Faisal (alizaliwa kama Trevor William Forrest) Asili: Alizaliwa mwaka 1963 huko St. James, Jamaica. Alisilimu akiwa na umri wa miaka 16, na kuchukua jina la Kiislamu: Sheikh Abdullah al-Faisal. Alisomea Uislamu nchini Saudi Arabia katika Chuo Kikuu cha Imamu Muhammad bin Saud...
  9. M

    GE2025 Baada ya uchaguzi CHADEMA watashikwa na butwaa kusubiri miaka mitano ijayo nje ya siasa

    Ni dhahiri kuwa chadema baada tu ya uchaguzi watashikwa na butwaa wasijue wafanye nini maana kwa sasa wanachokihubir ni kitu ambacho hakiwezekani watu wanajiandaa kwa uchaguzi wanabaki na kakikundi kado sana na chadema hawajui watanzania walivyo yaaani wasione watu wanavyojaa kwenye mikutano yao...
  10. Roving Journalist

    GE2025 Kesi iliyotoa zuio la CHADEMA kutofanya siasa yahairishwa hadi Julai 14

    Kesi Namba 8323/2025 ambayo imetoa zuio la muda kwa Chama cha CHADEMA kufanya shughuli zozote zile kiutendaji na oparesheni mpaka pale kesi ya msingi iliyofunguliwa itakapoanza kusikilizwa, inatarajiwa kuendelea Julai 10, 2025 mbele ya Mh. Jaji Hamidu Mwanga katika Mahakama Kuu-Dar es salaam...
  11. PLOII

    Vijana muwe makini na wanaharakati wa msimu na wanasiasa maslahi mtaacha generation yenu katika hali mbaya, taifa litakufa play safe

    Salute to you all hustlers ..... Direct to the topic, Niongee na mtu ambaye kwao hamna DED, RCO, RC, NAIBU WAZIRI, WAZIRI , VICE - PRESIDENT n.k. Nimeanza Kwa kusema hivyo Kwa sababu wanaotoka kwenye familia hizo kiuhalisia hawawezi kunielewa ni sawa na wajumbe wa Chama cha Mapinduzi hawawezi...
  12. Crocodiletooth

    Kinachoiponza Kenya ni kuachia vyombo vya habari kuhubiri siasa kwa 95%

    Hilo ndilo kosa kubwa linalofanywa na uongozi wa Kenya siasa kwenye vyombo vyao vya habari ni Kwa 95%,vipindi vya kimaendeleo Kwa Kenya vinapatiwa 5% only,Tujifunze Kwa majirani, hakika mungu anaipenda sana tanzania yetu. #Anatuletea mifano kwenye malongo yetu. #Vyombo vya habari vinanguvu...
  13. Bwege2030

    Siasa zilizofichwa kwenye elimu kwa madhumuni ya kuwaongoza watu

    ### Je, Elimu Inaweza Kuwa Udhibiti wa Watu? Mifano kutoka kwa Nadharia za Njama Katika dunia ya leo, mjadala kuhusu ushawishi wa elimu katika jamii umekuwa wa kupigiwa kelele. Wakati wengine wanaona elimu kama suluhisho la matatizo mbalimbali, wengine wanaweza kuangalia mfumo huu kwa jicho la...
  14. PLOII

    Kuelekea msimu ujao wanasiasa mkae mbali na mpira wa Tanzania: Yanga ni wanufaika wakubwa na upepo huu wa siasa

    A matter above is concerned, Msimu huu wa NBC premier league umekuwa wa kituko Sana hasa referees wa league yetu ni shida. Moja ya matukio ya ajabu ni offside na watu kufunga hadi na mikono na wanufaika wakubwa ni Yanga na Simba. Msimu umeisha Yanga ilijipangia nani awe referee wa mchezo...
  15. Knock life

    Baada ya Bunge kuvunjwa rasmi, Je Dkt. Bashiru Ally anarudi UDSM kufundisha siasa na kuishi kwake pale Ubungo Maziwa?

    Bashiru Ally Kakurwa sijamuona akichukua Form Na sioni Kama akiteuliwa tena kwa Sababu alipopewa nafasi ya kutawala kosa kubwa alilofanya alitumia nguvu kubwa kutengeneza maadui . Je, atarudi Ubungo Maziwa na Udsm kuendelea kufundisha political science. Ushauri, mitaala imebadika kwa hiyo...
  16. funaku

    Kumbukumbu:Chadema ndio ilianza kuleta wasanii wa bongo fleva kwenye Siasa

    Tusije kusahau kuwa Nigga J na 2 Proud walikuwa ni wabunge kupitia Chadema.
  17. figganigga

    Philip Mpango, Kassim Majaliwa Wajitenga na Siasa chafu za Rais Samia? Wahuni kupewa Rungu?

    Mwanasiasa wa Tanzania si rahisi kkuachia Madaraka Makubwa. Makamu wa Rais Dr. Philip Mpango, na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Walikuwa hawana Upinzani ndani ya Serikali ya CCM. Viongozi hawa wanajulika kwa kutopenda Uchawa. Rais Samia amekuwa akilaumiwa kufumbia macho Mauaji ya Wale wanao...
  18. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Mbunge Kasalali Mageni atangaza kung’atuka na kutoendelea na masuala ya siasa

    Mbunge wa Jimbo la Sumve mkoani Mwanza, Kasalali Mageni anayemaliza muda wake ametangaza kung’atuka na kutoendelea na masuala ya siasa huku akibanisha kuwa hatagombea tena na ubunge wa jimbo hilo. Kasalali ametangaza leo Julai 2 mwaka huu na kueleza kuwa kwa sasa anataka kupumzika kuwatumikia...
  19. The Father of All

    Majaliwa kastaafu siasa au kastaafishwa?

    Kwa umri wake, katika siasa, Kassim Majaliwa Majaliwa bado ni kinda. Je, sasa inakuwaje hagombei ubunge tena? Je, amestaafu au kastaafishwa? Nani aweza kuwa waziri mkuu baada yake? Je, hili linasema nini kuhusiana na Mama na Watu wa Jiwe?
  20. Marco Seth

    Nani alifaa baada ya Kifo Cha JPM?

    Wewe uliona nani Angeendelea kuuongoza Urais baada ya kifo cha JPM
Back
Top Bottom