Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.
Naomba Familia ya Mzee Cheyo imzuie Ndugu yao kuangaika na mambo ya siasa ambayo hayana tija kwake.
Namshauri apambanie Afya yake kwanza.
Itakuwa aibu mzee wao kupata madhara na kumsababishia matatizo zaidi ya kiafya.
https://www.facebook.com/share/v/1Akh38Vb5f/
Mkuu wa jeshi la polisi nchini Camillus Wambura amesema jeshi hilo halitovumilia mtu au kikundi cha watu watakaojaribu kuvunja amani ya nchi kwa namna yoyote ile.
IGP Wambura amesema hayo katika Mkutano Mkuu wa mwaka wa Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi Agosti 11, 2025 katika Shule ya...
SIASA SAFI ndio mhimili mkuu katika Taifa kwa sababu siasa safi hujenga umoja, mshikamano, amani, usawa utulivu na uzalendo baina ya mtu na katika Taifa.
Taifa lisilokuwa na siasa safi ni taifa mfu ,,,,,, niwaombe ndugu zangu watanzania Tusimame imara katika kuhakikisha tunawatumikia watanzania...
Upo msemo maarufu unaosema “Siasa ni mchezo mchafu,” lakini kwa wengi, huu si msemo tu bali ni uhalisia unaoonekana kila siku. Katika mazingira ya sasa, kuna hali inayozua maswali mengi kuhusu namna mitindo ya maisha, burudani, na “trends” zinavyotumika kama zana za kuwafanya wananchi wasahau...
Kwasasa nchini Kuna nyumba za ibada ukiingia tu as if umeingia kwa mganga wa jadi unakuta mtumishi wa mungu anasema wakati anasali ameona bango🤣🤣...... stupid!
Kumbe siasa zimemjaa mpaka amegeuka kuwa Kama mchawi Sasa.
Jueni kuwa wewe mtumishi wa Mungu huna uwezo wa kunibadilisha mm chama...
Ndugu zangu, tuseme ukweli usiofunikwa na siasa za kupaka sukari!"
Wafuasi wa CHADEMA wamegawanyika katika njia tatu — na kila njia ina hadithi yake.
Waliokimbilia CHAUMA
Hawa ni wanasiasa waliochukua uamuzi si kwa tafakari ya kina, bali kwa msukumo wa kundi. Ni kama mtu anayeongozwa na kelele...
Ukiona mtu anabadilika kama kinyonga jana alikuwa hivi na misimamo mikali dhidi ya kundi lingine.Ghalfa akabadilika akatoka lile kundi akaenda kundi lingine alilokuwa anakandia akawa anakandia lile kundi alilotoka ni wa kuogopa kama ukoma.
Mtu kama huyu anaweza kuwa anacheka na wewe kama mamba...
Nimepitia vyombo karibia viwili vya habari vilivyoripoti hukumu ya Mahakama ya Rufaa katika kesi inayomuhusu Mwana FA na AY dhidi ya kampuni ya TIGO.
Kwa jinsi maamuzi hayo yalivyoripotiwa ni kuwa Mwana FA na AY wameshinda kesi hiyo. Ukisoma vizuri mtiririko wa kesi zenyewe, utagundua uamuzi...
Kesi ya madai iliyofunguliwa dhidi ya Bodi ya Wadhamini ya CHADEMA na Katibu Mkuu wa chama hicho, inayohusu zuio la kufanya shughuli za kisiasa, imeahirishwa hadi Agosti 18, 2025, kwa ajili ya kusikilizwa kwa uamuzi wa maombi ya kutengua zuio hilo.
Shauri hilo, Na. 8323/2025, liliwasilishwa na...
Kama ni SIASA basi nchi yetu inaongozwa kwa mihemko sana au tuliowapa uongozi hawafikirii vyema kuhusu wananchi.
Kama ni Inshu critical kumtandao au shida basi wanapaswa kuitatua haraka sana kwani wengi ndio huingiza pesa kupitia platforms hizi.
Mtandao wa FACEBOOK na YOUTUBE hazifanyi kazi...
Ndugu. Onesmo ole Bulumwa amezungumza hayo baada ya kupewa nafasi ya kuzungumza na kutoa salamu kwa wanachama na wajumbe waliofika katika mkutano huo Mlimani City Jijini Dar es salaam.
Kwanza kabisa Tunapenda kuwapongeza chama cha ACT kwa uzalendo kwa kuendelea kutambua Sector Binafsi hasa...
NAIBU Msajili wa Vyama vya Siasa, Sisty Nyahoza alipopewa nafasi ya kuzungumza kwenye Mkutano Maalum wa chama hicho leo, Agosti 6, 2025 alianza kwa kuwasalimia ''Nawasalimu kwa jina la Jumhuri ya Muungano wa Tanzania." mwitikio wake haukuwa vile alivyotarajia.
Miezi iliyopita tuliona movement kubwa sana ya no reform no election sisemi kwamba movement imekufa ila sioni zile harakati zikiendelea wako watakaosema wamezuiwa kufanya siasa hiyo sio sababu wanatakiwa wakomae hivyo
Ghafla anakuja yule balozi aliyejihudhuru kule quba sasa hivi ndo anatrend na...
Siasa ni ujinga ulio kubuhu.
Ujinga wa siasa ulifanya na umefanya
-Ukraine na Russia kugombana hawa ni ndugu wa damu kwa kiasi kikubwa
- Korea kugawanyika na kuzalisha kusini na kaskazini na kugeuka maadui wakati ni ndugu wa damu
- Israel na Palestine ndugu wa karibu wakigombana kwa sababu...
CCM inaongoza kwa kufanya siasa makanisani, lakini Kanisa likikemea mambo ya hovyo yanayofanywa na CCM kwenye siasa, CCM husema tusichanganye siasa na dini!
Kwa CCM viongozi wa kanisa wanapoisifia huwa si kuchanganya siasa na dini, ila CCM wakikosolewa ndiyo huwa siasa imechanganywa na dini...
Miaka imeenda Sana .
Tumepoteza ladha katika siasa zetu , Pale Bukoba Mjini kulikuwepo VITA Kali Sana Kati ya Lwkatare na Kagasheki hii ilikuwa zaidi ya Simba na Yanga.
Kura zilikuwa zikipigwa haijulikani nani atashindwa.
Wote hawa wamekalishana Benji. Mmoja anaingia mmoja anaingia benchi.
Freeman Aikaeli Mbowe ndio gwiji pekee wa siasa za upinzani nchi kwa sasa , ukimwacha marehemu maalim Seif Sharif Hamadi.
Bado ana nguvu, uwezo na ushawishi mkubwa kuliko kiongozi mwengine wa upinzani. Sinto shangaa kama anajiunga na Chauma kuendeleza mapambano.
Kwa sasa Chadema imetekwa na...
Wakuu
Makamu Mwenyekiti ACT-Wazalendo Bara, Mheshimiwa Isihaka Mchinjita, kupitia mahojiano na kipindi cha Supa Breakfast, amegusia uvumi unaosambaa mitandaoni kuhusu Mbunge wa zamani wa Kisesa, Luhaga Mpina kujiunga na ACT Wazelendo na kusema wanamkaribisha wakati wowote.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.