Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.
Umekuwa huku, umekuwa kule:
Umekuwa ni mstaafu asiyestaafu?
Kwamba chaguzi zimekuwa zikiibiwa chini ya uangalizi wenu! Kwa hakika wewe na CCM kwa ujumla wenu mmetukosea sana.
Angalia ya stadium Mkapa na Morocco, yanakupa furaha gani wewe?
Nyerere alikuwa huyu:
Mheshimiwa, kumbe wewe...
Ujue tatizi kubwa sana ni wananchi wa Tanzania. Wamekubali na kuridhia kuliwa kwa namna yeyote ile mlaji anvyotaka na sio kwasababu hawajui ila ni wavivu wa kujishughulisha na mambo yao wenyewe. Ndio maana hivi karibuni kabla ya uchaguzi unaenda kutokea mwezi wa 10 mwaka huu 2025 kumeibuka kundi...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amevihimiza Vyama vya Siasa pamoja na Wagombea wa Urais, Ubunge na Udiwani kunadi sera zao kwa Wananchi bila kutumia lugha ya matusi au kuanzisha vurugu zinazoweza kuhatarisha amani, pia amewasisitiza Wananchi kushiriki katika shughuli za...
Litakuwa jambo jema sana.
Walimu wanaishi vijinini hawana nyumba.
Manesi na madaktari wanangaika vijijini kuokoa maisha ya watu.
Hakuna anayepewa hata sh tano kama motisha.
Leo stars afungwe tano bila
Swali kwa Polepole: Unaposema mwaka huu hakuna uchaguzi bali kuna viinimacho, mwaka 2019 na 2020 kulikuwa na nini?
Hamjaandaa mabox mawili moja mkawapa walimu na watendaji wajaze kura usiku?
Mliogopa nini kama kwa miaka 5 mliweza kufanya siasa peke yenu huku wapinzani hata kwenye vikao vya...
Vyama hivi vinavyotumika kama stepping stone ya career za watu, kufanyiana unafiki wao kwa wao, loyalty chalii.., kurubunika, etc
Upande wangu, i dont think so.
ajabu
anaamini
bado
katika
kupinga
mageuzi
majirani
masikini
mganga
mtu
njiani
nyingi
siasa
taifa
topics
ukristo
upinzani
utajiri
vyama
vyama vya siasa
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kisesa CCM kwa zaidi ya miaka 20, Luhaga Mpina sasa kaondoka kwenye Chama hicho na kujinga na ACT Wazalendo, huko amefika tu na kupewa nafasi ya kugombea Urais katika Uchaguzi Mkuu ujao
Kwa kipindi chote akiwa CCM, Mpina alikuwa mpinzani wa ubadhirifu wa mali ya...
A young man to Provide wisdom to some people ...who will begin to seek wisdom from him...on how the Direction of the Country will be mapped....
The Young Man they will take from one location to another ...and now is sat at the Location now...and they have been listening and asking him... though...
Kwenye wimbo wa Msanii Fareed Kubanda "Fid Q" aliyoitoa hivi karibuni kama zawadi ya Birthday yake ya Mwaka 2025 ina maneno kadhaa yenye ukakasi?
Kwenye ngoma inaitwa History
Mstari mmoja amesema
"Mtaani hali ni mbaya ila tunakaza tu kiubishi, Siasa zimetufunza kufunga mdomo ili tuishi"...
Huyu dogo James anakosea sana kusema kuwa Mbowe aliwasaidia kina Lissu, Lema, Msigwa kuwa wanasiasa wakubwa. Mbowe alichofanya ni kama Madrid inavyosajili mastaa wa soka toka timu mbalimbali. CHADEMA iliwahitaji kina Lissu na wenzake kuliko wao walivyoihitaji CHADEMA. Kwa mfano Lema hata...
Kuna vitu havielezeki ukiviwaza kwa ndani. Mojawapo ya jambo lidiloelezeka na kuonekana ni kama utoto wa kikubwa ni hii kesi inayoendelea ya Jamhuri dhidi ya Lissu. Unakaa unawaza, hivi kweli kabisa wanaume wazima wanapanga kesi na kutumia rasilimali za nchi kuendesha kesi batili dhidi ya mtu...
Hebu wananzengo tuongezeane uelewa kwenye nyanja ya football:
Je, kuna kifungu kwenye katiba ya FIFA, CAF, CECAFA au TFF kinachokataza chama cha siasa kumiliki timu ya mpira wa miguu?
Je, FIFA inakataza chama cha siasa kusaidia kifedha au usajili timu ya mpira wa miguu?
je, FIFA na TFF katiba...
Kila inapofika kesi ya Lissu au ya Chadema lazima kutokee tafrani ya wafugaji na Polisi, huu ni mchezo wa kifala sana unaochezwa na Kitengo cha propaganda cha chama hicho ili watanzania tuamini kuwa chama hicho kinaonewa na kinapambania haki, kamanda Muliro usikubali uhuni wa namna hiyo, upande...
Hata wangetoa laki 5 kama alivyofanya Chief Godlove,kosa liko palepale
Kosa la yanga au Hersi Said sio amount waliyotoa,bali ni Hersi Saidi kiongozi wa Yanga kutamka kauli inayohusisha club na mambo ya siasa.
Namnukuu,
""Sisi yanga tunachangia ...."'
Hiyo kauli ndio inamfanya aonekane...
Siasa za CHADEMA kwa miaka ya karibuni zimekuwa siasa za ki Mandela Mandela na Ki Martin Luther King(Ukipigwa shavu la kulia geuza na la kushoto). Hakuna Steven Biko na Malcom X tena (Jino kwa Jino) huko katikati ndio maana uonevu unazidi kila siku.
Miaka ya nyuma akina Lema walijitahidi kuwa...
Within the interminably oscillating palimpsest of this terrestrial concatenation, where vicissitudes writhe in kaleidoscopic infinitude and temporality itself submits to recursive aberration, there subsists an anomaly of such preternatural incongruity that the multitudes, loquacious to the point...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimewasilisha malalamiko rasmi kwa FIFA Ethics Committee dhidi ya Klabu ya Young Africans SC (Yanga). Malalamiko hayo yanahusu mchango wa TZS milioni 100 uliotolewa na Yanga kwa chama cha siasa (CCM) katika hafla ya Gala Dinner iliyofanyika Mlimani...
Kila baada ya miaka 5 Katiba ya JMT inaeleza kufanyika kwa uchaguzi mkuu hapa nchini ambapo wananchi huchagua Rais, wabunge na Madiwani. Katiba hiyohiyo pia imeelekeza uchaguzi mdogo kufanyika ndani ya kipindi kitachotangazwa na tume ya uchaguzi mara baada ya nafasi ya ugombea kuwa wazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.