Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.
Mimi ni mmoja ya watu ninaounga mkono Maandamano yoyote yatakayotangazwa nchini hadi CCM ianguke na nchi ipate katiba mpya, hakuna shaka kabisa utawala uliopo umefitinika na hauna uhalali mbele ya watu na Mungu.
Leo nitaelezea njia mojawapo ya kuchochea kuanguka kwa Serikali ya CCM, njia hii ni...
Viongozi wa Dini mbalimbali sasaivi wamekuwa ni sehemu ya kutetea mambo ovu yanayofanywa na wanasiasa.
Nasikitika kusema ya kwamba, huko mbeleni kuna watu hawatokuwa wakienda nyumba za ibada tena hususani zinazoongozwa na viongozi wachumia tumbo.
NOTE: Kadri dini zinavyojiingiza kwenye mambo...
Miaka ya karibuni, Siasa za Tanzania zimekuwa zikikumbwa na mabadiliko makubwa ya kimtazamo kutokana na mfululizo wa matukio ambayo hayakupata uwajibikaji wa wazi.
Tukio moja baada ya jingine limekuwa likiacha maswali mazito kuhusu uthabiti wa taasisi, usalama wa raia na mustakabali wa...
Habarini wanaJF, mara kadhaa nimekua nikijiuliza. Hivi kweli inawezekana mtu akaamua kabisa kabisa kijitenga na siasa??
Nimekuja gundua kwamba, kwa hali ya kawaida kabisa, "hapana", haiwezekani mtu kujitenga na siasa, kwa sababu siasa ndiyo inaunda mfumo unaogusa kila kipengele cha maisha ya...
Nimesikia habari za Maridhiano na nimesikia ujio wa Rais Mstaafu wa nchi jirani kujaribu kukutana na vyama vya siasa nchini na kufanya mazungumzo ya maridhiano. Mazungumzo hayo yanatarajiwa kufanyika kwa muda wa siku kadhaa kuanzia kesho.
Wakati hayo yakiendelea sote tunajua kuwa lipo zuio...
Kama mtu wa kufanya research ndogondogo hii hali inatisha kwakwel sio kawaida ya watanzania kabsa toka nizaliwe watanzania wao ni mpira na ngono tu lakini hali kwasasa ni tofaut Kwenye mitandao yote sio jamii forum tu
Kote hali tete, mada za kiwaki zote hazna wachangiaji kabsa
Kweli watu...
Nimewaza:
Vipi kama Samia akishauriwa kufanya kama Raisi Mwinyi kule Zanzibar na kuvipa vyama vya upinzani nafasi za uwaziri?
Hili likafuatiwa na Mh. Tundu Lissu kuachiliwa, kisha kuteuliwa kuwa mbunge na waziri na kisha kukabidhiwa wizara ya katiba na sheria.
Vipi kama Mh. Lissu ataliongoza...
Mzanzibar aliyekufa mwaka 2005 alafu akafufuka leo mwaka 2025 atashangaa sana kwa hiki anachokiona leo Zanzibar hakuna tena wapinzani wakina jusa, juma duni wamekuwa hawana makali tena wamenyamazishwa sauti mbadala imenyamazishwa
Leo hii Zanzibar hakuna tena siasa za upinzani kwa lugha...
Bishop Gwajima anaishi maisha ya kuchonganisha familia za watu kuwa zina wachawi pamoja na propaganda za Shetani (misleading) badala ya kujikita kwenye siasa
Kuchonganisha familia za watu kuwa zina wachawi na propaganda za Shetani, kuzungumza uongo ili aonekane anamjua sana Shetani ni sawa na...
Waziri Mkuu wa Baraza la Mawaziri, Musalia Mudavadi, amewataka Wakenya kuepuka kuvuka mipaka ya nchi kwa ajili ya kutafuta haki au kushiriki katika siasa za mataifa jirani, akionya kuwa uhuru wanaoufurahia nyumbani, hususan uhuru wa kujieleza, haupo kila mahali. Akizungumza wakati wa ufunguzi wa...
Mbunge wa Babati Vijijini, Ndugu Daniel Baran Sillo, ameendelea kuandika historia katika medani ya siasa nchini, hususan mkoani Manyara.
Safari yake ya kisiasa ilianza kwa uthubutu na ujasiri mwaka 2015, alipojitosa kwa mara ya kwanza kuwania ubunge, ingawa hakufanikiwa.
Hata hivyo, hakurudi...
Hakuna asiyejua kuwa Katiba yetu inatamka wazi kuwa nchi yetu ni ya vyama vingi na serikali haina dini lakini raia wake yupo na uhuru wa kuchagua imani yake.
Je, tunapoongelea suala la maridhiano ni akina nani wahusika wa maridhiano haya? Je, ni ungomvi wa wafanya biashara? Ni ungomvi ndani ya...
Ushauri aliopewa na baba yake. Angélique Kidjo ni mwanamuziki kutoka nchini Benin na mshindi wa Grammy Awards 5.
Wasanii wa Tanzania amkeni usingizini, wenzenu hapo Kenya wameshawapita mbaali kimuziki kwa sababu ya kuendekeza siasa badala ya kujikita kwenye mambo ya msingi!
Kwa sasa kinachofanyika upande wa serikali ni kutengeneza mazingira ya kuwa na bargaining power kwenye kile kinachopangwa kuitwa muafaka/maridhiano/suluhu ya kitaifa.
Moja ya karata itakayowekwa mezani ni suala la serikali kuwaachia huru watuhumiwa wote wa uhaini hewa waliokamatwa kwenye...
Kuna watu unawambia tetea Demokrasia au katiba mpya, Aanajibu Siasa hazimhusu.
Eti "NISHINDWE KWENDA KUTAFUTA HELA NIPOTEZE MUDA KWE NYE SIASA?.
Sasa siasa ilicchemka kidogo hakuna alliyetoka nje wala kuingia.. Kila mtu amepambana kivyake.
Sasa nadhani tukisema siasa ni ubai siasa ni...
Ile pesa uliyopokea kwenda shangilia CCM na kujaza idadi nikukumbushe ile 5000, na 10000 ndio imeruhusu ardhi inywe damu za ndugu zako,ardhi na mbingu zimeshuhudia ,umekubali kuvaa kijani , na uifunike uchi wa ardhi kwa damu za ndugu zako ,UMELAANIWA,,,,UMELAANIWA ,,,,UMELAANIWA....kwa kafara...
*Amebainisha kuwa matokeo ya mwaka huu yanaonesha wazi dhamira ya wananchi ya kusonga mbele kwa umoja na maendeleo.
Rais Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amekabidhiwa rasmi Hati ya Kuchaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, tukio...
Walahi nyumbu hamuishi! Akili zenyu fupi ndio maana mnawaona hero watu ambao ni wakawaida sana. Hamchoki kuumbuka sijui. Huyo Robert hata sijui anaandikaga nini. Lakini mnavyomshadadia. Muwage mwasoma simbilisi nye. Mwamlaumu bule tuu huyo kijana hakuwahi kuwa na uwezo wowote.
Na bado...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.