siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. JamiiForums Tanzania Ali Hassan Mwinyi na Khamis Kagasheki waliingia katika siasa kwa bahati mbaya...

    Ninavyowaona hawa wazee hawapendi kabisa watu kuonewa .hawapendi dhuluma .ila hamna siasa isiyokuwa na dhuluma.Ndio maana Mzee mwinyi alijiuzuru uwaziri wa mambo ya ndani baada ya kuona dhuluma na mauaji yalifanywa na polisi wasio na maadili. Na aliweka wazi kabisa ni polisi ambao walikiuka...
  2. JamiiForums Tanzania 2020 mwaka wa vilio majonzi katika historia ya siasa naomba Mungu atupiganie

    Ninaandika ili iwe kumbukumbu kwa vizazi vilivyopo kwamba. Mwaka 2020 utaweka historia ya vilio na majonzi kwa watu wa kada zote Uwe Ccm, uwe chadema, uwe hauna chama, watoto, vijana wazee, wake kwa waume hakika ni mwaka wa majonzi. Uwe mwanasiasa, uwe mfanyabiashara, uwe mkulima uwe...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Chadema na ACT Wazalendo wanaweza kutumika na wabobezi wa siasa kali

    Hivi vyama viwili kila kimoja kimeelekea zaidi upande fulani tofauti na kingine jambo ambalo ni hatari kwa umoja wa kitaifa. Nimejaribu kuangalia uongozi wao wa juu na kamati kuu za vyama hivi viwili sijaona uwiano kabisa ni kama vile vyama vya uarabuni au nchi za Scandinavia. Nawashauri...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Kweli Siasa za CCM Mpya ya Magufuli si mchezo!

    Siasa za CCM Mpya ya Magufuli si mchezo ! Leo Comrade Mwigulu Lameck Nchemba amenywea na kupotea kabisa! Kiburi ,kujikweza na kuvaa maskafu ya Bendera ya Taifa hadi chooni kwisha kabisa! Timu yake ya Singida United inatupiwa virago nje na NHC na kupigwa mnada kwa kushindwa kulipa Tshs.3...
  5. JamiiForums Tanzania Kuachana na Siasa nakuja kivingine kupitia Vitabu nilivyosoma 2019: ntawalisha maarifa

    Nimesoma vitabu 17 Mwaka 2019 nimepata maarifa kadhaa tutagawana hapa na kuelekezana kistaarabu 1.The Black mass-John le Carré: huyu mwandishi anaelezea kwamba kabla ya uvamizi Wa Iraq America walijua fika kwamba hakukuwa na Silaha za Nyukilia ndani ya Iraq ilikuwa ni mbinu ya america...
  6. JamiiForums Tanzania GE2020 Viongozi wa dini na siasa za Tanzania

    Viongozi wa dini katika nchi yetu tunaelekea katika uchaguzi mkuu wa 2020. Wanasiasa wameshaanza kujipitisha pitisha kwenye nyumba za ibada na kujifanya ni watu wema Sana na kwamba huu ni wakati wa kuwa wamoja na kuongeza upendo. Inasikitisha kuona kwamba kwa kipindi Cha miaka minne taifa...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Inawezekana siasa za nchi hii ndio somo gumu kwa watanzania kuliko hata Hesabu(Mathematics)

    Katika nchi yetu na pengine duniani kote,hesabu ndio somo linalotajwa kuwa gumu(wengi wanashindwa kulielewa) kuliko masomo mengine mengi, ila binafsi naona kwa nchi yetu siasa za nchi hii ndio somo gumu zaidi kueleweka kwa watanzania walio wengi. Inawezekana kabisa hata wale ambao ni...
  8. JamiiForums Tanzania Natangaza rasmi kuachana na masuala ya Siasa, nina ya kujutia mengi

    Nimekuwa naandika Sana kuhusu mambo ya siasa, Nimekua napewa baadhi ya tetesi nazirusha hapa, Nimekuwa na Mlengo wa Chama Cha Mapinduzi kwa Muda mrefu Kuna muda nimeshabikia mambo ya Kinyama yaliyofanywa na Chama changu cha Mapinduzi Nayakumbuka Matukio 1.Nimeshiriki sana Kuiba kura za...
  9. JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Arsenal tufarijiane hapa

    Habari wana jamvi, Msimu huu Arsenal tuna hali mbaya kuliko Misimu yote iliyopita, Emery alietegemewa kufanya makubwa na kikosi cha Arsenal akakibomoa kikosi kwa migogoro na wachezaji. Alianza kwa mbwembwe za kufika fainali ya Europa hatimaye akala kipigo kitakatifu kutoka kwa timu iliyokuwa...
  10. JamiiForums Tanzania Maajabu ya Tanzania, siasa halali za vyama vya upinzani kuhesabika kama uhalifu wa makosa ya jinai!

    Katika Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ya mwaka 1977, ibara ya 3(1) inasomeka hivi " Jamhuri ya Muungano wa Tanzania itakuwa nchi ya kidemokrasia na ya mfumo wa vyama vingi" mwisho wa kunukuu Katika mazingira hayo vyama vya upinzani vinapaswa kutoa "constructive criticism" ambavyo...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Ni vigumu sana kuvitenganisha vyama vya siasa vya Tanzania na ukanda

    Kuna wakati nilimsikia waziri Kabudi akiwaelimisha wakenya juu ya madhara ya ukabila na kwamba chanzo chake ni uroho wa madaraka. Na siku zote mtu mroho daima huwa mchoyo. Baadhi ya wakenya waliguna wakauliza.........Mbona vyama vya upinzani Tanzania vimejengwa katika misingi ya ukanda na...
  12. JamiiForums Tanzania Vitambulisho vya kitaifa vinavyotumika kama sehemu ya siasa na kampeni

    Ni aibu sana kwa Taifa la Tanzania kutumia vitambulisha vya taifa vinavyosimamiwa na nida kama sehemu ya siasa, watu wanaenda kujiandikisha wanaambiwa wakachukue number ya kitambulisho baada ya wiki 2, ukienda kuchukua number unapewa bila tatizo, tatizo linakuja kupata kitambulisho sasa, hata...
  13. JamiiForums Tanzania Siasa za ajira za GPA na hatma ya vyuo vyetu vya Madaktari Tanzania

    Nachokoza mada tu leo, Mimi ni mdau katika elimu yetu ya juu ya vyuo vikuu vya Dar es salaam, hasa katika kuandaa madaktari na waambata wao. Hali ilivyo sasa inatia shaka sana katika utoshelevu wa wakufunzi katika fani za 'biomedical sciences', hasa katika eneo la 'Human Anatomy' (anatomia ya...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mapokezi ya timu ya Taifa ya soka ya Zanzibar na Siasa za Tanzania

    Baada ya mapokezi ya Bombadier majuzi kule Mwanza, upande wa pili, Rais wa Zanzibar Dk Shein aliwaalika Ikulu wachezaji wa Timu ya Taifa ya Soka kwenda kula nao chakula na isitoshe akawapa na zawadi Fedha, kwa kazi nzuri waliofanya kule Kampala katika mashindano ya CECAFA!Katka hali ya kawaida...
  15. JamiiForums Tanzania CCM wenzangu: Ni kitu gani kinachotushinda kufanya siasa za kisayansi na za kisasa zaidi? Mbona tunafanya siasa za ki polisi polisi zaidi?

    Hili swali naelekeza kwa wana CCM wenzangu? CCM ina hazina kubwa sana ya watu wenye upeo mkubwa sana. Ina wasomi wazuri sana kwa kila nyanja. Sasa, najiuliza. Nini kinatushinda katika kufanya siasa za kisasa zaidi badala ya siasa za ki polisi polisi? Hawa wapinzani mbona wepesi sana, wala...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Wasiotutakia mema wanatumia Asasi za Kiraia na NGO kutuhujumu ili kufifisha jitihada zetu kujikomboa kiuchumi kwa maslahi yao binafsi

    Kuna hujuma dhidi ya jitihada za Serikali zinazofanywa na baadhi ya wasioitakia mema Tanzania zikilenga kufifisha jitihada zetu za kujikomboa, kiuchumi kwa maslahi yao binafsi, kamwe hawataki kuona tunadhibiti rasilimali walizokuwa wakivuna na kusafirisha bila kuulizwa. Wanaotuhujumu...
  17. JamiiForums Tanzania Msajili wa vyama vya Siasa hawa umri unawaruhusu?

    Nadhani kwa vile wahusika ni makada wenzio huwezi toa neno bali utasubiri mpaka upande wa pili nao ufanye hivyo kama ilivyokuwa kwenye makamanda
  18. M

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe azindua siasa mpya za CHADEMA huku akitangaza idadi rasmi ya wanachama

    Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe amesema baada ya kuzuiliwa mikutano ya hadhara kwa hila chama hicho kimeimarika maradufu. Akihutubia mkutano mkuu wa Baraza la Wanawake Chadema katija ukumbi wa Mlimani City kiongozi huyo amesema chama hicho kiliamua kufanya siasa mpya za kuzunguka kata...
  19. JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Kuomba maridhiano kwa Rais Magufuli ni kujipendekeza na unafiki

    Zitto Kabwe amewashutumu viongozi wa upinzani walioenda kwenye sherehe za uhuru, Mwanza na kupanda jukwaani kuomba maridhiano ya kisiasa kwa Rais Magufuli. Ametoa shutuma hizo kupitia mitandao ya kijamii akidai walichofanya ni kujipendekeza kwa Rais ili waachiwe nafasi chache za ubunge mwaka...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Siasa za Rangi: Hakika watanzania walichagua njia sahihi za kupatia maendeleo

    Moja ya kumbukizi ya mamboleo ni kuhakikisha unawapa na kutoa Sifa mathubuti Kwa watu weupe (shit) people hawa mara nyingi huwa ni wanasiasa wakiwemo kama Bashe WA zamani, Heche, Sugu, Shonza n.k maana ni wepesi kuongea mambo mazito walizani wamefundisha jamii Yao kumbe ni kusikiliza na kucheka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…