Salaam wanajamvi,
Tukiwa tunaendelea kupambana vita dhidi ya kirusi Covid 19 au Corona, nimeona tukumbushane kidogo baadhi ya kazi za vyama vya siasa pamoja na asasi zisizo za kiserikali.
Pamoja na mambo mengine kazi za vyama vya siasa ni pamoja na kuelimisha wananchi juu ya haki za binadamu...