siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. JamiiForums Tanzania Tanzania na Siasa zetu: Miaka 25 ya uchaguzi wa vyama Vingi. Wapinzani awamu hii Mmekuja na lipi?

    Nilitamani sana kufikia hatua ya kuwa na nchi ambayo Chama kinachoshindwa kinasema "tunawashukuru wananchi kwa kura mlizotupa,hazikutosha tunajipanga upya kwa uchaguzi ujao" Sidhani kama nitafanikiwa kuiona nchi hiyo hasa nikiwa bado ni raia wa Tanzania na Mwafrika ninaye ishi Africa. Sidhani...
  2. JamiiForums Tanzania Siasa na vimbwanga vyake

    Wasalaam. Ile kauli ya "Ukiambiwa na Mwanasiasa mvua inanyesha nje wakati uko ndani, Usiamini moja kwa moja bali toka ukathibitishe mwenyewe". Hapa naamini walitumia kauli hii kuonesha Jinsi mwanasiasa katika siasa alivyo na ulaghai wa kila aina. Uchaguzi huu umekuja na vimbwanga vyake japo...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Nalipongeza Kanisa moja Katoliki na lile Anglikana kwa kutojiingiza kwenye Siasa za Uchaguzi

    Nichukie fursa hii kulipongeza Kanisa moja takatifu Catholico na Apostoliko kwa kutojihusisha na siasa za uchaguzi na badala yake limekuwa likiwaombea viongozi wetu na taifa kwa ujumla. Nalipongeza sana Kanisa Katoliki na Anglikana kwa kusimama katika nafasi yake nyakati hizi. Na kipekee...
  4. JamiiForums Tanzania GE2020 Mwana JF, be the first to know kuwa CCM ndio mshindi wa jumla wa Uchaguzi huu

    Wana JF, Maadam JF ni ukumbi wetu, na sisi humu JF, tuko members wengi, na tumefanya mengi, hivyo mimi member mwenzenu Pascal Mayalla, naomba niwe wa kwanza, kuwajulisha wana JF wenzangu, ili kuwapa ile JF advantage ya wewe kama Mwana JF, be the first to know kuwa CCM ndio inakwenda kushinda...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Hawa hapa wazee walioshindwa kudumu kwenye mfumo wa siasa na sasa wanapelekwa mfumo unavyotaka

    1. Edward Lowassa - alikuwa na nguvu CCM , akawa na nguvu upinzani huku akihesabika Kama shujaa wa mabadiliko. Hakudumu kwenye huo ushujaa akakubali kurudi CCM hadhi yake ikaporomoka na sasa anafanya watu wanayotaka siyo yeye anayotaka. Kisiasa hana Tena ushawishi, anazeeka akiwa amepotea kwenye...
  6. JamiiForums Tanzania Hizi ndizo siasa za kushikiwa akili

    Kwa akili hizi ni vema wapinzani wakaendelea kuwa wapinzani
  7. J

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: Siasa ni kipaji siyo akili za darasani. Ya siasani hayapelekwi kwenye dini ila kinyume chake ni sahihi

    Askofu Gwajima amesema mtu kuwa mwanasiasa mahiri hakuhitaji kwenda darasani kwani uanasiasa ni kipaji " taranta" Siasa ni swala zima la kuwaletea watu maendeleo ikiwemo maji, umeme, elimu na Huduma za afya na kuyaweza hayo siyo lazima uwende darasani, amesisitiza. Askofu Gwajima pia amesema...
  8. JamiiForums Tanzania Zanzibar: RVS online TV yafungiwa kwa miezi miwili kwa kutotoa uwiano sawa kwa vyama vya siasa

    Tume ya Utangazaji Zanzibar imefungia kituo cha RVS Online TV kwa kutoa habari zisizo na uwiano kwa vyama vyote vya siasa na kurusha maudhui yanayoashiria uvunjifu wa amani. Tume ya Utangazaji imesema ilikiita kituo kiliitwa mara ya kwanza Septemba 9, 2020 ili kujibu hoja za ukiukaji wa...
  9. JamiiForums Tanzania GE2020 John Mnyika 'Kifo' huwa hakina 'Hodi' na ikipangwa imepangwa tu, usiihusishe 'Siasa' na Kazi ya Mwenyezi Mungu

    "Jumla ya mawakala wa chama watano wamefariki katika hekaheka za kukimbizana na haya marekebisho yaliyotolewa usiku na asubuhi kuambiwa sasa hamuapishwi hapa mnatakiwa mkimbilie kwenda kuapishwa hapa na unapewa muda mfupi wa kwenda kwenye eneo la tukio".Mnyika. ITV Tanzania Hata kama hawa...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini watumishi wa Umma waliokatazwa na sheria kujihusisha na siasa wanavaa nguo za vyama vya siasa?

    Wapo watumishi wa mahakama, tume, vyombo vya dola na taasisi nyingine wamekatazwa na sheria kwa kipindi chote Cha utumishi wasijihusishe na siasa lakini aidha kwa kujua au kutokujua leo wanavaa nguo za vyama, wanaposti picha kwenye mitandao wakiwa na nguo za chama Cha siasa na kuandika katika...
  11. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mabadiliko katika siasa za Tanzania yamejengwa sana na kauli ya kuunga mkono Juhudi

    Bishara ya kununua watu kwa ahadi ya madaraka au nguvu ya fedha itabaki kuitwa biashara ya utumwa siku zote. Waasisi wa biashara ya utumwa awamu ya tano Wana kila sababu yakulaumiwa na kukifanya chama kitumie muda na rasilimali nyingi kusaka watu ambao hawana mchango chanya kwenye mustakabali...
  12. JamiiForums Tanzania GE2020 Askofu Gwajima: Nina Jina la Kiislamu, ninaitwa Rashidi

    Mgombea Ubunge Jimbo la Kawe kwa tiketi ya CCM, Askofu Josephat Gwajima amesema ana jina la kiislamu ambalo ni Rashidi Gwajima. Amesema alipata jina hilo baada ya kutelekezwa kwenye msikiti ambapo pia alisema waislamu ndio waliomsomesha katika miaka yake ya awali. Kutokana na suala hilo...
  13. JamiiForums Tanzania Je, kwa hizi 'Siasa' za Tanzania 'ICC Chief Prosecutor' Bi. Fatou Bensouda apite sasa 'Kutusalimia' au aje rasmi 2025?

    Nimeona mahala kuwa huyu Mwanamama ambaye ni Mkuu wa Mashtaka katika Mahakama ya Uhalifu Kimataifa ( ICC ) anaenda zake nchini Sudan huko 'Kumalizana' na aliyekuwa Rais wa muda mrefu wa nchi hiyo na aliyefanya 'Uhalifu' wa kila namna Omar Ali Bashir ambaye yuko 'Kizuizini' huko. Kwakuwa...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Mastai: Amani tuliyonayo hailetwi na vyama vya siasa bali Mungu wa mbinguni, Mungu iponye Mtwara!

    Mchungaji Mastai wa KKKT Kimara amewataka Watanzania kuwaombea wagombea wa vyama vyote tunaowapenda na tusiowapenda ili wapate kibali mbele zake Mungu. Mastai amesema amani tuliyonayo haijaletwa na chama cha siasa bali imeletwa na Yesu Kristo mwenyewe. Kadhalika Mchungaji ameomba rehema kwa...
  15. JamiiForums Tanzania GE2020 Siasa za Zitto: Serikali imegawa dawa ya Salfa ili kuua zao la korosho

    Anaandika mhe Zitto Kabwe mbobevu wa siasa za Tanzania na mtetezi wa watanzania. Mwaka huu Serikali ya CCM imeamua kuua kabisa zao la Korosho kwa kugawa dawa ya Salfa ambayo inakausha mikorosho. Wanasema wanawakopesha Wakulima Mfuko shs 32K kwa Ruzuku wakati Mfuko sokoni ni shs 35K. CCM wanatoa...
  16. JamiiForums Tanzania Watanzania tuchague moja, Tanzania kwanza au siasa kwanza

    Wana JF, Nimeandika uzi wa TANZANIA NI BORA KULIKO SIASA Nimepata reply nyingi na niseme wazi kuwa watu wengi wanaonekana kuichoka amani kwani ndani ya Tanzania wana-reply kwa hasira na chuki. Leo naomba TUCHAGUE lipi bora, Tanzania kwanza au siasa kwanza. Tukichagua Tanzania kwanza nadhani...
  17. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Polisi ihakikishie vyama vya siasa kuwa utekwaji wa mawakala hautakuwepo na Tume iwahakikishie haita waengua bila kufuata sheria na taratibu

    Kuanzia mchakato wa kuwateua Wabunge na madiwani na kukiuka maadili ya chama mengi yameshuhudiwa na malalamiko kwa tume ni mengi sana ambayo hayajajibiwa hadi leo. Maswali ni mengi na imekuwa kama siri, sasa kama tume inafanya siri sisi wananchi tutaiamini au ni njama za upendeleo. mfano wa...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Madaraka Nyerere asema atastaafu siasa siku chache zijazo!

    Mtoto wa Baba wa Taifa ndugu Madaraka Nyerere amesema atastaafu siasa siku chache zijazo. Ikumbukwe kuwa Madaraka alikuwa mwenyeji wa mgombea Urais wa CHADEMA Tundu Lissu alipotembelea Butiama na kulala nyumbani kwa Mwalimu Nyerere. Source: Radio One Maendeleo hayana vyama!
  19. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ushauri: Gwajima asiposhinda uchaguzi huu astaafu siasa, amefanyiwa kampeni kubwa sana na Dr Magufuli

    Niwe mkweli Gwajima ni mgombea pekee wa CCM " aliyebahatika" kufanyiwa kampeni na Dr Magufuli karibu katika kila kata ya jimbo la Kawe. Wakati akielekea kwenye mkutano mkuu wa kampeni wa wilaya ya Kinondoni Dr Magufuli alisimama katika kata zote msafara wake ulipopita jimboni Kawe na kuomba...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Burudani kwenye siasa haziepukiki ndio maana Tundu Lissu na Raila Odinga hucheza reggae, CCM hupendelea singeli

    Hakuna namna utafanya mikutano ya kampeni bila kuwachangamsha wahudhuriaji kwa burudani tofauti tofauti. CCM hupendelea kwaya na Singeli Chadema wao hupiga reggae kama ODM ya Kenya ACT Wazalendo hupendelea mirindimo ya Pwani NCCR mageuzi hupiga kwaya nk nk Kinachotofautisha aina za burudani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…